Hospitali ya Mlonganzila imejipotezea credibility yenyewe kwa kuendekeza surgery zisizo na muhimu za makalio na matiti

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,102
36,061
Mara ya kwanza kufika Mloganzila nilimpigia simu rafiki yangu waziri Makamba apeleke salam zangu kwa Rais mstaafu JK

Unaweza kusema ni Hotel ya nyota tano kwa jinsi ilivyojengwa, jengo la kisasa, garden nzuri, parking kubwa, mazingira masafi ukiambiwa hapa ni Kibamba utakataa.

Behind every beautiful woman there is a satanic shadow. Hospitali ya Muhimbili sehemu ya Mloganzila ikapata sifa mbaya kuwa ni machinjioni, ndugu yako akilazwa hapo anzeni kukodi turubai na kupanga sehemu ya kumzikia, ukiingia hutoki, mzee wangu alilazwa hapo kesho yake tulimtorosha kimafia.

uongozi wa Muhimbili ndaki ya Upanga ulivyostukia kuwa watu wanaogopa kwenda machinjioni ukawa unafanya reallocation kinguvu, wale wagonjwa ambao hawako mahututi, jioni mnakuta coaster ziko nje zinawasubiri mtapakizwa kilazima kufumba na kufumbua mko Mloganzila.

Kesho ndugu zako wasio na taarifa watakuta kitanda kitupu wataanza kulia wakidhani vinginevyo.

Uongozi wa Muhimbili ulikanusha vikali Mloganzila kuwa machinjioni, lakini kuna daktari mmoja nikisoma nae, baada ya kuwa tunabugia kinywaji maeneo ya Mikocheni, alikiri kuwa deathrate ya Mloganzila ni kubwa sababu ya distance, kutoka Muhimbili -Upanga mpaka Mloganzila ni zaidi ya 40KM, madaktari wengi wa Muhimbili wana madeal ya part time job kwenye hospotali nyingi za mjini hivyo huona taabu kupoteza muda nje ya mji, wagonjwa wengi walijikuta wakihudumiwa na madaktari wanafunzi bila masupervisor au madaktari wazoefu.

Kabla hatujasahau la machinjioni, wamekuja na mpya ya sajare za makalio na matiti, sasa hivi kila mwanamke mwenye makalio makubwa anaitwa Mloganzila, matiti makubwa Mloganzila.

Tanzania kuna sajare nyingi muhimu kwa afya yetu hazifanyiki wao wamekazania makalio na matiti.

Hatukatai makalio na matiti ni muhimu ila wangezitafutia idara huko Muhimbili-Upanga kulinda hadhi ya Mloganzila.

Hivi kweli JK ulbariki lile jengo zuri vile lifanye kazi ya upasuaji wa makalio na manyonyo?
 
Hizo operation zitaleta hela nyingi tu ambazo zimaweza tumika kuboresha huduma Hapo hospitali.
Hata hivyo wasipozifanya Hapo hela zitaenda nje ya nchi.
Chagua moja.
 
Mimi niliomba Mloganzila izuie ulaji wa nyama nyekindu.Mtaani kwetu hapa ubungo wazee wote wamekufa kwa stroke.
 
Mara ya kwanza kufika Mloganzila nilimpigia simu rafiki yangu waziri Makamba apeleke salam zangu kwa Rais mstaafu JK

Unaweza kusema ni Hotel ya nyota tano kwa jinsi ilivyojengwa, jengo la kisasa, garden nzuri, parking kubwa, mazingira masafi ukiambiwa hapa ni Kibamba utakataa.

Behind every beautiful woman there is a satanic shadow. Hospitali ya Muhimbili sehemu ya Mloganzila ikapata sifa mbaya kuwa ni machinjioni, ndugu yako akilazwa hapo anzeni kukodi turubai na kupanga sehemu ya kumzikia, ukiingia hutoki, mzee wangu alilazwa hapo kesho yake tulimtorosha kimafia.

uongozi wa Muhimbili ndaki ya Upanga ulivyostukia kuwa watu wanaogopa kwenda machinjioni ukawa unafanya reallocation kinguvu, wale wagonjwa ambao hawako mahututi, jioni mnakuta coaster ziko nje zinawasubiri mtapakizwa kilazima kufumba na kufumbua mko Mloganzila.

Kesho ndugu zako wasio na taarifa watakuta kitanda kitupu wataanza kulia wakidhani vinginevyo.

Uongozi wa Muhimbili ulikanusha vikali Mloganzila kuwa machinjioni, lakini kuna daktari mmoja nikisoma nae, baada ya kuwa tunabugia kinywaji maeneo ya Mikocheni, alikiri kuwa deathrate ya Mloganzila ni kubwa sababu ya distance, kutoka Muhimbili -Upanga mpaka Mloganzila ni zaidi ya 40KM, madaktari wengi wa Muhimbili wana madeal ya part time job kwenye hospotali nyingi za mjini hivyo huona taabu kupoteza muda nje ya mji, wagonjwa wengi walijikuta wakihudumiwa na madaktari wanafunzi bila masupervisor au madaktari wazoefu.

Kabla hatujasahau la machinjioni, wamekuja na mpya ya sajare za makalio na matiti, sasa hivi kila mwanamke mwenye makalio makubwa anaitwa Mloganzila, matiti makubwa Mloganzila.

Tanzania kuna sajare nyingi muhimu kwa afya yetu hazifanyiki wao wamekazania makalio na matiti.

Hatukatai makalio na matiti ni muhimu ila wangezitafutia idara huko Muhimbili-Upanga kulinda hadhi ya Mloganzila.

Hivi kweli JK ulbariki lile jengo zuri vile lifanye kazi ya upasuaji wa makalio na manyonyo?
huo ushauri ni wa samia.
 
Machinjioni...

Ndugu yangu alifia pale siku chache tu baada ya kuhamishiwa..
Pale ni kama Simba ya enzi zile,kwa mkapa hutoki,ml9ngazila hutoki,ukilazwa pale anzeni kuunda kamati ya msiba
 
Bil shaka ukichoandika ni sahihi ,hii surgeries zimechukukiwa kiutani sana,na watu wamedharau ...hakukuwa na sababu ya kupiga mbiu sana kuhusu hili! Watanzania wanamatatizo.maubwa kuliko ya kukuza matako!
 
Back
Top Bottom