Rais Magufuli: Wasiotutakia mema wanatumia Asasi za Kiraia na NGO kutuhujumu ili kufifisha jitihada zetu kujikomboa kiuchumi kwa maslahi yao binafsi

Sasa Watanzania wengi ukizunguka mikoani wanamuelewa sana Mh Rais Magufuli,Wapiga deal wachache ndio wanaopata tabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli anaongoza kutuuwa kwa kimawazo kila nisikiapo ahadi zake za miradi ya maendeleo unaweza usifikiri kabisa... Check maisha ya watu wangapi yatabadilika kupitia utekelezaji wa Hotuba hii ya JPM hakika itauwa maisha duni ya watu wengi Sana..

pesa kwisha. sasa tunatafuta wa kumnyooshea kidole. donor country.

Back
Top Bottom