Rais Magufuli umetufikisha hapa...

Rais Magufuli umetufikisha hapa...

Tunapaswa kuwafikirisha watoto wetu nje ya AJIRA wakiwa bado wadogo.
Leo Unampangia Miaka 25 ijayo mwanao aje aajiliwe alipwe Laki saba?
Wakati unaweza kumpandia shamba la miti kwa shilingi kama hata millioni tatu miaka 10 sio 25 unayopanga akawa ni Millionea.

Wazazi mtutendee haki acheni siasa.

Hilo ndiyo tatizo letu watanzania.
 
Hakuna mtu anayelazimishwa kuajiriwa. Ajira ni mkataba wa hiyari. Kama unaona pesa haitoshi, nenda shamba kashike jembe au kakate mkaa maisha yataenda...
 
Tunapaswa kuwafikirisha watoto wetu nje ya AJIRA wakiwa bado wadogo.
Leo Unampangia Miaka 25 ijayo mwanao aje aajiliwe alipwe Laki saba?
Wakati unaweza kumpandia shamba la miti kwa shilingi kama hata millioni tatu miaka 10 sio 25 unayopanga akawa ni Millionea.

Wazazi mtutendee haki acheni siasa.
The most debatable issue in all general elections in the world is employment. No matter whether a country is developed or not. Trump kete yake iliomungiza madarakani ni kuongeza ajira kwa wamarekani(NASEMA KUAJIRIWA SIO KUJIAJIRI). Kila mwezi serikali inatoa feedback ajira zilizotengenezwa kwa raia wao.

Sasa nyie hii dhana ya kujiajiri huku 80+% wakulima, family saving zero, venture capital hakuna; starter funds hakuna, innovation fund hakuna, youth loan guarantee schemes hakuna, entrepreneurship fund hakuna, loan facilities investment schemes hakuna, center for market facilities hakuna, rural investment financing hakuna, inter-college business plan competition hakuna, SMI schemes hakuna, huwa mnapata wapi? Mmekariri? Hebu tujiulize, graduate huyu aloyekopeshwa na loan board shilling 7000 au 10000 kwa siku anawezaji kupata mtaji wa kujiajiri? Au kupitia kubeti?
 
Nawasikitikia sana watumishi. Ni kheri niendelee kuvua dagaa hapa ziwa Nyasa.
 
Watumish kwasasa wanashida sana walitegemea makubwa ya kuwanufaisha ila kinachoendelea ni majuto tu.
 
Kwani umeanza kukatwa awamu hii hayo makato? Kuhusu ongezeko la HELSB sio milele ukimaliza mkopo utarudi kweny mshahara wako ule ule na utasahau!
Siyo HELSB ni HESLB, Higher Education Students' Loans Board

Mnakera sana mnaokosea hii, halafu mko wengi. Mabashite nyie (joke)
 
The most debatable issue in all general elections in the world is employment. No matter whether a country is developed or not. Trump kete yake iliomungiza madarakani ni kuongeza ajira kwa wamarekani(NASEMA KUAJIRIWA SIO KUJIAJIRI). Kila mwezi serikali inatoa feedback ajira zilizotengenezwa kwa raia wao.

Sasa nyie hii dhana ya kujiajiri huku 80+% wakulima, family saving zero, venture capital hakuna; starter funds hakuna, innovation fund hakuna, youth loan guarantee schemes hakuna, entrepreneurship fund hakuna, loan facilities investment schemes hakuna, center for market facilities hakuna, rural investment financing hakuna, inter-college business plan competition hakuna, SMI schemes hakuna, huwa mnapata wapi? Mmekariri? Hebu tujiulize, graduate huyu aloyekopeshwa na loan board shilling 7000 au 10000 kwa siku anawezaji kupata mtaji wa kujiajiri? Au kupitia kubeti?
Naona mkuu umeamua kutengeneza mazingira Ya kutekwa.
 
Mwanangu utamaliza chuo baada ya miaka 25......

Jumla ya ada yako ni tsh milion 16,800,000/= .

