johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,145
Watu waruhusiwe kuuza bangi,Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amewataka wagombea watarajiwa katika uchaguzi mkuu wajipime kwanza kama wana ubavu badala ya kukurupuka.
Amewataka wagombea kujipima uwezo wao na kulinganisha sifa walizonazo na zile za watia nia wengine kama huna unachowazidi ni heri ukakaa pembeni badala ya kukipa chama mzigo.
Source ITV habari
My take; Nakubaliana na Rais Magufuli kwa 100%
Na yeye aanze kujipima kwanza kama anatosha kuwa Rais wa nchi.Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amewataka wagombea watarajiwa katika uchaguzi mkuu wajipime kwanza kama wana ubavu badala ya kukurupuka.
Amewataka wagombea kujipima uwezo wao na kulinganisha sifa walizonazo na zile za watia nia wengine kama huna unachowazidi ni heri ukakaa pembeni badala ya kukipa chama mzigo.
Chanzo: ITV habari
My take; Nakubaliana na Rais Magufuli kwa 100%
Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amewataka wagombea watarajiwa katika uchaguzi mkuu wajipime kwanza kama wana ubavu badala ya kukurupuka.
Amewataka wagombea kujipima uwezo wao na kulinganisha sifa walizonazo na zile za watia nia wengine kama huna unachowazidi ni heri ukakaa pembeni badala ya kukipa chama mzigo.
Chanzo: ITV habari
My take; Nakubaliana na Rais Magufuli kwa 100%
Daaah Kwa kweli!!!!Watu waruhusiwe kuuza bangi,
Serikali ianzishe chuo cha wezi,
Hao ndio wenye uwezo ndani ya Ccm, na polisi wata saidia ashinde
Wakwanza ambaye hatoshi ni yeye
Anaonekana anaogopa zaidi ushindani wa ndani ya chama kuliko wa nje, kazi anayo, hayo manunuzi mnayoendelea kuyafanya mpaka leo hayata waacha salama, lazima mvurugane tu.
Hata kama wengine mmewahamishia CUF na NCCR, kazi mnayo, mnakurupuka na mipango fake bila kufikiria outcome.
Na yeye aanze kujipima kwanza kama anatosha kuwa Rais wa nchi.