Rais Magufuli: Wanaotunyima misaada muwaonee huruma

Rais Magufuli: Wanaotunyima misaada muwaonee huruma

The Boss eti mkuu inakuchukua siku ngapi kutoa kitabu au karatasi kabatini?
Tusaidie maana hatuelewi kwanini faili moja la mkataba linachukua siku Zaidi ya 3 tena kwa mbinde.

#LUGUMI
 
Nyani Ngabu tunaomba sindano ya ganzi, jipu la LUGUMI maumivu
Siku 3 tena kwa barua kutoa mkataba kabatini ! Tunaambiwa hayo ni ya kamati ya bunge serikali haihusiki ili kutoa nafasi ya separation of power
 
MsemajiUkweli Tumemsikia mara nyingi na maneno hayo hayo(whining)
Tunataka atoke atuambie LUGUMI kilitokea nini.

Hili la Lugumi wote wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea.
Tunahitaji kusikia nini kimetokea?

Huu mchezo hauitaji hasira mkuu .... Wewe lini umeona zuri la serikali ya Magufuli?

Wewe kizuri ni kinachotoka kwa chadema na friends of Lowassa tu.
 
Kwani mkataba si upo? Kitu gani kinachosumbua kuotoa! Kwanini ichukue siku tatu kutoa karatasi kabatini? Nini kinaogopwa hapa

Hatuhitaji unafiki, tunataka ukweli. Leo tunaambiwa hakuna muda wa kusubiri kutokana na kasi, halafu tunasikia kamati ya bunge hadi itoe siku 3 kutoa karatasi kabatini

LUGUMI itatueleza mengi kuhusu ukweli wa serikali hii!

Yaani kutoa karatasi kabatini inachukua siku 3! ubabaishaji huu utaisha lini

Wahusika wamekaa kimyaa! Lipo neon LUGUMI.

Wananchi tunataka kujua kutoa mkataba kwanini imekuwa nongwa? Nini kinafichwa na serikali ya awamu ya tano? Nini hasa kinafichwa kuhusu LUGUMI?
Nakwambia hivi huwezi kumridhisha kila mtu, mkuu aliposema anawapa siku 15 wakuu wa mikoa wawatambue watumishi hewa watu walisema ni muda mfupi sana haiwezekani!!! Huo ni mfano.
Ukija kwenye issue ya Lugumi kwanza ushukuru mungu hata hiyo issue umeisikia hapo wabongo tulishapigwa sasa hizo siku tatu zisikutie wazimu.
Bora hata ungejiuliza kwa nini DART inachukua miezi sita kuanza kazi ningekuelewa.
 
Pamoja na nia nzuri ya Magufuli kwa taifa hili bado amezungukwa na watu wenye tamaa za mali kias cha kutisha, watu hao wanampamba kwenye social media na newsroom, lakin ukwel ni kwamba hawamsaidii
Wanapinga kila kinachozungumzwa dhidi yake,
wapinzani wanakosoa kumuongezea kas, bila kukosolewa hatafika kokote.
Ukwel ni kuwa bado kazi ngumu hajaianza..NSSF, Lugumi, ni chache sana, bado viporo vya mkwere..akianza hivyo nitamuombea na missa kabisa......

Your Excellency watch your boys hapo kwa whitehouse .......
Hili la LUGUMI wala halina tabu kabisa, serikali itoe mkataba! Mkataba upo kabatini, kuutoa inachukua mbinde za barua na siku 3 !!! Kuna nini kinaogopwa hapa! Katika muda huo mkataba 'unafanyiwa ukarabati' kuficha ukweli. Kwanini mkataba uliopo na uliotumika kutoa mabilioni iwe nongwa kutolewa kwa kamati ya bunge?

Yale yale ya escrow, wanataka kubabaisha ili kupitia kamati takwimu zifanyiwe ukarabati
Wmejifungia mahali, siku 3 wanakuja na kitu majina ya wahusika ni kama yale ya Dowans

Wanajua mbinu mana wameishi katika hilo, wameona namna ya kuficha ukweli

Wote wamekimbia !!! LUGUMI nzito jamani ! Fupa lile si jipu! Lugumi wakubwa!

Msikimbie ukweli, siku 3 kutoa karatasi kabatini! halafu mnatuambia Tanzania ya neema!
 
MsemajiUkweli Tumemsikia mara nyingi na maneno hayo hayo(whining)
Tunataka atoke atuambie LUGUMI kilitokea nini.

Hili la Lugumi wote wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea.
Tunahitaji kusikia nini kimetokea?

Akilisema ua kunong'ona tu nitafute nikupe Dompo.Maana hilo la Lugumi lishaisha,kumbuka wanaolishikia bango hawajapata RUPIA,ikipenyezwa tu,kwisha habari yake.
 
Huu mchezo hauitaji hasira mkuu .... Wewe lini umeona zuri la serikali ya Magufuli?

Wewe kizuri ni kinachotoka kwa chadema na friends of Lowassa tu.
Nifahamishwe, kwanini ichukue siku 3 baada ya ubabaishaji wa wiki nzima kupata mkataba uliotumika kwa malipo ambao kama kitu halali. Leo mkataba umekwenda wapi?

Hatusemi kuna tatizo katika mkataba, tunajiuliza kwanini unafichwa na wanafanya nini wakati huu kwa mkataba uliotumika kutoa mabilioni ya fedha. Hakuna siri hapao

Wamekimbia hawataki kusema 'Toeni mkataba' wamekimbia kabisa! LUGUMI si mchezo
 
Mambo yanafanyiwa kazi taratibu. Vyombo husika vinafanya kazi zao. Kama kuna tatizo wahusika watachukuliwa hatua.
Kwa akina Kitilya mambo ni fasta ila kwa Lugumi mambo taratibu...kweli mnafiki hajifichi
 
Akilisema ua kunong'ona tu nitafute nikupe Dompo.Maana hilo la Lugumi lishaisha,kumbuka wanaolishikia bango hawajapata RUPIA,ikipenyezwa tu,kwisha habari yake.
Ndio maana inachukua siku Zaidi ya 10 kutoa faili kabatini. Zote ni mbinu tunajua, mkataba uliotumika kuchota mabilioni siyo utakaoletwa. Ubabaishaji wote ni kuficha ukweli. Wengine wamekimbia wapo jimbo!
Lugumi inachafua hali ya hewa

Wamekimbia, wapo kimyaaa!
 
MsemajiUkweli Tumemsikia mara nyingi na maneno hayo hayo(whining)
Tunataka atoke atuambie LUGUMI kilitokea nini.

Hili la Lugumi wote wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea.
Tunahitaji kusikia nini kimetokea?

sasa yeye anapotoa maagizo kuna vyombo vya kutekeleza na huwezi kila kitu kinapo tokea unaongea inaitaji kuchunguzwa na ndipo atakapo ongea au kuchukua hatua.
siasa ni mchezo mchafu unatakiwa kuchezwa smart na mtu mwenye akili kubwa anaelewa mambo ila ukihendeshwa na mihemko utaishia kukurupuka na kuongea vitu ambavyo vitakuja kukugeuikia
 
Wabongo tunatabu sana, issue ya Lugumi inashughulikiwa tena kwa kasi sana jana tumejuzwa bunge kutoa siku tatu kwa wahusika kutoa docs wewe leo unasema kila mtu yuko kimnya. Ni kweli wanaposema huwezi kumridhisha kila mtu.

huyo achana naye anaendeshwa na siasa za vijiweni Lugumi inafanyiwa kazi
 
Nakwambia hivi huwezi kumridhisha kila mtu, mkuu aliposema anawapa siku 15 wakuu wa mikoa wawatambue watumishi hewa watu walisema ni muda mfupi sana haiwezekani!!! Huo ni mfano.
Ukija kwenye issue ya Lugumi kwanza ushukuru mungu hata hiyo issue umeisikia hapo wabongo tulishapigwa sasa hizo siku tatu zisikutie wazimu.
Bora hata ungejiuliza kwa nini DART inachukua miezi sita kuanza kazi ningekuelewa.
hapana siku ngapi zimeita kabla ya siku 3? Ni kama wiki

Naukuuliza mkuu, hivi kutoa faili kabatini inachukua siku 3 kweli!
Faili lina mkataba uliotumika kuchukulia pesa! Siku 3 kweli au kunakuficha na kutaka kufanyia kazi nyaraka!

Mkuu hili wamekimbia , wengine wapo majimboni! kaa la moto si mita za bandarini

LUGUMI ! itatueleza mengi , ukweli, uongo na unafiki! Toeni mkataba! Toeni maagizo mkataba utoke haraka, faili lipo kwanini ichukue siku 3 kulitoa kabatini! why
 
Ndio maana inachukua siku Zaidi ya 10 kutoa faili kabatini. Zote ni mbinu tunajua, mkataba uliotumika kuchota mabilioni siyo utakaoletwa. Ubabaishaji wote ni kuficha ukweli. Wengine wamekimbia wapo jimbo!
Lugumi inachafua hali ya hewa

Wamekimbia, wapo kimyaaa!

Kumbuka atakapoguswa bwana Lugumi,ameguswa Mtoto wa Mfalme.Mtoto wa Mfalme nasikia anamuita Lugumi Bwa Shem,maana Mke wa aliyekuwa IGP ni Shangazi,sasa Mtoto wa IGP ni Mke kwa Lugumi,na ni Binamu kwa mtoto wa Mfame,niambie nani atathubutu kutoa siri kabatini??

