Rais Magufuli: Wanaotunyima misaada muwaonee huruma

Rais Magufuli: Wanaotunyima misaada muwaonee huruma

Sawa mzee. Mimi ndiyo kwanza nimemaliza darasa la saba. Sekondari hata bado sijafika. Darasa la saba lenyewe nimemaliza kimagumashi. Lakini asante kwa elimu bure nina uhakika wa kwenda kukua zaidi katika shule yetu ya Kata hapa Kibakwe.
Mzee ume-demand mengi sana kutoka kwa rais, lakini bwana mkubwa ni kiongozi wa taasisi ya urais, ambayo imejaa wataaalam wa kila fani. Aendelee kupewa muda, ili ayafanyie kazi mawazo yetu sote.
 
Mzee ume-demand mengi sana kutoka kwa rais, lakini bwana mkubwa ni kiongozi wa taasisi ya urais, ambayo imejaa wataaalam wa kila fani. Aendelee kupewa muda, ili ayafanyie kazi mawazo yetu sote.
Kumbe unaweza kuongea kistaarabu? Mimi sijademand hayo, hizo ni sehemu ya ahadi zake katika kubana na kupunguza matumizi ya serikali. Mimi nimemkumbushia tu na kumwonyesha maeneo ambayo anaweza kuanza nayo. Ikiwa na yeye kuanza kuonyesha njia na kuwa mfano.
 
unapoambiwa uwaonee huruma US&UK ........
Ningependa nami nianze kutumia kilevi anachotumia aliyesema maneno hayo! Yaani tuyaonee huruma mataifa ambayo don't give a f bout us?!? Kanchi ketu kenyewe hata hakajulikana kihivyo huko! Halafu tunajifariji kwa kujidanganya kwamba tuwaonee huruma na kuwaombea! Kwa kubwa bwankubwa kasema, hewala!
 
Ningependa nami nianze kutumia kilevi anachotumia aliyesema maneno hayo! Yaani tuyaonee huruma mataifa ambayo don't give a f bout us?!? Kanchi ketu kenyewe hata hakajulikana kihivyo huko! Halafu tunajifariji kwa kujidanganya kwamba tuwaonee huruma na kuwaombea! Kwa kubwa bwankubwa kasema, hewala!
daah mkuu acha mana hiki kiburi na majigambo tulionayo sasa hivi wa tz hata south africa sijawah wasikia na kebehi kama hizi
 
Yaani umhurumie anayekusaidia kwani kwa kukunyima msaada yeye anaathirika nini?Hivi huku ni kuchanganyikiwa au kukosa maneno sahihi ya kutumia?

Falsafa ya Sizitaki mbichi hizi
Jifunze maana ya tamathali za usemi.

Hata kwenye maandiko ya Mwenyezi Mungu unaweza kukuta tamathali za usemi kama kama ‘’ Enyi binti za Yerusalemu ,msinililie mimi,bali jililieni nafsi zenu na watoto wenu’’ au ‘’Baba uwasemehe kwa maana hawajui walitendalo’’

Hakuna cha sizitaki mbichi hizi kwa sababu msaada haukataliwi ila msaada wa masharti ambayo haiwezekani kuyatimiza au yaliyobeba nia ovu hayana hauna nafasi.
 
Nguruvi3 bana... naona umeng'ang'ana na Lugumi kama vile imetokea jana na kwamba imelifilisi taifa. Wizi umeshatokea, acha uchunguzi umalizwe na watuhumiwa wakamatwe ndio tamko litolewe. Huo ni wizi na hauwezi kukurupuka kufukuza kazi bila detailed facts... take easy kitafahamika
Ninachomshangaa huyu mwanaJF ni kutaka kuliingiza hili suala ndani ya ofisi ya Rais wa Awamu ya Tano.

Hili ni suala kati ya Public Accounts Committee na Polisi.
 
We umejuwa vip kuwa ana kigugugmizi.
Unaona hatua zinafanyika, linahitajika kuuona mkataba. Wao wameuomba mkataba, then wakushajiridhisha kivyovyote then wanakuja na tamko au kuwapa takukuru wafanye kazi yao..
Wewe kumbe hujamfahamu huyu mwanaJf anayeitwa Nguruvi3!

Huyu yuko hapa ili kutaka ku-prove point!

Mapema sana baada ya Rais Magufuli kuchaguliwa alidai hawezi kufanya lolote jipya katika Tanzania na kwa maana hii, kwa sasa yuko kwenye mission ili kuonyesha alichokisema ni kweli!

Hizi ni mentality kama za wachawi!
 
Kinachofurahisha ni kuwa rais ameamua kuwa mpinzani wa serikali yake mwenyewe, anaikosoa na kuirekebisha mwenyewe, safi sana.
Ndicho hata mimi ninakipenda kwa Rais Magufuli. Rais lazima kwanza akubali madhaifu ya serikali yake baada ya kuyatambua ili aweze kutafuta njia ya kuyaondoa.

Nilimsikia akisema hata kwenye ofisi yake kulikuwa na wafanyakazi hewa.
 
