Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,108
- 34,934
"Mwanangu sikwambii uache kusoma au uache kazi lakini ukikutana na Fursa nzuri usiiache kamwe."
"Mwanangu utamaliza Chuo baada ya Miaka 25..."
Jumla ya ada yako tangu unaanza shule mpaka unamaliza ni Milion 16,800,000/= Tshs.
Tanzania itakupa Mshahara wa Laki 7 (Tshs 700,000/=) kila mwezi kwa degree yako TU.
Ila.,
Toa asilimia 10% NSSF (70,000/=)
Toa Kodi asilimia 9% (63,000/=)
Toa Helsb asilimia 15% (105,000/=)
Toa NHIF asilimia 3% (21,000/=)
Utabakiwa na Tshs. 441,000/=
Toa Nauli kwa mwezi Tsh 90,000/=
Toa Chakula cha Mchana Tsh.90,000/=
Toa Pango Tsh.100,000/=
Toa Chakula cha nyumbani Tsh.90,000/=
Toa Gharama za kiwi na doby + nguo za ofisi Tshs. 30,000/=
Utabakiwa na Tshs 41,000/=
Toa bill ya Maji 10,000/= na Bill ya umeme 20,000
Utabaki na Tshs 11,000/=
Weka na Chupa ya Maji ya kunywa ya 600/= ya bakheresa.
Hapo naona mwanangu kama utakuwa unadaiwa kila mwezi.
Basi komaa tu hivyo hivyo siku ziende.
Ukitaka kupiga simu tuma Tafadhali Nipigie maana huna budget ya vocha na pesa imekwisha.
Lakini pia usisahau kutoa zaka na sadaka.
Na pia usiruhusu wageni kuja kukutembelea nyumbani kwako, maana hutokuwa na pesa ya kuwanunulia hata soda.
Haya jitahidi Mwanangu siku njema angalia usigongwe na Bodaboda kwa mawazo ya maisha.😭😭😭