Tanzania itakupa Mshahara laki Tsh.700,000/= .... kwa degree yako....ila toa asilimia 10% Nssf (70,000/=)...kodi asilimia 9% (63,000/=)...Helsb asilimia 15% (105,000/=)...NHIF asilimia 3% (21,000/=)...utabakiwa na laki Tsh.441,000/=.....toa nauli kwa mwezi Tsh 90,000/=..toa chakula cha mchana Tsh.90,000/=..toa pango Tsh.100,000/=...toa chakula cha nyumbani elfu Tsh.90,000/= toa gharama za kiwi na doby + nguo za ofisi Tsh. 30,000/=.......utabakiwa. na elfu "Tsh. 41,000/=".. .Aya jitahidi Mwanangu shule njema angalia usigongwe na magari!
Kuchamba kwingi mwisho hushika kinyesi. Hili andiko lako ni dhihirisho la utaahira mkali ulionao kichwani. Kwa upumbavu wako miaka 25 ijao mshahari utaba kuwa 700,000/= kwa mtu mwenye degree halkadharika na ada itabaki hapohapo.
 
Tunapaswa kuwafikirisha watoto wetu nje ya AJIRA wakiwa bado wadogo.
Leo Unampangia Miaka 25 ijayo mwanao aje aajiliwe alipwe Laki saba?
Wakati unaweza kumpandia shamba la miti kwa shilingi kama hata millioni tatu miaka 10 sio 25 unayopanga akawa ni Millionea.

Wazazi mtutendee haki acheni siasa.

Ajampangia, amefanya analysis ..
 
Halafu watanzania hawaoni haya yoye mauaji ya raia, huu ni uuaji, huyu ni muuaji kuliko hitler, idd amin
Hivi umesoma kilichoandikwa wewe!!! Hivi nyie viumbe aina ya binadamu? Miaka 25 ijayo mshahara utabaki 700,000/=? Ungekuwa mtu ungejiuliza swali hilo.
 
The most debatable issue in all general elections in the world is employment. No matter whether a country is developed or not. Trump kete yake iliomungiza madarakani ni kuongeza ajira kwa wamarekani(NASEMA KUAJIRIWA SIO KUJIAJIRI). Kila mwezi serikali inatoa feedback ajira zilizotengenezwa kwa raia wao.

Sasa nyie hii dhana ya kujiajiri huku 80+% wakulima, family saving zero, venture capital hakuna; starter funds hakuna, innovation fund hakuna, youth loan guarantee schemes hakuna, entrepreneurship fund hakuna, loan facilities investment schemes hakuna, center for market facilities hakuna, rural investment financing hakuna, inter-college business plan competition hakuna, SMI schemes hakuna, huwa mnapata wapi? Mmekariri? Hebu tujiulize, graduate huyu aloyekopeshwa na loan board shilling 7000 au 10000 kwa siku anawezaji kupata mtaji wa kujiajiri? Au kupitia kubeti?
Nimekuelewa mkuu.
Kwanza nikubaliane na maelezo yako uko sahihi 90% na tunakazi kubwa sana ya kufanya leo.
Nimemjibu mleta mada maana anazungumzia mtoto wake atakae ajiliwa miaka 25 ijayo.
Sasa pamoja na Uncertainty zote za ajira, Wakati hayo yote anayosema yako nje ya Control yake afanye ambayo yako ndani ya Control yake kwa mtoto japo nahisi ametumia Lugha ya picha na hapohapo bado kwa miaka 25 ijayo unaweza kupanga mengi. Binafsi Kuna mambo huwa natamani mzazi angeniambia zamani au wakati naingia form one. Sasa mzazi kwenye hii case anamuandalia mazingira Magumu mwanae.

Tatizo la Ajira ni la Dunia. Na tunakoelekea hata hiyo Laki saba anayosema probability ya mwanae kuipata itakuwa ndogo maana kutakuwa na overpopopulation ya graduates na probably kukawa na regional intergrations ambazo zikaruhusu overflow of additional Graduates from neighbouring countries.
 
Tatizo unamaliza chuo na akili yako inakuwa imefungwa kufanya kazi serikalini...well, ukigraduate na mentality ya kulipwa laki 7 kwa mwezi then utapata stahiki yako.
 
angejiuliza kwanza miaka 25 iliyopita mshahara ulikuwa kiasi gani, Leo kiasi gani na Miaka 25 ijayo itakuwa kiasi gani.
Hapo angetutendea haki zaidi

Nilifikiri kama wewe, ila reality ipo hivyo hivyo tu, but the value. Kila kitu chaweza kuwa the same ila ikaongezeka percentage sawa kwa kila kitu, so that reflects the reality of 25 years now...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom