Rais Magufuli, ukitoa ushauri unatakaje tena taarifa?

Ruge alivyokuwa anabeba pesa kwenye masandarusi kama mchele alisahau?

Wakati wanakula walikua wanashinda angani kwenda ulaya

Leo wanatafuta huruma kwa Wananchi waliowaibia?

Sisi tulishazoea shida wao wameguswa kidogo tu kelele
Siku zote Mjinga hana cha kujifunza.
 
Wakati huo huo ikumbukwe kuwa Rais wa awamu iliyopita aliwahi kusema kuwa hizo hela siyo za serikali
 
Unapozungumzia watuhumiwa wa uhujumu uchumi basi Ruge na Habinder ni kama kigezo cha watuhumiwa hao. Bila shaka sote tunasubiri tuone uitikio wao kwa "msamaha" waliotangaziwa ili tupime "impact" yake.
 
Agizo la.Rais ni sawa na kuwa kwenye kituo cha mafuta.kuna bango limeandikwa Switch Off your Engine Papo hapo kuna bango.lingine limeandikwa Lipa Kwa Mpesa


Duuuh! sasa utalipaje kwa M-pesa wakati umeambiwa zima simu?baada ya TRA kusitisha kutangaza pesa za makusanyo ya kila mwezi,na Bunge kushindwa kubuni vyanzo vipya vya kodi,mzee mzima ameibuka na chanzo kipya.
 
Ruge alivyokuwa anabeba pesa kwenye masandarusi kama mchele alisahau?

Wakati wanakula walikua wanashinda angani kwenda ulaya

Leo wanatafuta huruma kwa Wananchi waliowaibia?

Sisi tulishazoea shida wao wameguswa kidogo tu kelele

Mawazo na akili za kimaskini utazisikia kwa namna hii, yaani kwa kuwa ww umezoea shida basi unafurahi na wengine wapate shida ukisikia kuwanga mchana kweupe ndo huku sasa! Povu linamtoka jamaa eti nao wapate shida! Aisee Elimu, Elimu, Elimu!
 
MAFIA STYLE SHAKE DOWN

KWA MUJIBU WA SENETA ADAM SCHIFF WA MAREKANI.

Jiwe kuna pesa amelenga kuwakamua hawa watu. Na walengwa wala siyo hao 467, ni wengine kabisa anaotamani kupora akiba na rasilimali zao wazizotafuta kwa jasho na damu.

Jiwe anaitafutia ardhi ya Tanzania laana ambayo hatutapona kama nchi. Dhuluma huleta laama.
 
Ruge alivyokuwa anabeba pesa kwenye masandarusi kama mchele alisahau?

Wakati wanakula walikua wanashinda angani kwenda ulaya

Leo wanatafuta huruma kwa Wananchi waliowaibia?

Sisi tulishazoea shida wao wameguswa kidogo tu kelele
Miaka 4 upelelezi haujakamilika wewe ni nani kuhukumu kuwa waliiba? Kama kweli si ungekuta tayari wako nyuma ya nondo?
 
Rais yeye anatafuta pesa tujenge mabarabara, mashule n.k
Kupora watu pesa kwa staili ya kuwabambikia kesi za uhujumu uchumi ndiyo kutafuta pesa? Kwanini asisubiri mahakama zitoe hukumu? Kwani mahakama haiwezi kumhukumu mtu arudishe hizo pesa alizoiba kama ni kweli aliiba? Kwanini awalazimishe watu wakiri makosa ambayo hawajayatenda?

ACHENI UJINGA WA KUTETEA DHULUMA
 
Mkuu: Napendekeza kama sheria inaruhusu

Wanyonge: Katoa ushauri sio agizo

Mpendekezwa : Naomba upokee taarifa ya ushauri wako na ikikupendeza naomba muda kidogo

Mkuu: Nakupa na nakuongezea nyingine kwa kazi nzuri.

Mpendekezwa na team yake wanapiga makofi ya shukrani kwa nyongeza ya muda.

Wanyonge: mkuu akipendekeza ni agizo

Wanyonge wengine: pongezi mkuu ana huruma na amefuata sheria.

Southpark would have a field day with this.
 
Tupo katila laana kubwa. Kuna watu wapo mahabusu kwa vile inadaiwa hawakulipa kodi inayostahili lakini kosa wanaloshtakiwa ni uhujumu uchumi.

Watu wanne kosa kuhujumu uchumi sh milioni 20! Ina maana kila mmoja amehujumu uchumi kwa sh 5m. Huu ni uonevu mkubwa na matumizi mabaya ya sheria. Makosa ya ukwepaji kodi siku hizi yote ni uhujumu uchumi.

Kinachofanyika sasa ni unyang'anyi, ichukuaji kwa nguvu fedha za watu. Hawana ushahidi, na mahakamani hawawezi kushinda. Kilichobakia ni kuwatesa kwa kuwaweka ndani ili mateso yawalazimishe kutoa hela. HAPA NDIPO TULIPOFIKA.

Kama wananchi hatutaweza kusimama pamoja kugomea uharamia huu, hakuna aliye salama. Inatazamwa akaunti yake ya benki. Una milioni 500, unakamatwa, unashtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumi. Kila kesi ikitajwa, upelelezi haujakamilika. Baada ya mwaka ukiwa mahabusu unaambiwa ukiri utalipa milioni 500. Inachukuliwa akiba yako yote. Wajinga watakenua meno, na kumshangilia mfalme wetu alivyo na huruma. Amemtoa mahabusu mhujumu uchumi.

Ni laana tupu. Ole wao wanaojishikamanisha na hii laana. Kuna siku watailipia.
 
Kuna watu mnacomment kama mna minyoo kichwani.
Ruge alivyokuwa anabeba pesa kwenye masandarusi kama mchele alisahau?

Wakati wanakula walikua wanashinda angani kwenda ulaya

Leo wanatafuta huruma kwa Wananchi waliowaibia?

Sisi tulishazoea shida wao wameguswa kidogo tu kelele
Hivi nyie CCM mnaelewa hata maana ya neno mtuhumiwa? Hivi unamuambia vipi mtuhumiwa akiri kosa halafu alipe hela ili muweze kumsamehe. Kwamba mahakama zetu zimeshindwa kuprove watuhumiwa kama wapo guilty au lah?

Huu ni uzwazwa
 
Back
Top Bottom