Ukiambiwa zilipelekw akwa Kampeni iliyokuweka MADARAKANI kwa sauti kuu utafanyaje??Hiyo ndugu yangu ukiisikia hata kwa MNONG'ONO imetajwa kaka sema DOMPO made in Dodoma itakufuata ulipo
 
La
Kwani mkataba si upo? Kitu gani kinachosumbua kuotoa! Kwanini ichukue siku tatu kutoa karatasi kabatini? Nini kinaogopwa hapa

Hatuhitaji unafiki, tunataka ukweli. Leo tunaambiwa hakuna muda wa kusubiri kutokana na kasi, halafu tunasikia kamati ya bunge hadi itoe siku 3 kutoa karatasi kabatini

LUGUMI itatueleza mengi kuhusu ukweli wa serikali hii!

Yaani kutoa karatasi kabatini inachukua siku 3! ubabaishaji huu utaisha lini

Wahusika wamekaa kimyaa! Lipo neon LUGUMI.

Wananchi tunataka kujua kutoa mkataba kwanini imekuwa nongwa? Nini kinafichwa na serikali ya awamu ya tano? Nini hasa kinafichwa kuhusu LUGUMI?

Mambo ya Taifa letu! Si ajabu mkataba ndio kwanza wanauandika au wanaufanyia usanii uliopo.
 
La

Mambo ya Taifa letu! Si ajabu mkataba ndio kwanza wanauandika au wanaufanyia usanii uliopo.
Ndio maana tunauliza kwanini ichukue kamati kuandika barua baada ya kubabaishwa, halafu itoe siku 3 kutoa faili lililotumika kuchota mapesa

Lugumi ililipwa kutokana na mkataba. Leo tunaambiwa mkataba unachukua siku 3 kuutoa kabatini. Hatuelezwi nani anao, mara wizara mara jeshi la Polisi.

Wanaotakiwa kutoa kauli ya 'toeni mkataba' wamekimbia, wengine wapo majimboni

Hili la Lugumi lina jambo nyuma yake. Nyaraka hizo huenda zinaandikwa sasa hivi

Wahusika wamekaa kimyaaaa! hawagusi wanajua Lugumi ni nini na akina nani, wameanza kuogopa, wanataka tuwaombee kwa mungu!
 
huyo achana naye anaendeshwa na siasa za vijiweni Lugumi inafanyiwa kazi
Tunahitaji mtusaidie sisi mazezeta. Mkuu swali ni moja, LUGUMI wamelipwa pesa tayari kulingana na MKATABA walioingia na serikali. Faili la malipo lipo, kwanini MKATABA uliotumika kupata pesa uchukue masiku na masiku, barua na sasa siku 3 KUUTOA KATABATINI.
 
Bandarini hayakusbiri vyombo husika. TRA hayakusbiri vyombo husika. Anne Kilango hakusubiri vyombo husika, hili la LUGUMI kila mmoja analikimbia.

Hakuna suala la vyombo husika, kamati inataka kuona mkataba. Nini kinafichwa?
Mkataba upo sasa wanaogopa kuutoa kwa nini?

Na kwanini serikali isitoe amri aliyeficha huo mkataba autoe?

Nini kinafichwa, na nini kinaogopwa na watumbua majipu?

LUGUMI itaueleza umma mengi ! Tunahitaji kujua ni kitu gani kinafichwa na kwanini serikali inaogopa! Kuna nini hasa kinafichwa? Sasa hivi 'wanapika mkataba' kusetiriana

LUGUMI tunahitaji majibu, hatuhitaji ubabaishaji. Toeni mkataba vinginevyo wanaoficha mkataba majipu, wanaosita kushinikiza mkataba utoke majipu. Turudi tulikozoea

LUGUMI jamani!

1.kilango ilitumwa timu na ikakuta kuna watumishi hewa wakati kilango kasema hakuna.
2. bandari na tra taarifa za usalama wa taifa na takukuru ndo zilitumika.

unless kama hujui unatakiwa kuhuliza uambiwe na sio unaongea vitu usivyo vijua
 
Tunahitaji mtusaidie sisi mazezeta. Mkuu swali ni moja, LUGUMI wamelipwa pesa tayari kulingana na MKATABA walioingia na serikali. Faili la malipo lipo, kwanini MKATABA uliotumika kupata pesa uchukue masiku na masiku, barua na sasa siku 3 KUUTOA KATABATINI.

huna access na hizo taarifa ndo maana ila wenye access wanapata kingine cha kuongezea ni kwamba uchunguzi unapo fanyika unacovarage kubwa zaidi kuanzia mtu wa kwanza mpaka wa mwisho.
na third part wote walio usika.
tofautisha siasa na investigation.

wewe ishu ya luguni umeijua lini? unataka liongelewe lini kuna vyombo vinavyo husika vikimaliza vinatoa ripoti kwa wakuu wa nnchiwao ndo wanakao weza kuongea
 
Back
Top Bottom