Rais Magufuli, ukiwa unatoka Chato pitia Hospitali ya Mlonganzila iliyobatizwa Vingunguti

Nenda Hindu mandal, Agha khan, Ibrahim haji charitable, Wewe bize na hospital yenye madaktari waliosomeshwa na Chadema

Acha unafiki sasa ndugu yako amekufa, Ulitaka afe nani kama sio ndugu yako?
Umelewa pombe za asubuhi ,tunazungumzuia mlonganzila unaleta mambo ya ujenzi wa zahanati umelewa sana wewe

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajinga wengi huwa wanasemaga namna hii kwa kuhamisha tatizo kwa wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulia na endelea kusifia acha kulalama
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikwara yake ni kuficha udhaifu wake wa Uongozi anaamini akimwaga povu watu wataogopa sasa hivi wameshamjulia wanaharibu kisha wanamsifia kwisha habari yake
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana rufaa acha uboya kwenda mloganzila sio umaskini hospital hii hupokea wagonjwa kutoka nchi nzima kama ulikuwa hujui


State agent
Wewe ni lofa, kuna hospital ngapi za private mpaka unaenda mlongazila

Kumbe ni maskini wa kutupwa, unapiga matarumbeta kuhusu ccm kumbe mfukoni huna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kusema nini hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ndugu yako afe tu. Juzi mama yake Kabendera kafa na kabla hajafa aliomba sana Magufuli amsaidie, alimsikiliza? Yani kupelekea wasanii hela na mabegi ameweza ila kumsaidia yule mama mtu mzima tena kalia kabisa hadharani hajaweza. Hii nchi tushagawana ubinaadamu na kila mtu na upande wake....Mtakie safari njema huko aendako!
 
Mkuu tuitazame hii kwa jicho la tatu,kelele za mloganzila zimezidi,kwa nin sio hospitali zingine hata za mikoa mf Temeke,,Tumbi n.k hapa pana tatizo tukubaliana management walitazame vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah navyojua Mimi ukiwa jela imekula kwako hakuna cha kutoka kwenda kwenye sherehe au msiba


State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…