Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 831
- 768
Hapo peke yake ndipo nilipompendea lakini kitendo cha kubana demokrasia ndio aliponitibua
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni demokrasia gani magufuli na ccm wanaitaka? Kama hata ndege unanu ua kwa mzungu weweu azalisha nini?
Na aliyewauzia hizo mali ni nani kama sio ccm?
CCM bwana wao ndio waliosaini hiyo mikataba kwa kujali.matumbo yao, leo kibao wanageuzia wazungu, wanadhanu wazungu ni mazuzu kama wao?Matatizo ya nchi yetu ni Wazungu?Kwakuwa kila kukicha Mara mabeberu, utadhani tungepata Uhuru Jana! Bila misaada ya Mabeberu tungekuwa zero. Iko Siku tutawatafuta.
Maendeleo yepi hayo ya vitu au ya watu?Ni kweli Watz siyo wajinga wanawajua wasaliti wa nchi yetu! Na wanaunga mkono jinsi wanavyoshughulikiwa na wanaona maendeleo yanayoletwa na awamu ya tano pia.
Jibu kwanza Ebola ipo Tanzania?ugonjwa si wakupuuza, chamsingi ni wakisema ipo tuna chukua hatua za tahadhari mapema kuhakikisha haipo kweli,
Hizi quotes huwezi kuona umuhimu wake sasa lakini iko siku watu watamuenzi huyu muheshimiwa kwa hekima zake,hakuna kugeuka nyuma,piga kazi Baba Magufuli tuko nyuma yako...
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu kwanza Ebola ipo Tanzania?
Mkuu dunia ya leo hawawezi kuwadanganya wananchi ambao wana data zote mikononi mwaoHatudanganyiki, hakuna mzungu anayekuja kuchukua rasilimali zetu bila kufuata sheria za nchi yetu, wazungu wote wanaochukua raslimali zetu wameingia mikataba na viongozi wetu
Ni demokrasia gani magufuli na ccm wanaitaka? Kama hata ndege unanu ua kwa mzungu weweu azalisha nini?
Na aliyewauzia hizo mali ni nani kama sio ccm?