Rais Magufuli, ukiwa unatoka Chato pitia Hospitali ya Mlonganzila iliyobatizwa Vingunguti

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
31,640
2,000
Hata jirani yangu alilazwa pale kisa cha kidonda cha sukari mguuni. Daktari alianza kuosha kidonda bila ganzi, maumivu yakamzidi na akakara kauli kaishia kukatwa mguu walipoona hali mbaya wakakimbiza muhimbili mzee wa watu kajifia. RIP baba Mesha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kisanganyakiswata

JF-Expert Member
Jan 28, 2014
1,249
1,500
Mkuu mwezi wa 11 nimempoteza kaka yangu pale bila kutarajia kwakweli pale Israel yupo bize sana mloganzila sitaisahau
Kwanza nikupongeze kwa kuweza kuifanya hospitali hii kuwa na hadhi ya kimataifa in terms of infrastructure and human resources ila nikutaarifu tu kuwa wananchi wamepabatiza jina kuwa VINGUNGUTI yaani ni kama machinjio ya mifugo kule vingunguti inaima!

Ni kweli kuwa hospital ya Mlonganzila inapokea wangonjwa walioshindikana katika hospitali nyingine hapa nchini kwa maana ya rufaa ila hapa ni zaidi ya graveyards, mtu kutoka hai/kupona ni nadra sana.

Nikuombe tu pitia pale labda kuna vitu sisi wageni /wapitaji hatujui ila wewe unaweza kupata ukweli

NILICHOSHUHUDIA

Nilikwenda kumwongezea damu kaka yangu nikiwa katika foleni nikaambiwa niende ofisi za juu nichukue form; nikapanda lift hadi eneo husika huko nikakuta madaktari (wako bize na simu na story za simba na yanga wakiume walikuwa kama 4 hivi upande wa pili wa kike walikuwa kama 5 hivi) wote vi vijana wa mjini mjini hivi na viduku kibao. Nikaambiwa anayetoa form hayupo nisubiri mimi na wenzangu tukaelekezwa bench tukae tukiwa hapo akaja mama mtu mzima akawaita wale madaktari wakawa kama na kikao kidogo wakiwa wamesimama yule mama akaanza kusema tena kwa sauti akiwakaripia wale vijana kwa uzembe na kusema deaths zimezidi yaani usiku mmoja wamekufa watu wote wale watu kumi na mmoja sio normal. Wakati anafoka daktari mmoja akajibu kuwa ni kweli uzembe umezidi wakaanza kurushiana maneno huku sisi tukishangaa. Akawa anawaonya kuhusu kutoroka na kwenda mtaani usiku na kuwaachia wagonjwa manesi. Inauma hii ni live nasikia tena kutoka kwa madk wenyewe.

Baadae akaja nurse akatuita akatupa form, ndugu yangu alikuwa amepata ajali ya mguu hivyo sikuwa na hofu sana na alikuwa amekaa pale siku tano akifanyiwa stretching maana aliumia kifundo cha mguu ila cha kusikitisha alivyoingia chumba cha upasuaji hakutoka mzima. Inauma sana hii, mguu hadi kifo vipi ingekuwa moyo, kichwa au uzazi!

Usiombe kufika pale, usikubali kulazwa pale, Mlonganzila ni zaidi ya Mwananzila! Mh Rais pale kuna majipu sio mchezo kila mtu analia heri ubaki Mwananyamala, Temeke au Muhimbili sio Mlonganzila. Vijana wanajifunzia udaktari kwenye miili ya wapendwa wetu.

USSR

====

Soma pia:
Haya yanayosemwa kuhusu Hospitali ya Mloganzila ni kweli?
na
Mloganzila yakanusha juu ya taarifa za vifo vya wagonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Emery Paper

JF-Expert Member
Jun 1, 2019
1,419
2,000
Kazi ya daktari sio kuzuia kifo. Kazi yake ni kutibu, whether mgonjwa atapona au laa ilo analijua Mungu aliyetupa uhai.

Suala la vifo 11 Mloganzila kwa usiku mmoja sio ajabu sana. Naamini hata ukienda MNH ukachukua records za siku nzima ya jana kwa idara zote utakuta vifo zaidi ya kumi na moja.

Suala la mgonjwa wako kufa, pole kwanza kwa kufiwa. Lakini ungeuliza zaidi kuhusu sababu ya kifo. Si kweli kwamba ajali ya mguu haiwezi kumuua mtu. Unajua average blood loss of a femur? Inaeza muua mtu hasa kama alichelewa kupata blood replacement.
Hatukatai kuwa vifo vipo, endapo madktari watafanya kazi zao kwa weledi mkubwa vifo vingi vinaweza kupungua au kuepukika.
 
sajo

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
863
1,000
Tatizo wakati mwingine ni uelewa mdogo walionao hao tunao waita madaktari. Siku hizi kila kitu Tanzania ni siasa hata madaktari wengi wanaomaliza mafunzo yao zama hizi ni tofali tu wamefyatuliwa hivyo huko mahospitalini ni tia maji, tia maji.

Hakuna kitu kinaleta stresses kama kufanya kazi usiyoielewa vizuri hasa ikiwa ni kama hiyo ya kutibu watu. Na kuiacha uwezi maana msharahara unautaka, mwisho wa siku unaishia kwenda na kupiga soga tu mpaka muda wa kazi ukiisha unarudi zako nyumbani!

Shida ya mlonganzila hasa ni hii madaktari wazuri hawataki kwenda, wako muhimbili, kule mlonganzila wengi ni internships na wale wapya wapya ambao mbaali na uelewa mdogo walionao hata uzoefu hawana.

Lakini pia hiyo hulka ya kutofanya kazi ni asili ya watanzania karibu wote, sasa usitegemee eti kwa kuwa ni daktari basi atakuwa na asili tofauti na mkata vitamburisho kule nida au mtoa international passports kule uhamiaji au tofauti na mwalimu wa shule asiyefundisha. Watz ni wale wale uzembe kwa kwenda mbele haijalishi hata kama ni daktari.
Tatizo ni lile lile, uhakika wa kupata mshahara mwisho wa mwezi bila kujali nini tu amefanya. Utaratibu wa kulipa kamisheni huo ndio unaotakiwa kwa Taifa letu hili angalau utaondoa uvivu wa wafanyakazi na itaongeza hata umakini wa kazi. Hospitali binafsi wanamlipa daktari asilimia kadhaa kutoka bill ya mteja, ndio sababu ya madaktari bingwa kukataa kuondoka Muhimbili ili waweze kwenda regency, Besta, Hindu Mandal nk wapate kamisheni kwa kazi wafanyazo huko. Akienda mlonganzila, umbali mrefu atashindwa kuwahi huko Regency, Besta, Agha Khan au Hindu Mandal.

Kulipana bila masharti mishahara mwisho wa mwezi ni tatizo kwa wafanyakazi Tanzania, ndio sababu ya watu kujadili mofisini simba na yanga au umbea wa intagram.
 
NIBONISYE

Member
Dec 8, 2019
51
125
Aisee hta mm ni muhanga wa hpo mloganzila hyo hosptali watu wanasema ni sehemu ya majaribio kwa hao madkatali mm nilipata ajari ya gari nikapelekwa hpo yaani hawajari kbsa ikabidi niombe rufaa niende muhimbili wale masharo baro ndio wamejaa ple
 
Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
4,449
2,000
Aisee, hizi shule za kata zinaishia kutengeneza madaktari wa kata. sijui shida ni nini, halafu referral hospital inakuwaje inajaa madaktari wadogo wanyoa viduku, kwani specialists hawapo?
 
My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,233
2,000
Kwanza nikupongeze kwa kuweza kuifanya hospitali hii kuwa na hadhi ya kimataifa in terms of infrastructure and human resources ila nikutaarifu tu kuwa wananchi wamepabatiza jina kuwa VINGUNGUTI yaani ni kama machinjio ya mifugo kule vingunguti inaima!

Ni kweli kuwa hospital ya Mlonganzila inapokea wangonjwa walioshindikana katika hospitali nyingine hapa nchini kwa maana ya rufaa ila hapa ni zaidi ya graveyards, mtu kutoka hai/kupona ni nadra sana.

Nikuombe tu pitia pale labda kuna vitu sisi wageni /wapitaji hatujui ila wewe unaweza kupata ukweli

NILICHOSHUHUDIA

Nilikwenda kumwongezea damu kaka yangu nikiwa katika foleni nikaambiwa niende ofisi za juu nichukue form; nikapanda lift hadi eneo husika huko nikakuta madaktari (wako bize na simu na story za simba na yanga wakiume walikuwa kama 4 hivi upande wa pili wa kike walikuwa kama 5 hivi) wote vi vijana wa mjini mjini hivi na viduku kibao. Nikaambiwa anayetoa form hayupo nisubiri mimi na wenzangu tukaelekezwa bench tukae tukiwa hapo akaja mama mtu mzima akawaita wale madaktari wakawa kama na kikao kidogo wakiwa wamesimama yule mama akaanza kusema tena kwa sauti akiwakaripia wale vijana kwa uzembe na kusema deaths zimezidi yaani usiku mmoja wamekufa watu wote wale watu kumi na mmoja sio normal. Wakati anafoka daktari mmoja akajibu kuwa ni kweli uzembe umezidi wakaanza kurushiana maneno huku sisi tukishangaa. Akawa anawaonya kuhusu kutoroka na kwenda mtaani usiku na kuwaachia wagonjwa manesi. Inauma hii ni live nasikia tena kutoka kwa madk wenyewe.

