Huwezi kupigana na shetani kama hauko msafi %100, Paulo hili kwake ni jaribu ambalo anapashwa alishinde nami nina hakika atapata ushindi, tatizo lake dogo, amechokoza mzinga wa nyuki, kweupe jua kali bila maandalizi ya moshi wa kufukuza nyuki. wala kofia ya kukinga uso. kwa utendaji wake mahili nitashangaa kama JPM atamtumbua. wote unaorusha madongo tafakari kwanza. uongozi si vyetu wapo wengi wana maphd lakini hawawezi hata kuyaongoza maisha yao, familia zao ziko desparete, naomba tusichangie kwa mtazamo hasi tu. Makonda anaweza hata kama ana vyeti feki.
Paulo kama unasoma uzi huu wewe pambana nao kwa njia ya rohoni, shetani amekasilika umewagusa watoto wake, unamharibia biashara yake hawezi kukuacha sarama. acha kupiga kelele kwenye mimbali za watu we jifungie chumba cha ndani, fanya toba yako jisafishe kwanza kwa Mungu wako kama hujaokoka okoka leo, na upambane nao kwa Jina la Yesu lenye nguvu ya kukuokoa na janga hili. Nchi nyingine ukigusa watu wa jinsi hii wanaweza hata kupindua serikali. wana uvuvio wa shetwani.