johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,898
- 141,829
Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amewataka wagombea watarajiwa katika uchaguzi mkuu wajipime kwanza kama wana ubavu badala ya kukurupuka.
Amewataka wagombea kujipima uwezo wao na kulinganisha sifa walizonazo na zile za watia nia wengine kama huna unachowazidi ni heri ukakaa pembeni badala ya kukipa chama mzigo.
Chanzo: ITV habari
My take: Nakubaliana na Rais Magufuli kwa 100%