Rais Magufuli: Waliopo mahabusu kwa kesi za uhujumu uchumi, kama wapo tayari kuomba msamaha na kurejesha pesa, kama Sheria inaruhusu nashauri waachiwe

Anasema hapendi kuiingikia mahakama, wakati anaiingilia mahakama.

Contradiction.
Hahahahhaaaa

Kuna sheria mpya imekuja ya plea bargaining!- actually ni marekebisho ya sheria.

Naona anataka kuchukua kete ya kisiasa kupitia mgongo wa hiyo sheria.

Hata asingesema aliyoyasema leo, mambo bado yangetokea kama ambavyo amesema.
 
Wasiwasi tu mbona watu wanatubu kwa mkuu kwa kumkosea anasamehe na maisha yanaendelea, kukiri kukosa hiyo ni dalili ya uungwana na kuwajibika.
1. Toba inaondoa uadui
2. Toba inaepusha ugonjwa wa moyo
3. Toba inakufanya kujiamini
4. Toba inakufanya ukubalike
5. Toba ni kukubali kuwajibika
6 Toba ni IBADA
 
Mbona sheria mpya inampa mamlaka DPP kufanya bargain na mtuhumiwa kwa kukubali kosa dogo kuliko yote anayotuhumiwa. Imepitishwa bungeni kikao kilichoisha na Jiwe keshaweka saini
Hili swala la mtuhumiwa kukutana na DPP kujadili kosa..ie pre bargain....likimkuta mtu dpp asiye muaminifu....naiona hatari....
 
Yeye Pogba anatakiwa kuja kutubu kwa kutupatia ahadi hewa ya m50 kila kijiji wakati anajua hawezi kutoa hata m30 kwa kila kata.
 
Kwa wanaobeba kila lililotamkwa kama lilivyo wataveba hivyo hivyo LAKINI ukweli ni kuwa wapo wengi wamewejwa mahabusu bila makosa, ninkwa uonevu tu. Mpaka sasa serikali imeshindwa kupeleka uthibitisho wa tuhuma dhidi yao. Kila wakienda mahakamani, waendesha mashtaka wa serikali wanasema upelelezi haujakamilika.

Kesi ambazo zimekuwa za uonevu, na hakuna uthibitisho wowote dhidi ya watuhumiwa ni pamoja na:

1) Rugemarila na Seth
2) Deo Mwanyika na Mwaipopo
3) Zacharia
4) Kabendera

Wabataka kuwaachia maana dhamira zao zinawashtaki kwa uonevu. Inatafutwa sababu ili ije kutamkwa kuwa, waliomba msamaha. Ukweli ni kuwa hakuna ushahidi dhidi ya makosa ya kutengenezewa.

Aliwahi kuniambia wakili mmoja wa serikali kuwa ukiona mtu anashtakiwa na serikali halafu makosa sijui ni kumi, ishirini au thelathini, ujue mtu huyo anaonewa, na makosa ni ya kutengenezewa.

Watu wateswa mahabusu kwa kuonewa kwa sababu tu hawapa tayari kulamba nyayo za wenye mamlaka. Kwa sasa, katila Taifa letu, kukosoa ndiyo kosa kubwa kabisa kuliko yote!!
 
Nayasema Haya Hata Mkeo Asikie Kuwa Uwe Unachangamka Hata Kule Kwingine Nadhani Ndugu Zangu Mnaona Ugumu Wa Kuteua Na Kutengua
 
Kiongozi unafahamu ukatoliki ulivyo

Misa kila siku huanza kwa waumini kutubu dhambi zao kwanza

Wimbo ni Bwana utuhurumie, Tuhurumie

Kabla ya kufanywa wapya waumini husali sala ya Baba yetu kuonyesha msamaha na kuhitaji kusamehewa
Usilinganishe usanii na msamaha wa kiroho. Elewa kwanza kilicho nyuma ya pazia. Hivi hao waliotengenezewa makosa ya uhujumu uchumi bila ya kuhujumu uchumi, watubu kwa kitu.gani? Watarudisha kitu gani?
 
