Rais Magufuli, ukitoa ushauri unatakaje tena taarifa?

Wacha nao waishi maisha yetu, angalau kumlamba mtu miguu itawatosha kuwapa funzo, kwamba maisha yanenda yakirudi
 
Mi naomba niulize.
Kuna mtu kalazimishwa kukiri kosa? Mbona watu mmekazania kuwa anawaonea.

Kama unaona hujafanya kosa, usiombe msamaha na kesi itaendelea mahakamani. Tena inaweza kwenda haraka maana wengi wamekiri.

Mtu akiomba msamaha wakati hajafanya kosa, usimlaumu JPM. Ni mtu mwenyewe kaamua na katumia fursa.

We ukiona wakili wako na kesi yako unaweza shinda, usiombe msamaha. Hujalazimishwa.
Pia jiuluze kwanini yeye ndio aliyesema anashauri waombe msamaha wakati DPP yupo?

Je kesi alikuwa anazijua?

Kumbe ni rahisi kuwa mwinz the ukarudi kuomba msamaha
 
Wacha nao waishi maisha yetu, angalau kumlamba mtu miguu itawatosha kuwapa funzo, kwamba maisha yanenda yakirudi
Hata wakifungwa matajiri wote umasikini wako uliosababishwa na CCM,utabaki palepale au kuongezeka maradufu

By kichomiz
 
Kama alishauri, ndio aombe taarifa?
Moja kati ya nguzo kuu ya mawasiliano ni mrejesho. Akiwa bosi wako akikushauri unaufanyia kazi ushauri wake ukiona haufai humwambii tu haufai unamwambia kwanini haufai au ili ufae yapi ya kuzingatia.

Halikadhalika unapoona ushauri wake unafaa kumpa mrejesho chanya huwa sehemu ya utendaji.

Picha kubwa hapa ni kuhanikiza ubunifu kwa viongozi. Mkuu wewe hukuchoshwa na kila mwaka wa bajeti ni bia na sigara ndio vinapanda bei kwa asilimia kubwa? Afadhali tunaona sasa ma wigi nayo yanaenda kuchangia pato la Taifa.
 
Ruge alimuibia mtanzania gani au ndo umevimbewa propaganda!
Ruge alivyokuwa anabeba pesa kwenye masandarusi kama mchele alisahau?

Wakati wanakula walikua wanashinda angani kwenda ulaya

Leo wanatafuta huruma kwa Wananchi waliowaibia?

Sisi tulishazoea shida wao wameguswa kidogo tu kelele
 
Alisema baada ya hizi siku saba za nyongeza kesi zitaendeshwa hata kwa miaka ishirini. Tanzania yetu inapitia kipindi kigumu sana cha uongozi onevu sana!
Kwa hiyo kama huna cha kurejesha ndiyo unaozea mung'anda??
 
Ruge alivyokuwa anabeba pesa kwenye masandarusi kama mchele alisahau?

Wakati wanakula walikua wanashinda angani kwenda ulaya

Leo wanatafuta huruma kwa Wananchi waliowaibia?

Sisi tulishazoea shida wao wameguswa kidogo tu kelele

Yaani unawaza kimaskini sana kama baba yenu mzee Meko. Hivi mnadhani kwa kuwachukia matajiri kuna kitu mnaongeza?? Wewe ni mmoja wa wale taahira ambao hua mnashangilia kuitwa wanyonge na Mzee Meko!
 
Ruge alivyokuwa anabeba pesa kwenye masandarusi kama mchele alisahau?

Wakati wanakula walikua wanashinda angani kwenda ulaya

Leo wanatafuta huruma kwa Wananchi waliowaibia?

Sisi tulishazoea shida wao wameguswa kidogo tu kelele
Pamoja na vimbwanga vinavyoendelea awamu hii, si vibaya tukaweka kumbukumbu sahihi - bila kushiriki hii mijadala futile! Nilijua pesa za Stanbic ndizo zilizochukuliwa kwa viroba na sandarusi na sio za Ruge alizojitahidi kuwa "transparent" hata katika mgao wake. Bila shaka waliochota za Stanbic wanafahamika vyema huko Ikulu. Sijui kama nao wanahusika na msamaha huu? Interesting Tz.
 
Sawa mzalendo.
 
INAONEKANA Serikali inahitaji fedha, ndio sababu ya msingi kuongeza hizo siku 7. WAPO waliogoma kurejesha fedha. Kama watuhumiwa 467 wamejitokeza kurejesha bilioni 100 ni wazi wapo "MAPAPA" wamegoma kupiga magoti. Habinder Seth na Rugemalira pekee tuhuma zao ni 306bn. KAZI IPO!

Nimemsikiliza Rais akisema anaongeza siku nyingine 7 kwa watuhumiwa wa uhujumu uchumi kuomba radhi, kukiri kosa na kurejesha fedha, swali la msingi, mashtaka ya uhujumu uchumi, Rais anatajwa wapi katika sheria ya uhujumu uchumi kutoa msamaha kwa washitakiwa?

TAKUKURU wakamkamata Rugemalira, mahakama ya kuu, divisheni ya makosa ya uhujumu uchumi na rushwa ikamnyima dhamana kwa makosa ya uhujumu uchumi 350bn/- Mahakama ya rufaa ikagoma kutoa rufaa, Baadae RAIS anasema "kubali kosa, omba radhi, rejeshe fedha kuwa huru"

Maneno ya James Rugemalira 19.06.2019 mahakama ya rufaa

"kama ndivyo, naondoa rufaa. Sihitaji dhamana. Acha nibaki mahabusu hadi siku ya kusikilizwa shauri langu. Acha nibaki magereza, waache wanifunge kumaliza hili,natuhumiwa kuiba vitu ambavyo sijafanya. Naonewa bila kosa"
Baadae anakuja Rais anamueleza mtu huyu kwamba, akiri kosa, aombe radhi na alipe fedha hizo fedha anazotuhumiwa. UONEVU! DHULUMA! kukamata raia bila ushahidi, kubambikia mashtaka Baadae kuwataka walipe fedha ili waachiwe huru ni DHULUMA na UKATILI. Acheni kuwaonea watu.

Rais wangu nini tatizo.
Hivi guys ebu tuwe serious! Hivi kuna andiko au tamko au maelezo au maelekezo YOYOTE ya kumshinikiza mtu/mtuhumiwa/mhujumu uchumi AOMBE HUU MSAMAHA MANALI POPOTE? Au tunajaribu kuwasemea?Kwani mtuhumiwa akikataa huu msamaha si ataendelea na kesi yake? Hao wanaotajwa wana tuhuma za UHUJUMU UCHUMI kama wamewaambaia hawataki huu msamaha, well and good waendelee kuishi Keko/Segerea/Ukong sijui na wapi kwingine wangoje kesi zao. PERIOD.
 
Pamoja na vimbwanga vinavyoendelea awamu hii, si vibaya tukaweka kumbukumbu sahihi - bila kushiriki hii mijadala futile! Nilijua pesa za Stanbic ndizo zilizochukuliwa kwa viroba na sandarusi na sio za Ruge alizojitahidi kuwa "transparent" hata katika mgao wake. Bila shaka waliochota za Stanbic wanafahamika vyema huko Ikulu. Sijui kama nao wanahusika na msamaha huu? Interesting Tz.
Ni kweli Drifter, this is a very intersting TANZANIA. Haya mambo yalifanyika kidogo wakati wa Awamu ya Kwanza, sijui kama unakumbuka au ulikuwa nje ya nchi au ulikuwa bado unasoma. Sasa yanafanyika kwa uwazi zaidi ndiyo maana kila mtu anayafahamu na anazungumza yake kadri apendavyo. Binafsi naamini yakuja na mengine mengi mazuri na ya huruma kwa Watanzania.
 
Ruge alivyokuwa anabeba pesa kwenye masandarusi kama mchele alisahau?

Wakati wanakula walikua wanashinda angani kwenda ulaya

Leo wanatafuta huruma kwa Wananchi waliowaibia?

Sisi tulishazoea shida wao wameguswa kidogo tu kelele
Basi bila shaka Kikwete inabidi awe jera muda huu?
 
Ruge alivyokuwa anabeba pesa kwenye masandarusi kama mchele alisahau?

Wakati wanakula walikua wanashinda angani kwenda ulaya

Leo wanatafuta huruma kwa Wananchi waliowaibia?

Sisi tulishazoea shida wao wameguswa kidogo tu kelele
Wengine aliobeba nao hela kwenye masandarusi mbona huwataji? Alibeba hela Rugemalila peke yake?
 
INAONEKANA Serikali inahitaji fedha, ndio sababu ya msingi kuongeza hizo siku 7. WAPO waliogoma kurejesha fedha. Kama watuhumiwa 467 wamejitokeza kurejesha bilioni 100 ni wazi wapo "MAPAPA" wamegoma kupiga magoti. Habinder Seth na Rugemalira pekee tuhuma zao ni 306bn. KAZI IPO!

Nimemsikiliza Rais akisema anaongeza siku nyingine 7 kwa watuhumiwa wa uhujumu uchumi kuomba radhi, kukiri kosa na kurejesha fedha, swali la msingi, mashtaka ya uhujumu uchumi, Rais anatajwa wapi katika sheria ya uhujumu uchumi kutoa msamaha kwa washitakiwa?

TAKUKURU wakamkamata Rugemalira, mahakama ya kuu, divisheni ya makosa ya uhujumu uchumi na rushwa ikamnyima dhamana kwa makosa ya uhujumu uchumi 350bn/- Mahakama ya rufaa ikagoma kutoa rufaa, Baadae RAIS anasema "kubali kosa, omba radhi, rejeshe fedha kuwa huru"

Maneno ya James Rugemalira 19.06.2019 mahakama ya rufaa

"kama ndivyo, naondoa rufaa. Sihitaji dhamana. Acha nibaki mahabusu hadi siku ya kusikilizwa shauri langu. Acha nibaki magereza, waache wanifunge kumaliza hili,natuhumiwa kuiba vitu ambavyo sijafanya. Naonewa bila kosa"
Baadae anakuja Rais anamueleza mtu huyu kwamba, akiri kosa, aombe radhi na alipe fedha hizo fedha anazotuhumiwa. UONEVU! DHULUMA! kukamata raia bila ushahidi, kubambikia mashtaka Baadae kuwataka walipe fedha ili waachiwe huru ni DHULUMA na UKATILI. Acheni kuwaonea watu.

Rais wangu nini tatizo.
Kwani Rais kamlazimisha mtu aliombe msamaha,pia hakuna serikali isiyohitaji fedha ili kujiendesha,au Mkuu unataka turidhike na misaada wakati pesa zetu kuna watu wamekula/wanazo? Nilimsikia Rais anasema waombe msamaha kama sheria zinaruhusu,so naamini wataalamu wa sheria walipitia na wakaona inawezekana. Acha wenye uwezo wa kukikiri warudi mtaani familia,ndugu na marafiki zao wanawahitaji kuliko wapinga chochote. Kila siku wanasema Rais mkali na katili sasa anasamehe mnakuja kupinga tena.
 
Binafsi kwa hili namuunga mkono jiwe na awakamue kwel kwel.. Humu kuna watu walikuwa wanyalalamika ooh jamaa alisema atawashughulikia Mafsad mbna hakuna Anachofanya sasa hv anakamuwa hawa watu...kuna mijtu inajitokeza tena inawatete haya mafisad
 
Back
Top Bottom