Rais Magufuli, ukitoa ushauri unatakaje tena taarifa?

Rais Magufuli, ukitoa ushauri unatakaje tena taarifa?

JIWE IS GOING FULL GANGSTER. SOON AKIMALIZANA NA HAO ATAHAMIA KWENYE AKAUNTI ZA WATU BENKI.

THIS STUPIDITY MUST END
kina JK na BWM wamepiga kimya wanadhani wao wapo salama.

hawa former prezos wakiamua kuingilia kati kuuzima huu utoto unaoendelea sasa am sure over 80% ya Watanzania watawaunga mkono "kwa namna iwayo yote".
 
Mi naomba niulize.
Kuna mtu kalazimishwa kukiri kosa? Mbona watu mmekazania kuwa anawaonea.

Kama unaona hujafanya kosa, usiombe msamaha na kesi itaendelea mahakamani. Tena inaweza kwenda haraka maana wengi wamekiri.

Mtu akiomba msamaha wakati hajafanya kosa, usimlaumu JPM. Ni mtu mwenyewe kaamua na katumia fursa.

We ukiona wakili wako na kesi yako unaweza shinda, usiombe msamaha. Hujalazimishwa.
Tatzo tuna kizazi cha mambulula sana.... Tena jiwe kasema kbs asilazimishe MTU ila kuna mijitu imekazana uonevu uonevu
 
INAONEKANA Serikali inahitaji fedha, ndio sababu ya msingi kuongeza hizo siku 7. WAPO waliogoma kurejesha fedha. Kama watuhumiwa 467 wamejitokeza kurejesha bilioni 100 ni wazi wapo "MAPAPA" wamegoma kupiga magoti. Habinder Seth na Rugemalira pekee tuhuma zao ni 306bn. KAZI IPO!

Nimemsikiliza Rais akisema anaongeza siku nyingine 7 kwa watuhumiwa wa uhujumu uchumi kuomba radhi, kukiri kosa na kurejesha fedha, swali la msingi, mashtaka ya uhujumu uchumi, Rais anatajwa wapi katika sheria ya uhujumu uchumi kutoa msamaha kwa washitakiwa?

TAKUKURU wakamkamata Rugemalira, mahakama ya kuu, divisheni ya makosa ya uhujumu uchumi na rushwa ikamnyima dhamana kwa makosa ya uhujumu uchumi 350bn/- Mahakama ya rufaa ikagoma kutoa rufaa, Baadae RAIS anasema "kubali kosa, omba radhi, rejeshe fedha kuwa huru"

Maneno ya James Rugemalira 19.06.2019 mahakama ya rufaa

"kama ndivyo, naondoa rufaa. Sihitaji dhamana. Acha nibaki mahabusu hadi siku ya kusikilizwa shauri langu. Acha nibaki magereza, waache wanifunge kumaliza hili,natuhumiwa kuiba vitu ambavyo sijafanya. Naonewa bila kosa"
Baadae anakuja Rais anamueleza mtu huyu kwamba, akiri kosa, aombe radhi na alipe fedha hizo fedha anazotuhumiwa. UONEVU! DHULUMA! kukamata raia bila ushahidi, kubambikia mashtaka Baadae kuwataka walipe fedha ili waachiwe huru ni DHULUMA na UKATILI. Acheni kuwaonea watu.

Rais wangu nini tatizo.

Huyu Rais anaonekana yuko so much obsessed na pesa....

Yuko tayari hata kuua ili mradi apate pesa na sijui hata hizo pesa anazipeleka wapi tu.....

Kupenda PESA (mali) sana siku zote KUMPENDA MUNGU hakupo kwa mtu huyo...!!

Kwa mtu huyu, PESA ama MALI ndiye Mungu wake na kwa maana hiyo ataziabudu na kuzisujudu hizo...!!
 