Baadae akaja nurse akatuita akatupa form, ndugu yangu alikuwa amepata ajali ya mguu hivyo sikuwa na hofu sana na alikuwa amekaa pale siku tano akifanyiwa stretching maana aliumia kifundo cha mguu ila cha kusikitisha alivyoingia chumba cha upasuaji hakutoka mzima. Inauma sana hii, mguu hadi kifo vipi ingekuwa moyo, kichwa au uzazi!

Usiombe kufika pale, usikubali kulazwa pale, Mlonganzila ni zaidi ya Mwananzila! Mh Rais pale kuna majipu sio mchezo kila mtu analia heri ubaki Mwananyamala, Temeke au Muhimbili sio Mlonganzila. Vijana wanajifunzia udaktari kwenye miili ya wapendwa wetu.

USSR

====

Soma pia:
Haya yanayosemwa kuhusu Hospitali ya Mloganzila ni kweli?
na
Mloganzila yakanusha juu ya taarifa za vifo vya wagonjwa
Wewe ni jinga kweli, kila siku unashinda humu kusifia CCM na upumbavu wake, hiyo Hospital kuzalisha mauti ni matunda ya serikali haramu ya CCM, vyombo vya Habari vinashindwa kkuripoti kwa sababu ya kubanwa Magufuli anataka kila kitu serikalini kisifiwe tu ajabu sana na wewe umekuja humu kulia lia, endeleeni kusifia kazi nzuri ya serikali yenu, ndo maana nimekuita jinga, unamlilia Magufuli Kwani yeye ndo waziri wa Afya?
Ilitakiwa na ndugu yako afe ili uone kazi nzuri ya serikali ya CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Scale

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
1,796
2,000
Wewe utakuwa mpiga dili au CDM mawakala wa mabeberu nyie, mnataka kuichonganisha Serikali na Wananchi..Watu kama nyie ndio mnamkatisha tamaa Rais wetu kipenzi..

Awamu ya tano chini ya Jemedari Dr JPM haiwezi kuwa na uzembe wa hivyo, nidhamu kwa sasa imerudi makazini, watu wanawahi makazini na wanapiga kazi kama mchwa, heko awamu ya tano, heko Rais wetu kipenzi Dr JPM..
Kwa bandiko hili inaonekana hata Mloganzila huijui wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,233
2,000
They don't care mkuu wako na utoto mwingi nikikumbuka yule Dada anawaonesha madk wenzake picha kwenye simu eti yule mchepuko alipigwa chini na jamaa huyu hapa ,wote wakarundikana kungalia picha na story zikaanzia hapo sisi tupo kwenye mstari tunasubili wao wanaoneshana picha za michepuko ,wapuuzi sana hata ndugu yangu kafa kwa uzembe tu

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikupi Pole mkuu, bora ulifiwa, hayo ndo matunda ya serikali haramu ya CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
7,814
2,000
Kwa bandiko hili inaonekana hata Mloganzila huijui wewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu Mleta maada muongo, hii awamu hakuna huo ujinga.. Watu wananidhamu ya hali ya juu kifupi awamu ya tano na CCM mpya wanapiga kazi usiku na mchana na hakuna uzembe na Rais wetu ndiye Rais bora kwa sasa Africa na baadhi hata ya mataifa mengine yanaomba yampate JPM.. mkuu tumuombee na kumlinda Rais wetu..

2020 kura zote kwa Dr JPM ushindi 99.9%...
 
DURACEF

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
815
1,000
Kazi ya daktari sio kuzuia kifo. Kazi yake ni kutibu, whether mgonjwa atapona au laa ilo analijua Mungu aliyetupa uhai.

Suala la vifo 11 Mloganzila kwa usiku mmoja sio ajabu sana. Naamini hata ukienda MNH ukachukua records za siku nzima ya jana kwa idara zote utakuta vifo zaidi ya kumi na moja.

Suala la mgonjwa wako kufa, pole kwanza kwa kufiwa. Lakini ungeuliza zaidi kuhusu sababu ya kifo. Si kweli kwamba ajali ya mguu haiwezi kumuua mtu. Unajua average blood loss of a femur? Inaeza muua mtu hasa kama alichelewa kupata blood replacement.
You are not serious...Mtoa mada kakuambia mgonjwa amefia in the operating room...hivyo inaweza kuwa ni DOT nadhani unaelewa....what happened?
Second: Mgonjwa alikuwa na fracture ya kifundo cha mguu (Ankle fracture) sijui ni weber ipi I hope unajua...
Hivyo mfano wa femur hauna mashiko na mind you mgonjwa kakaa wodini for days.....ngoja niishie hapa..angekuwa ndugu yangu mngeumia I tell you.
Kwa kifupi wamemuua huyu mgonjwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
7,814
2,000
Aisee, hizi shule za kata zinaishia kutengeneza madaktari wa kata. sijui shida ni nini, halafu referral hospital inakuwaje inajaa madaktari wadogo wanyoa viduku, kwani specialists hawapo?

