Rais Magufuli, ukitoa ushauri unatakaje tena taarifa?

Hivi hili tangazo linawahusu waliokutwa na hatia tayari? Ama wote tu wenye hizi kesi za uhujumu uchumi bila kujali upo katika hatua gani?

Mliopo kwenye tetesi pia mnaweza ungana hapo ilimsije kumbwa na kadhia hii baadae. Jitokezeni mkiri kuwa mmehujumu uchumi na sasa mpo tayar kurudisha fedha.
 
Agizo la.Rais ni sawa na kuwa kwenye kituo cha mafuta.kuna bango limeandikwa Switch Off your Engine Papo hapo kuna bango.lingine limeandikwa Lipa Kwa Mpesa[emoji3]
Ulimaanisha engine ya simu?
 
Mzee wa Visent Chenge je.....?
Ruge alivyokuwa anabeba pesa kwenye masandarusi kama mchele alisahau?

Wakati wanakula walikua wanashinda angani kwenda ulaya

Leo wanatafuta huruma kwa Wananchi waliowaibia?

Sisi tulishazoea shida wao wameguswa kidogo tu kelele
 
INAONEKANA Serikali inahitaji fedha, ndio sababu ya msingi kuongeza hizo siku 7. WAPO waliogoma kurejesha fedha. Kama watuhumiwa 467 wamejitokeza kurejesha bilioni 100 ni wazi wapo "MAPAPA" wamegoma kupiga magoti. Habinder Seth na Rugemalira pekee tuhuma zao ni 306bn. KAZI IPO!

Nimemsikiliza Rais akisema anaongeza siku nyingine 7 kwa watuhumiwa wa uhujumu uchumi kuomba radhi, kukiri kosa na kurejesha fedha, swali la msingi, mashtaka ya uhujumu uchumi, Rais anatajwa wapi katika sheria ya uhujumu uchumi kutoa msamaha kwa washitakiwa?

TAKUKURU wakamkamata Rugemalira, mahakama ya kuu, divisheni ya makosa ya uhujumu uchumi na rushwa ikamnyima dhamana kwa makosa ya uhujumu uchumi 350bn/- Mahakama ya rufaa ikagoma kutoa rufaa, Baadae RAIS anasema "kubali kosa, omba radhi, rejeshe fedha kuwa huru"

Maneno ya James Rugemalira 19.06.2019 mahakama ya rufaa

"kama ndivyo, naondoa rufaa. Sihitaji dhamana. Acha nibaki mahabusu hadi siku ya kusikilizwa shauri langu. Acha nibaki magereza, waache wanifunge kumaliza hili,natuhumiwa kuiba vitu ambavyo sijafanya. Naonewa bila kosa"
Baadae anakuja Rais anamueleza mtu huyu kwamba, akiri kosa, aombe radhi na alipe fedha hizo fedha anazotuhumiwa. UONEVU! DHULUMA! kukamata raia bila ushahidi, kubambikia mashtaka Baadae kuwataka walipe fedha ili waachiwe huru ni DHULUMA na UKATILI. Acheni kuwaonea watu.

Rais wangu nini tatizo.

Ningekuwa mm sina cha kupoteza heri nifie jela kuliko kupoteza hela ya familia. Natoka kisha nakuwa masikini nimefilisiwa.
 
Ni sheria mpya hiyo imesainiwa karibuni na rais
 
Mkuu unafahamu maana ya neno Sarakasi ?
 
Ruge alivyokuwa anabeba pesa kwenye masandarusi kama mchele alisahau?

Wakati wanakula walikua wanashinda angani kwenda ulaya

Leo wanatafuta huruma kwa Wananchi waliowaibia?

Sisi tulishazoea shida wao wameguswa kidogo tu kelele
Kuchukia wenye pesa hakukufanyi nawe uzipate
 
na leo mnamlaumu kwakuwa anakosea zaidi..
wapinzwani ni fichaa[emoji12]
Wakati wabunge walipochachamaa hasa wapinzani wakati ule Bungeni kwenye issue ya ESCROW mpaka wengine wakaitwa matumbili huyo mtoa msamaha unakumbuka alikuwa wapi? Umesikia akipinga chochote?
 
uhujumu uchumi unatakia kuanzia ngapi boss?
5ml sio kabisa uhujumu uchumi... [emoji38]
Tupo katila laana kubwa. Kuna watu wapo mahabusu kwa vile inadaiwa hawakulipa kodi inayostahili lakini kosa wanaloshtakiwa ni uhujumu uchumi.

Watu wanne kosa kuhujumu uchumi sh milioni 20! Ina maana kila mmoja amehujumu uchumi kwa sh 5m. Huu ni uonevu mkubwa na matumizi mabaya ya sheria. Makosa ya ukwepaji kodi siku hizi yote ni uhujumu uchumi.

Kinachofanyika sasa ni unyang'anyi, ichukuaji kwa nguvu fedha za watu. Hawana ushahidi, na mahakamani hawawezi kushinda. Kilichobakia ni kuwatesa kwa kuwaweka ndani ili mateso yawalazimishe kutoa hela. HAPA NDIPO TULIPOFIKA.

Kama wananchi hatutaweza kusimama pamoja kugomea uharamia huu, hakuna aliye salama. Inatazamwa akaunti yake ya benki. Una milioni 500, unakamatwa, unashtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumi. Kila kesi ikitajwa, upelelezi haujakamilika. Baada ya mwaka ukiwa mahabusu unaambiwa ukiri utalipa milioni 500. Inachukuliwa akiba yako yote. Wajinga watakenua meno, na kumshangilia mfalme wetu alivyo na huruma. Amemtoa mahabusu mhujumu uchumi.

Ni laana tupu. Ole wao wanaojishikamanisha na hii laana. Kuna siku watailipia.
 
pre bargain ni uzwazwa...
tuko tayari kupinga kila kitu..
and we mean it [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kuna watu mnacomment kama mna minyoo kichwani. Hivi nyie CCM mnaelewa hata maana ya neno mtuhumiwa? Hivi unamuambia vipi mtuhumiwa akiri kosa halafu alipe hela ili muweze kumsamehe. Kwamba mahakama zetu zimeshindwa kuprove watuhumiwa kama wapo guilty au lah?

Huu ni uzwazwa
 
Asante kwa kutukumbusha... hata wizi wa buku 5 za serikali ni uhujumu...
Na hata kama hujakamatwa u can still confess
Hivi hili tangazo linawahusu waliokutwa na hatia tayari? Ama wote tu wenye hizi kesi za uhujumu uchumi bila kujali upo katika hatua gani?

Mliopo kwenye tetesi pia mnaweza ungana hapo ilimsije kumbwa na kadhia hii baadae. Jitokezeni mkiri kuwa mmehujumu uchumi na sasa mpo tayar kurudisha fedha.
 
waliotumia akili ndio wametufikisha kwenye umaskini huu..
Nguvu nyingi akili kidogo..
Wasukuma msigeuke nyuma..
Ni wazuri kwenye matumizi ya nguvu kuliko ya reasoning.Mkoloni aliwatumia kwenye mashamba na makuli bandarini.
 
Write your reply...kama mapato ya serikali yanakusanywa kwa mbinu hii basi tumeishiwa mbinu. zitafutwe mbinu zingine za kukusanya mapato, hii ni laana.
 
Kwani na wewe ulishawahi kuguswa? Au ndio ile hali ya maskini kumchukia tajiri!!

Back
Top Bottom