Plea bargain!
Plea Bargaining system to be introduced in Tanzania
  • The Bill introduces plea bargaining in criminal cases
  • Procedures for plea bargaining agreement articulated
  • Consequences of plea bargaining stipulated in the Bill
  • Plea bargaining agreement to be registered for it to be effective
  • Some offences ineligible for plea bargaining
  • Circumstances to set aside a verdict founded on plea agreement enumerated
In a bid to ensure timely delivery of justice, reduce backlog of cases, as well as reducing inmate congestions in prison facilities, the Government of Tanzania has issued a Bill whose aim is, among others, to introduce plea bargaining in criminal cases. The Bill was tabled in the last session of the National Assembly for first reading and will formalize what has been practiced for a while.
Plea bargaining has been defined in the Bill to mean an arrangement between a prosecutor and accused whereby the accused pleads guilty to a particular offence or a lesser charge in exchange for a more lenient sentence or an agreement to drop other charges.
The Bill obliges a public prosecutor to conduct plea bargaining with the accused person after consultation with the victim/investigator and before pronunciation of judgment. However, the accused is also permitted to initiate plea bargaining by notifying the Court, but the Court is prohibited to participate in plea negotiation between a public prosecutor and the accused.
The Bill makes it mandatory for the plea agreement to be in writing and to fully state the terms of the agreement, the substantial facts of the matter and all other relevant facts of the case and any admissions made by the accused person. It must also be read and explained to the accused in a language that he understands, must be accepted by the accused and be signed by the prosecutor, the accused and his legal representative (if any).
A plea agreement is required to be registered by the Court for it to be binding, and the Court will convict the accused person accordingly. However the Court is vested with powers to reject a plea agreement so long as there are adequate reasons to do so.
Additionally, prior to registration of plea agreements, the Bill makes it necessary for the Court to inform the accused person of the below consequences:
  • registration of plea agreement will lead to a waiver of a right to full trial
  • the right to appeal will only be permitted to the extent or legality of sentence
  • the prosecution has the right, in the case of prosecution for perjury or false statement, to use any statement against the accused, which is in the agreement
Further, plea bargaining shall not be exercised in sexual offences whose punishments exceed five years or involve victims under eighteen years; treason and treasonable offences; possession or trafficking in narcotic drugs whose value is above ten million shillings; terrorism; possession of Government trophy whose value is above ten million shillings; or other offence as the Minister may publish in the Gazette.
Finally, for the purposes of protecting public interests, the Director of Public Prosecution may apply to the Court to set aside conviction and sentence that was obtained on the grounds of fraud or misrepresentation pursuant to a plea bargaining. Equally, the accused person may do the same if the plea agreement was procured involuntarily or by misrepresentation.
When passed, this Bill will be similar to plea bargaining laws in neighbouring Kenya and Uganda that have assisted in reducing the number of criminal cases.
Pre bargain imekuwa practiced sana kwenye kesi za murder kupunguza kuwa manslaughter...kinachofanyika naona ni kutanua wigo tu kwa makosa mengine...na kuweka modality
 
Najua hizo Sala
Kimsingi Mimi ni Mwalimu wa Liturujia
Nakuomba tena,achana kuhusisha Sala za Kanisa Takatifu Katoliki na la Mitume na Politics.
Ni ushauri tu, pia nakukumbusha Mungu Hadhihakiwi
Huyu bwana analinganisha usanii wa kisiasa na toba mbele ya Mungu. Nadhani hajui kuwa zaidi ya 99% ya wanaoshikiliwa kwa makosa ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, wametengenezewa makosa. Wanakamatwa kwanza, halafu wanatafutiwa makosa yatakayowafanya wasote mahabusu.
 
Kutokana na maagizo yaliotolewa Leo mh rais kuhusu wahujumu uchumi Mimi naona itakuwa busara kama mwandishi Wa habari kabendera naye akaomba msamaha na pesa atayoambiwa alipe basis tumchangie
 
Wewe ni Gifted Fool

Hivi unafikiria kila kitu katoliki ni sahihi kuna mapungufu mengi Sana sana, Mfano kuendesha baadhi ya mambo kwa mapokeo

Wewe dini isikutie ujinga uwe na akili binafsi ya kufikiri

Hapa Jf kuna wajuzi na wajuvi, Wewe umekaririshwa katekisimu na chuo kidogo cha sala

Kuna mambo mengi mchafu na mabaya nyuma ya ukatoliki

Kaa kimya, Punguza povu Endelea na liturujia zako za kijinga, Hapa tunajadili content
Matusi ya nini tena ?
 
Write your reply...Hizi ni dalili za kuanza kuishiwa pumzi! kama ni kurudisha kila kilichoibwa basi hata wezi wa kuku nao warudishe kuku kwa nini mafisadi?
 
Back
Top Bottom