Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Wagombea watarajiwa wa CCM wajipime kwanza kama wanatosha, wasikurupuke tu na kwenda kukiumiza chama

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,562
Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amewataka wagombea watarajiwa katika uchaguzi mkuu wajipime kwanza kama wana ubavu badala ya kukurupuka.

Amewataka wagombea kujipima uwezo wao na kulinganisha sifa walizonazo na zile za watia nia wengine kama huna unachowazidi ni heri ukakaa pembeni badala ya kukipa chama mzigo.

Chanzo: ITV habari

My take:
Nakubaliana na Rais Magufuli kwa 100%
 
Anaonekana anaogopa zaidi ushindani wa ndani ya chama kuliko wa nje, kazi anayo, hayo manunuzi mnayoendelea kuyafanya mpaka leo hayata waacha salama, lazima mvurugane tu.

Hata kama wengine mmewahamishia CUF na NCCR, kazi mnayo, mnakurupuka na mipango fake bila kufikiria outcome.
 
Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amewataka wagombea watarajiwa katika uchaguzi mkuu wajipime kwanza kama wana ubavu badala ya kukurupuka.

Amewataka wagombea kujipima uwezo wao na kulinganisha sifa walizonazo na zile za watia nia wengine kama huna unachowazidi ni heri ukakaa pembeni badala ya kukipa chama mzigo.

Source ITV habari

My take; Nakubaliana na Rais Magufuli kwa 100%
Watu waruhusiwe kuuza bangi,
Serikali ianzishe chuo cha wezi,
Hao ndio wenye uwezo ndani ya Ccm, na polisi wata saidia ashinde
 
Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amewataka wagombea watarajiwa katika uchaguzi mkuu wajipime kwanza kama wana ubavu badala ya kukurupuka.

Amewataka wagombea kujipima uwezo wao na kulinganisha sifa walizonazo na zile za watia nia wengine kama huna unachowazidi ni heri ukakaa pembeni badala ya kukipa chama mzigo.

Chanzo: ITV habari

My take; Nakubaliana na Rais Magufuli kwa 100%
Na yeye aanze kujipima kwanza kama anatosha kuwa Rais wa nchi.
 
Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amewataka wagombea watarajiwa katika uchaguzi mkuu wajipime kwanza kama wana ubavu badala ya kukurupuka.

Amewataka wagombea kujipima uwezo wao na kulinganisha sifa walizonazo na zile za watia nia wengine kama huna unachowazidi ni heri ukakaa pembeni badala ya kukipa chama mzigo.

Chanzo: ITV habari

My take; Nakubaliana na Rais Magufuli kwa 100%

Hivi kuna siku hukukubaliana naye? Yes man.. Yapite yapite yapite
 
Mh Rais na mwenyekiti wa chama mapinduzi ndugu John Joseph Pombe Magufuli Leo ukiwa unakagua kumbi ZA chama chenu umeskika ukiwataka wote wanao taka kugombea watangulize uzarendo kwanza

Pili umewataka wajitathimini wao wenyewe wanafaaa kweli kwa masilah ya chama cha ccm.

Mh Rais nataka nikujulishe yakuwa kwanza unakundi kubwa lilirokuunga mkono mfano huyu mbunge wa Ukonga hivi kweli unaisi anafaaa kweli?

Nikushauri uwape nafasi wagombee ila kondition ya wao kujipima sidhani maaana hata kwenye uraisi kama chadema ikimpa ridhaa Tundu lisu kuna kamziki kakubwa ka kujifunza.
 
Awe mkweli tu kwa kusema wazi kuwa wamejipa mzigo wa kuwa na wagombea wengi baada ya kuchukua mamluki toka upinzani na hana nafasi za kutosha wote kuwapa ubunge na vyeo serikali sasa anaanza kuwageuka kisiasa.

Asubiri kuona watakavyoanza kumuhujumu yeye na CCM yake.
 
Mkuu unataka kutuaminisha kua Lwakatale na silinde nao wamenunuliwa?
Anaonekana anaogopa zaidi ushindani wa ndani ya chama kuliko wa nje, kazi anayo, hayo manunuzi mnayoendelea kuyafanya mpaka leo hayata waacha salama, lazima mvurugane tu.

Hata kama wengine mmewahamishia CUF na NCCR, kazi mnayo, mnakurupuka na mipango fake bila kufikiria outcome.
 
Tayari hofu kuu imeikumba CCM kuelekea 2020. Kauli hii ya Mwenyekiti taifa CCM isichukuliwe kwa wepesi na kina johnthebaptist wafia chama ambao Mwenyekiti John Pombe Joseph Magufuli amewaita diehards

June 1, Dodoma
Tanzania

Source: millard ayo
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom