Rais Magufuli: Wasio na vyeti watatoroka wenyewe

Video

Rais Magufuli akisisitiza kujisalimisha kwa watumishi wasio na vyeti au wenye vyeti vya kughushi.Alisisitiza kuwa wale wanye vyeti vya magumashi watatoroka wenyewe kwani hakutakuwa na lelemama
UUUUUUUUWIIIIIII!!!!!!!!......kwishnei......Kwa kumbukumbu ya hotuba hiyo. Naona njia ya Bashite kung'oka ipo wazi
 
Mbona kama vile kuna mkanganyiko wa utekelezaji wa hizo kauli zake?..au mtu kutumia vyeti tofauti kwenye ngazi za elimu yake ni sahihi?...na huku zile ngazi za mwanzo ionekane hakufaulu kabisa...au wale wanafunzi waliotimuliwa pale Udom kwa kutokuwa na sifa ya ufaulu wao walionewa?....
 
Hadi sasa Bashite hajatumbuliwa? Mbona Rais wetu anatutia wasiwasi? Ana uwezo wa kuyaishi maneno yake kweli au anaongea lolote linalokuja mdomoni?
 
Back
Top Bottom