Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Uchaguzi utafanyika, wapo wanaofikiri kwamba tutaahirisha. Nani anataka kukaa kwenye maofisi haya muda wote huo?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Rais Magufuli akipokea ripoti ya Takukuru na ya CAG amesema kwamba uchaguzi hautaahirishwa kutokana na uwepo wa ugonjwa wa Corona.



NUKUU

"Sisi tunaendelea kukutana, ndiyo maana hata Bunge linaendelea na vikao vyake, hata huko kwenye nchi zilizoathirika kabisa, mamilioni ya watu wamekufa kwa corona, bado mabunge yao yanakutana. Kazi lazima ziendelee...

"Na uchaguzi tutafanya, wapo wanaofikiri kwamba tutaahirisha, nani anataka kukaa kwenye maofisi haya muda wote huo,"
 
Uchaguzi utahairishwa ikitokea kukiwa na maambukizi makubwa.
 
Rais Magufuli kasisitiza kuwa uchaguzi mkuu 2020 upo palepale, jee wapinzani waliosema kama hakuna Tumehuru ya uchaguzi basi watahakikisha kuwa haufanyiki nini kinaendelea?

Hivi kweli serikali hii inaweza kujitia uziwi kwenye jambo hili LA Tumehuru na kusubiri matokeo ya nini watafanya upinzani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnasubiri Rais awape Tume huru badala ya kupambana muipate
 
Asichokijua ni kwamba kwa uzembe uliofanyika wa kucontroll Corona hadi kufikia mwezi wa kumi tutakuwa kama Italy mara nne hivi!
Wanasema watu weusi hawaugui Corona.

Halafu Magu kaachia watu wasali makanisani na misikitini.

Anasema Mungu atatusaidia.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…