Kama ni fedha ya dhuluma ni sawa na hela ya wajenzi huru naona bora aache tuu
Rais yeye anatafuta pesa tujenge mabarabara, mashule n.k
Rais yeye anatafuta pesa tujenge mabarabara, mashule n.k
Sema kwa sisi wafrika ambao uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo ndio inakuwa amri!! Mbona kwa wazungu rais hawezi fanya hayo mambo?? Eti utamke tu kitu kiwe sheria, mfano mzuri muone waziri mkuu wa UK, anavyopata shida, na mwenzake trump!! Trump alidhani USA ni nchi ya kimbulula kama zetu(afrika) povu linamtokaOmbi la mkubwa ni amri! Hiyo ni kanuni ya asili. Ndio maana maombi yanayotoka kwa wakubwa hayakataliwi.
Wakati huo huo ikumbukwe kuwa Rais wa awamu iliyopita aliwahi kusema kuwa hizo hela siyo za serikali
Kama kweli wametuibia zirudi kutusaidia vinginevyo bora tuwarudishie tuu mi nimewaza kwa sautiRuge alivyokuwa anabeba pesa kwenye masandarusi kama mchele alisahau?
Wakati wanakula walikua wanashinda angani kwenda ulaya
Leo wanatafuta huruma kwa Wananchi waliowaibia?
Sisi tulishazoea shida wao wameguswa kidogo tu kelele
INAONEKANA Serikali inahitaji fedha, ndio sababu ya msingi kuongeza hizo siku 7. WAPO waliogoma kurejesha fedha. Kama watuhumiwa 467 wamejitokeza kurejesha bilioni 100 ni wazi wapo "MAPAPA" wamegoma kupiga magoti. Habinder Seth na Rugemalira pekee tuhuma zao ni 306bn. KAZI IPO!
Nimemsikiliza Rais akisema anaongeza siku nyingine 7 kwa watuhumiwa wa uhujumu uchumi kuomba radhi, kukiri kosa na kurejesha fedha, swali la msingi, mashtaka ya uhujumu uchumi, Rais anatajwa wapi katika sheria ya uhujumu uchumi kutoa msamaha kwa washitakiwa?
TAKUKURU wakamkamata Rugemalira, mahakama ya kuu, divisheni ya makosa ya uhujumu uchumi na rushwa ikamnyima dhamana kwa makosa ya uhujumu uchumi 350bn/- Mahakama ya rufaa ikagoma kutoa rufaa, Baadae RAIS anasema "kubali kosa, omba radhi, rejeshe fedha kuwa huru"
Maneno ya James Rugemalira 19.06.2019 mahakama ya rufaa
"kama ndivyo, naondoa rufaa. Sihitaji dhamana. Acha nibaki mahabusu hadi siku ya kusikilizwa shauri langu. Acha nibaki magereza, waache wanifunge kumaliza hili,natuhumiwa kuiba vitu ambavyo sijafanya. Naonewa bila kosa"
Baadae anakuja Rais anamueleza mtu huyu kwamba, akiri kosa, aombe radhi na alipe fedha hizo fedha anazotuhumiwa. UONEVU! DHULUMA! kukamata raia bila ushahidi, kubambikia mashtaka Baadae kuwataka walipe fedha ili waachiwe huru ni DHULUMA na UKATILI. Acheni kuwaonea watu.
Rais wangu nini tatizo.
Sasa miaka mitatu imepita upelelezi bado haujakamilika,serikali imeshindwa kuwatia hatiani,baadae zinakuja ngonjera za msamaha.Ruge alivyokuwa anabeba pesa kwenye masandarusi kama mchele alisahau?
Wakati wanakula walikua wanashinda angani kwenda ulaya
Leo wanatafuta huruma kwa Wananchi waliowaibia?
Sisi tulishazoea shida wao wameguswa kidogo tu kelele
Shida ya mtanzania ni pale unapojipaanga kupinga kila kitu kitachofanyika mbele ya macho yako.INAONEKANA Serikali inahitaji fedha, ndio sababu ya msingi kuongeza hizo siku 7. WAPO waliogoma kurejesha fedha. Kama watuhumiwa 467 wamejitokeza kurejesha bilioni 100 ni wazi wapo "MAPAPA" wamegoma kupiga magoti. Habinder Seth na Rugemalira pekee tuhuma zao ni 306bn. KAZI IPO!
Nimemsikiliza Rais akisema anaongeza siku nyingine 7 kwa watuhumiwa wa uhujumu uchumi kuomba radhi, kukiri kosa na kurejesha fedha, swali la msingi, mashtaka ya uhujumu uchumi, Rais anatajwa wapi katika sheria ya uhujumu uchumi kutoa msamaha kwa washitakiwa?
TAKUKURU wakamkamata Rugemalira, mahakama ya kuu, divisheni ya makosa ya uhujumu uchumi na rushwa ikamnyima dhamana kwa makosa ya uhujumu uchumi 350bn/- Mahakama ya rufaa ikagoma kutoa rufaa, Baadae RAIS anasema "kubali kosa, omba radhi, rejeshe fedha kuwa huru"
Maneno ya James Rugemalira 19.06.2019 mahakama ya rufaa
"kama ndivyo, naondoa rufaa. Sihitaji dhamana. Acha nibaki mahabusu hadi siku ya kusikilizwa shauri langu. Acha nibaki magereza, waache wanifunge kumaliza hili,natuhumiwa kuiba vitu ambavyo sijafanya. Naonewa bila kosa"
Baadae anakuja Rais anamueleza mtu huyu kwamba, akiri kosa, aombe radhi na alipe fedha hizo fedha anazotuhumiwa. UONEVU! DHULUMA! kukamata raia bila ushahidi, kubambikia mashtaka Baadae kuwataka walipe fedha ili waachiwe huru ni DHULUMA na UKATILI. Acheni kuwaonea watu.
Rais wangu nini tatizo.
Mazingira ya kila nchi yanatofautiana.Hivi ni duniani kote au hapa tanzania
Lugha haziwi za vificho, ni uelewa wa mtu.Sasa kwa nini asiseme tu kuwa ni AGIZO au AMRI? Tunataka KUMHADAA nani kwa lugha za vificho?
Mh! Mbona mimi naona anayepiga kelele ni huyu kiongozi wetu mkubwa?? [emoji848][emoji848]Ruge alivyokuwa anabeba pesa kwenye masandarusi kama mchele alisahau?
Wakati wanakula walikua wanashinda angani kwenda ulaya
Leo wanatafuta huruma kwa Wananchi waliowaibia?
Sisi tulishazoea shida wao wameguswa kidogo tu kelele
Kuna kesi gani inayo endelea zaidi ya kufungia watu ndani?Mi naomba niulize.
Kuna mtu kalazimishwa kukiri kosa? Mbona watu mmekazania kuwa anawaonea.
Kama unaona hujafanya kosa, usiombe msamaha na kesi itaendelea mahakamani. Tena inaweza kwenda haraka maana wengi wamekiri.
Mtu akiomba msamaha wakati hajafanya kosa, usimlaumu JPM. Ni mtu mwenyewe kaamua na katumia fursa.
We ukiona wakili wako na kesi yako unaweza shinda, usiombe msamaha. Hujalazimishwa.
Kama alishauri, ndio aombe taarifa?Kwahiyo:
1. Kama suala ni kuwaambia warudishe pesa na wasamehewe Magu sio wakwanza! Mzee Kikwete alitoa wito huo huo kwenye EPA, Kama vile haitoshi Mh. Buhari Rais wa Nigeria alifanya kitu hicho hicho.
2. Mtu akimpa mimba binti (mwanafunzi) yako ukimfunga jela unaachiwa mtoto, mjukuu na uadui, mkiamua kuyajenga pembeni unapata mkwe, unarudishiwa gharama zako ulizotumia kumsomesha (wengi hufanya hivyo), unatua mzigo huo na kuuhamishia upande wa pili na unaunga undugu.
3. Magu kuwa mbunifu katika kuongeza mapato 107b ambayo inaingia kwenye fuko kuu kwa ajili ya maendeleo ya umma limekua tatizo? Ilihali tawala zilizopita mlikua mkilalama kwamba serikali kila mwaka inapandisha bei ya sigara na bia.
ANGALIZO
Magu hakusema wavunje katiba bali alisema nashauri DPP kama uwezekano upo kisheria warudishe pesa mambo yeshe. Na alisisitiza kwamba isije ikasemwa NAINGILUA Uhuru wa mahakama.
KUPANGA NI KUCHAGUA JAPO UKISHINDWA KUPANGA UMEPANGA KUFELI.
Safari bado mpira ndo dakika 45 kwanza ifike 90 ndo useme nguvu au akili.waliotumia akili ndio wametufikisha kwenye umaskini huu..
Nguvu nyingi akili kidogo..
Wasukuma msigeuke nyuma..
Safari bado mpira ndo dakika 45 kwanza ifike 90 ndo useme nguvu au akili.
Wakati hiki linatokea sidhani Kama ulikuwepi. Unehadithia tu..Wala hukumsikia Mwamasheria Mkuu wa Serikali Wala mjadala wa Bungee..wote tupo team JPM though not praise team lakini mengine tuyaongee Kama yalivyo.Ruge alivyokuwa anabeba pesa kwenye masandarusi kama mchele alisahau?
Wakati wanakula walikua wanashinda angani kwenda ulaya
Leo wanatafuta huruma kwa Wananchi waliowaibia?
Sisi tulishazoea shida wao wameguswa kidogo tu kelele
Ndio maajabu ya Dunia ya Tatu...Kama alishauri, ndio aombe taarifa?