Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,418
- 82,410
Ya zamaniiiiii,ndio asimamie kauli yake sasa.aliisema lini unaweza kuta ya zamaani wakati anahakiki vyeti
Ya zamaniiiiii,ndio asimamie kauli yake sasa.aliisema lini unaweza kuta ya zamaani wakati anahakiki vyeti
hapo ndo pagumu hihihi hawezi akimtumbua ntamuaminiaYa zamaniiiiii,ndio asimamie kauli yake sasa.
Video
Rais Magufuli akisisitiza kujisalimisha kwa watumishi wasio na vyeti au wenye vyeti vya kughushi.
Alisisitiza kuwa wale wanye vyeti vya magumashi watatoroka wenyewe kwani hakutakuwa na lelemama
Rais siyo mungu, mara ngapi anajichanganya na kauli zakeRais akishasema amesema kauli yake ni amri haina mjadala, muda wala sehemu aliyoitolea.
Kuna watu walisema JPM sio rais wao sijui wako humuhumu? Na walisema hawamtambui.! Then wakasema wanae rais wao rais wa mioyo yao...!! Teh teh teh teh mtandao mkubwa wa NyumbuRais akishasema amesema kauli yake ni amri haina mjadala, muda wala sehemu aliyoitolea.
Mleta mada, hii clip ni ya lini? Ni ya hivi karibuni baada ya soo la Makonda au ni ya siku za nyuma?
Kama unampenda sana Bashite kamuajiri ofisini kwako. Au mwambie aombe kazi shambani kwa Juma Maharage.Kuna watu walisema JPM sio rais wao sijako humuhumu? Na walisema hawamtambui.! Then wakasema wanae rais wao rais wa mioyo yao...!! Teh teh teh teh mtandao mkubwa wa Nyumbu
Upumbavu ni zao la ujinga..!! Ambao dalili zake ni ushabiki maandazi.Kama unampenda sana Bashite kamuajiri ofisini kwako. Au mwambie aombe kazi shambani kwa Juma Maharage.
Usije kumwamini mwanasiasa hata mmoja.Mbona kama vile kuna mkanganyiko wa utekelezaji wa hizo kauli zake?..au mtu kutumia vyeti tofauti kwenye ngazi za elimu yake ni sahihi?...na huku zile ngazi za mwanzo ionekane hakufaulu kabisa...au wale wanafunzi waliotimuliwa pale Udom kwa kutokuwa na sifa ya ufaulu wao walionewa?....
Na kweli....hata Magufuli aache sasa kujisemea "MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU" wakati tayari ameshaonesha dalili za kugawa watu kulingana na itikadi zao, nafasi zao na hata ukaribu na urafiki.Usije kumwamini mwanasiasa hata mmoja.
Ameshatoroka....aonekana Afrika kusini..Kwa hiyo kuna mtu ataitoroka Dar..?