Binafsi kwa hili namuunga mkono jiwe na awakamue kwel kwel.. Humu kuna watu walikuwa wanyalalamika ooh jamaa alisema atawashughulikia Mafsad mbna hakuna Anachofanya sasa hv anakamuwa hawa watu...kuna mijtu inajitokeza tena inawatete haya mafisad
Una uhakika na ukisemacho? Mahakama pekee ndicho chombo kinachoweza kuona kama una kesi ya kujibu ama la. Mahakama pekee ndicho chombo kinachoweza kuona kama kosa limetendeka na kutoa adhabu kwa Mhusika kwa mujibu wa Sheria za Nchi.
Ni wapi kwenye Katiba inampa Mamlaka Kiongozi Mkuu wa Nchi kutafsiri Sheria na kisha kupendekeza aina ya adhabu atakayopewa Mtuhumiwa? Endeleeni kusifia lkn ukweli ni kwamba hata Mahakama zetu zimeshikwa na butwaa.
 
Binafsi kwa hili namuunga mkono jiwe na awakamue kwel kwel.. Humu kuna watu walikuwa wanyalalamika ooh jamaa alisema atawashughulikia Mafsad mbna hakuna Anachofanya sasa hv anakamuwa hawa watu...kuna mijtu inajitokeza tena inawatete haya mafisad
Wewe ni mtoto au?
 
Tupo katila laana kubwa. Kuna watu wapo mahabusu kwa vile inadaiwa hawakulipa kodi inayostahili lakini kosa wanaloshtakiwa ni uhujumu uchumi.

Watu wanne kosa kuhujumu uchumi sh milioni 20! Ina maana kila mmoja amehujumu uchumi kwa sh 5m. Huu ni uonevu mkubwa na matumizi mabaya ya sheria. Makosa ya ukwepaji kodi siku hizi yote ni uhujumu uchumi.

Kinachofanyika sasa ni unyang'anyi, ichukuaji kwa nguvu fedha za watu. Hawana ushahidi, na mahakamani hawawezi kushinda. Kilichobakia ni kuwatesa kwa kuwaweka ndani ili mateso yawalazimishe kutoa hela. HAPA NDIPO TULIPOFIKA.

Kama wananchi hatutaweza kusimama pamoja kugomea uharamia huu, hakuna aliye salama. Inatazamwa akaunti yake ya benki. Una milioni 500, unakamatwa, unashtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumi. Kila kesi ikitajwa, upelelezi haujakamilika. Baada ya mwaka ukiwa mahabusu unaambiwa ukiri utalipa milioni 500. Inachukuliwa akiba yako yote. Wajinga watakenua meno, na kumshangilia mfalme wetu alivyo na huruma. Amemtoa mahabusu mhujumu uchumi.

Ni laana tupu. Ole wao wanaojishikamanisha na hii laana. Kuna siku watailipia.
Presidential extortion! Kilangila.
 
Mahakama ya mafisadi na hii mambo ya msamaha vipo antagonistic..Ajabu ni kuwa vyote vimekuwa engineered na mtu mmoja!!

Mtu mmoja unaanzisha vitu viwili vinavyojipinga...Yaani unanunua paka kwa ajili ya kutatua tatizo la panya..halafu unaanza tena kuwatafuta panya uwafanye kitoweo!!Paka wa nini sasa?
 
Udhaifu wa hali ya juu kuomba msamaha wakati unajua ulionewa,komaeni hivyohivyo wanawane.
Nalog off
 
Tatzo tuna kizazi cha mambulula sana.... Tena jiwe kasema kbs asilazimishe MTU ila kuna mijitu imekazana uonevu uonevu
KWA SHERIA ZIPI? UPU.MBAVU KABISA. KAMA HUYO JIWE ANAONA KUNA NJIA BORA KWANINI ASIITUNGIE SHERIA? NI KATIBA IPI INAMRUHUSU KUACHIA MTUHUMIWA KWA KUMSHINIKIZA AKIRI MAKOSA AMBAYO HAYAJATHIBITISHWA?

MNATUFANYA SISI WAJINGA?
 
Kwani hao wengine wanaorudisha wanatofauti gani nae au kwasababu yeye kasema ukweli.
Yeye Luge na Sign ndiyo mlengwa mkuu na ukikiri ukskubali kutoa kiasi warudi wanasema umetoka kidogo wakachukuwa kwa nguvu kiasi kingine nani atawatetea,nawashauri wasikubali kukaa Mali na mawakili huo jamaa uandikwe kisheria na immunity itolewe kuzuia kusumbuliwa tena
 
Suala la akina ruge ni gumu sana hata Rais kikwete pale daimond jubilee alikiri zile pesa sio za huma,sasa aombe radhi kwa kosa gani ?mahakama ndio iliamua zile pesa zitoke.hapa kuna uonevu tu hili litakuwa kama suala la mashee upelelezi miaka 5 bado ujakamilika
 
INAONEKANA Serikali inahitaji fedha, ndio sababu ya msingi kuongeza hizo siku 7. WAPO waliogoma kurejesha fedha. Kama watuhumiwa 467 wamejitokeza kurejesha bilioni 100 ni wazi wapo "MAPAPA" wamegoma kupiga magoti. Habinder Seth na Rugemalira pekee tuhuma zao ni 306bn. KAZI IPO!

Nimemsikiliza Rais akisema anaongeza siku nyingine 7 kwa watuhumiwa wa uhujumu uchumi kuomba radhi, kukiri kosa na kurejesha fedha, swali la msingi, mashtaka ya uhujumu uchumi, Rais anatajwa wapi katika sheria ya uhujumu uchumi kutoa msamaha kwa washitakiwa?

TAKUKURU wakamkamata Rugemalira, mahakama ya kuu, divisheni ya makosa ya uhujumu uchumi na rushwa ikamnyima dhamana kwa makosa ya uhujumu uchumi 350bn/- Mahakama ya rufaa ikagoma kutoa rufaa, Baadae RAIS anasema "kubali kosa, omba radhi, rejeshe fedha kuwa huru"

Maneno ya James Rugemalira 19.06.2019 mahakama ya rufaa

"kama ndivyo, naondoa rufaa. Sihitaji dhamana. Acha nibaki mahabusu hadi siku ya kusikilizwa shauri langu. Acha nibaki magereza, waache wanifunge kumaliza hili,natuhumiwa kuiba vitu ambavyo sijafanya. Naonewa bila kosa"
Baadae anakuja Rais anamueleza mtu huyu kwamba, akiri kosa, aombe radhi na alipe fedha hizo fedha anazotuhumiwa. UONEVU! DHULUMA! kukamata raia bila ushahidi, kubambikia mashtaka Baadae kuwataka walipe fedha ili waachiwe huru ni DHULUMA na UKATILI. Acheni kuwaonea watu.

Rais wangu nini tatizo.
Wewe hakuna alielazimishwa.mimi nimemsikia akisema anae ona yuko radhi kuomba msamaha,nakama yuko tayari kurudisha alicho pora aombe radhi asamehewe.
Kama huyo mtu wako hayuko tayari mwache apambane na hali yake.
 
Ruge alivyokuwa anabeba pesa kwenye masandarusi kama mchele alisahau?

Wakati wanakula walikua wanashinda angani kwenda ulaya

Leo wanatafuta huruma kwa Wananchi waliowaibia?

Sisi tulishazoea shida wao wameguswa kidogo tu kelele
hizo pesa kwenye masandarusi si waligawana na kina chenge? leo chenge ni nani?
 
KWA SHERIA ZIPI? UPU.MBAVU KABISA. KAMA HUYO JIWE ANAONA KUNA NJIA BORA KWANINI ASIITUNGIE SHERIA? NI KATIBA IPI INAMRUHUSU KUACHIA MTUHUMIWA KWA KUMSHINIKIZA AKIRI MAKOSA AMBAYO HAYAJATHIBITISHWA?

MNATUFANYA SISI WAJINGA?
Nan ameshindikizwa akiri makosa?? Unaweza kuwataja?
 
Back
Top Bottom