Tunataka kusikia nini kimetokea, na kisha utumbuaji. Lugumi ni kitu gani!

Magufuli ameonyesha nia njema lakini kwa hili ana mtihani mkubwa. Isitoshe, taarifa zilizopo ni kwamba mmoja wa wakubwa wenzake ndani ya chama anajengewa hekalu Masaki na mtuhumiwa.

Taarifa zilizopo ni kwamba Mkakati uliopo ni kamati ya PAC kupokonywa kazi hii na kukabidhiwa kamati ya Ulinzi na Usalama chini ya Balozi Adadi Rajabu. Kwanini? Kamati ya ulinzi na usalama haifanyi kazi kwa media/public. Kazi zake ni za siri. Kwa njia hii, hali ikiwa ngumu kwa Lugumi ambae yupo nje ya nchi kusikilizia upepo (Canada), mwisho wake ikibidi ni apatikane na hatia ambazo hazitamhusisha Ridhiwani Kikwete na mafisadi wenzake walioifilisi nchi yetu.
 
sijaelewa kitu, kwa kutunyima misaada wataathirikaje mpaka wahurumiwe, au tutawanunia?
Kwanza ndugu yangu ndumbaye ilifaa kwanza uelewa neno huruma lina maana ipi.
Kwa mujibu wa tafsiri ya neno huruma maana yake ni kua tayari kusaidia na kusamehe.

Sasa Mheshimiwa alikua na maana kwamba hawa wakoloni pamoja na mambo yao ya kipuuzi tuwe tayari kusaidizana inapo bidi na kusameana tunapokoseana.

All human beings are not perfect.
Kwa hiyo Rais kwa kauli yake hiyo alitumia hekima sana na anastahili pongezi.
 
Wise people admit their mistakes easily. They know progress accelerates when they admit their mistake.

Admission of a mistake makes learning possible by moving the focus away from blame assignment and towards understanding.

Tunajifunza kutokana na makosa tuliyoyafanya baada ya kukili makosa tuliyofanya.

Tunapoanza kulaumu watu wengine kwa makosa yetu tunakuwa tunajiondoa kwenye funzo ambalo lingetuwezesha kupiga hatua mbele.

Rais Magufuli amekuwa muwazi kuhusu madudu ya serikali na makosa yaliyofanyika ndani ya serikali ya CCM.

Kuyakubali makosa ambayo yamelifanya taifa kuwa tegemezi kimaendeleo kunamfanya Rais Magufuli apate fursa na uwanja wa kushughulikia tatizo.

Wahenga walisema mficha maradhi kifo kitamuumbua.

Kwa kuficha uozo wa serikali kwa muda mrefu, taifa lilikuwa linaelekea kufa!

Kwa kusema nchi yetu ni masikini wakati ni tajiri, taifa lilikuwa linadumaa kifikra huku wachache wakinufaika na utajiri wa Taifa!
Malizia basi kwa hicho kizungu
 
MsemajiUkweli Tumemsikia mara nyingi na maneno hayo hayo(whining)
Tunataka atoke atuambie LUGUMI kilitokea nini.

Hili la Lugumi wote wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea.
Tunahitaji kusikia nini kimetokea?
Haswaaaaaa mkuu hapo naona mleta uzi lazima atoke nduki tu
 
Mambo yanafanyiwa kazi taratibu. Vyombo husika vinafanya kazi zao. Kama kuna tatizo wahusika watachukuliwa hatua.
Kama kuna tatizo? Hivyo wewe hapo hata kwa kutumia nukta nundu huisi kama kuna tatizo?
 
MKuu, mimi nadhani tatizo lako unataka kusikia yanayokupendeza ndani ya roho na nafsi yako.

Unaposema mmesikia mara nyingi una maana wewe na nani mmesikia? Jisemee nafsi yako kuwa wewe ndio umechoka kwa sababu ni kosa kimantiki/kihoja kuwaweka wananchi wote katika mwanvuli wa fikra zako.

Kuhusu mambo ya LUGUMI, unatakiwa utafute wahusika ambao ni Bunge au unataka Rais aingilie kazi za watu ili upate hoja za kusema Rais Magufuli hafahamu dhana ya separations of power kama ilivyoainishwa katika andiko la spirit of the Laws.

Kwa kukusaidia zaidi kuhusiana na LUGUMI, angalia hii video;

Zile 46 tayari zimeshapata watu sasa wewe sijui unapigania zile za watendaji wa tarafa?
 
sijaelewa kitu, kwa kutunyima misaada wataathirikaje mpaka wahurumiwe, au tutawanunia?
Utaepuka machungu ya ndoano kwa kususa chambo chao.
Samaki akimsusia mvuvi na chambo chake nikweli kwa wakati ule anakuwa kakosa chakula lakini kapata faida zaidi yakuendelea na mishemishe za maisha na kwa sababu Mungu kaibariki Bahari na vyanzo vingi vya chakula kwa samaki basi maisha yanaendelea.
Misaada mingi haitolewi kifather Christmas nikishika uchumba na ninauhakika utakuwa umepata kapicha kidogo.
 
Back
Top Bottom