Mkuu sasa Elimu ni bure na vijana wetu wengi wamepewa mikopo na Elimu ni bora wakati huu kuliko wakati wowote. Awamu ya tano inapiga kazi mkuu achana kabisa na hii awamu ya tano mkuu... Huyu mleta maada atakuwa mpiga dili amezibiwa mirija yake anakuja kulialia hapa.... Madaktari wetu ni bora kabisa na wanachapa kazi balaa..
 
myplusbee

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
3,630
2,000
Umewaza kama mimi lwabaje alikuwa anaiba taarifa ambazo ni top secret za serkali tena zinazohusu fedha na uchumi anamtumia Kabendela kisha Kabendela anaziuza ulaya

Kabendela kuwepo hai mungu tu maaana kama Mimi ndio ningekuwa na mamlaka ningesha mfumua ubongo kitambo sana

Hii mijitu haichelewi kuuza nchi

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Moja ya mambo ambayo nimepata kuongea humu mara kwa mara ni hili: Ukiona mtu anasifia kweli kweli kwamba utendaji serikalini umeboreka sana, na kwamba uzembe umepungua ile mbaya, basi mtu huyo HAJAWAHI KWENDA KUTAFUTA HUDUMA kwenye taasisi za serikali!!!

Bado sitasahau mwaka jana tu hapa tulipokaa bila umeme kwa takribani siku 9 eti kisa mita(meta?) imeharibika! Wakati tumekaa takribani siku 9 bila umeme, kutoka ninapoishi hadi ilipo ofisi ya kanda ya TANESCO mtu unaweza kwenda hata kwa mguu! Mbaya zaidi walisema wazi wazi kwamba nikitaka mita ipatikane fasta basi lazima nifanye mambo!!

Hilo moja, pili mwaka jana mwezi August nilienda Posta (Azikiwe) ili kupata box jipya! Mwezi wa 6 huu sasa lakini hadi kesho bado funguo sijapata pamoja na kufuatilia! Hayo ni ya mwaka jana!!!

Mwaka 2018 kwenye nyumba nyingine vile vile tulipata tatizo la umeme! LIPI?! Zile mashine za kuingizia LUKU sijui ilipata shida gani! Wakati tatizo lenyewe lilikuwa ni la kutatua within 5 minutes (niliona baada ya kuwa wamekuja) lakini hilo tatizo lilitatuliwa baada ya siku 3!!

Kwa maana nyingine, nimetafuta huduma kutoka taasisi za serikali mara 3 na mara ZOTE huduma nilizopata ni mbovu kupindukia!

Kwa hapa sitaki kuwa mnafiki! Nitakachofanya ni kumuombea marehemu apumzishwe panapostahili lakini kwa mtu kama wewe wala sina sababu ya kukupa pole manake yaliyokukuta ni malipo ya unafiki wenu! Kila siku tukisema hapa kwamba tuache siasa za kijinga kwa sababu bado mambo nchini ni ya hovyo sana, watu aina yako mnajua huwa mnajibu nini! Tena hiyo hiyo mwaka jana sitasahau mshikaji wangu mmoja alipopata ajali ya moto hadi tukalazimika ku-force turuhusiwe kutoka Muhimbili na kwenda kutafuta huduma kwingine, na hatimae tukampeleka Hospitali ya Wakorea!!

I wish hiyo ajali ungeipata wewe mwenyewe lakini badala ya kufa mapema, ungebaki kwa wiki kadhaa hai huku vidume vya makoti meupe vikiendelea kumjadili Diva na Diamond ili hatimae uendelee kushuhudia "mziki" kwa masiku na masiku kabla hujaenda kukutana na Lwajabe ambao ulikuwa unafurahia vifo vyao!

Na kwa maana hiyo, hongera za kipekee ziwafikie vijana wa Mlonganzila "WALIOMFUMUA UBONGO" ndugu yako! Na ingekuwa vizuri sana kama huyo ndugu angekuwa ni mama yako mzazi, au mwanao!
 
My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,233
2,000
Mh Mnyika wiki ilyopita baada ya kuonana na wasela alivyosema kuhusu hiyo bucha wewe USSR ulisemaje
Kazi kubwa ya USSR ni kutetea kila upumbavu wa serikali ya CCM, sasa yamemkuta anakuja humu kutaka sympathy analia, tena bora angekufa yeye.
Haya mapunguani Kama state agent, YEHODAYA, mudawote ,Barbarosa ,Etwege na mengineyo sijui yalizaliwa kwenye matumbo gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom