OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,235
- 103,881
Hela imekosekana toka lini? Thamani yake imepanda? Purchasing power yake imepanda?Ni sawa kabisa upungufu wa hela husababisha thamani ya hela kupanda...
Kiasi kidogo kinunue vitu vingi. Hela ngumu vitu vinapanda, hapo nini sasa?Iwe ngumu kuipata lakini iwe na thamani sio shilindi 2500 kwa dola moja.
Ni sawa kabisa upungufu wa hela husababisha thamani ya hela kupanda...
Alifafanua alichomaanisha.
Uchumi mzuri sio kuwa na access ya pesa bila kazi. Pesa zinakuwa ngumu kwa maana ya upatikanaji wake unahitaji kufanya kazi halali kwa bidii na kwa kufanya hivyo uchumi unakua
Kazi halali huku wengine waki-free ride?Alifafanua alichomaanisha.
Uchumi mzuri sio kuwa na access ya pesa bila kazi. Pesa zinakuwa ngumu kwa maana ya upatikanaji wake unahitaji kufanya kazi halali kwa bidii na kwa kufanya hivyo uchumi unakua
Kama unafanya kazi kwa bidii ya kuuza chakula na watu hawanunui kuna mawili.Mkuu hata kama unafanya kazi kwa bidii na hao Wateja hauwaoni ,bado unatarajia mafanikio ?..
Sasa hii ni ngumu kupata na haina thamaniAlifafanua alichomaanisha.
Uchumi mzuri sio kuwa na access ya pesa bila kazi. Pesa zinakuwa ngumu kwa maana ya upatikanaji wake unahitaji kufanya kazi halali kwa bidii na kwa kufanya hivyo uchumi unakua
Uchumi haushikwi na pesa halali tuu ata haramu pia... Zinafanya mambo...alifafanua alichomaanisha.
uchumi mzuri sio kuwa na access ya pesa bila kazi.
pesa zinakuwa ngumu kwa maana ya upatikanaji wake unahitaji kufanya kazi halali kwa bidii, na kwa kufanya hivyo uchumi unakua.
hayo ni matatizo mengine...Kazi halali huku wengine waki-free ride?
Vipi kuhusu purchasing power kupungua? Vipi kuhusu mfumuko wa bei na vitu kuwa ghali?
NMB nao hawafanyi kazi?alifafanua alichomaanisha.
uchumi mzuri sio kuwa na access ya pesa bila kazi.
pesa zinakuwa ngumu kwa maana ya upatikanaji wake unahitaji kufanya kazi halali kwa bidii, na kwa kufanya hivyo uchumi unakua.
sisi tumechagua halali... na karata zikikaa vizuri watu watakuja kuiga hiyo model ya uchumi halaliUchumi haushikwi na pesa halali tuu ata haramu pia... Zinafanya mambo...