Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Uchaguzi utafanyika, wapo wanaofikiri kwamba tutaahirisha. Nani anataka kukaa kwenye maofisi haya muda wote huo?

"Nani anataka kukaa kwenye maofisi haya muda wote huo?" - JPM

maneno haya mujarab kabisa.

watu huku mtaani wanapiga jaramba kumsubiri Bashite atakapokuwa "nobody" ndiposa atajua jina lake halisi kumbe ni Daudi!!
Unajua Shida inakujaje
Endapo Uongozi hautabadilika ukaendelea kua wa Fisiemu. Trust me watamlinda
Lakini kinyume na hapo Bashite dunia ataiona chungu hii
 
KUTUMBULIWA SI MCHEZO LAZIMA UJAE UPEPO
NA UTACHUKULIWA WEWE MAPEMAA HATA 2021 HUTAIONA.
wala mkuu mimi sio miongoni mwao niko huku nchi za watu nakula upepo tu..
Ila kiukweli hana maono ya kuongoza nchi, Kifo sio tatzo kwangu maana sina impact kwa watz walio wengi Zaidi ya familia yangu,..Ila yeye ni kama anatesa taifa zima ni bora Israel afanye kazi yake taifa lianze upya..
 
Wanasema watu weusi hawaugui Corona.

Halafu Magu kaachia watu wasali makanisani na misikitini.

Anasema Mungu atatusaidia.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Kwani unataka hadi rais akufunge kamba usiende sehemu kisa Corona?

Wewe ukiamua kukaa ndani na kujifungia usiende kazini,msikitini au kabisa amua tu sio lazima mheshimiwa rais aseme
 
Basi we tulia tu kwanza hii nchi iliisha pinda acha ainyoshe.
Wewe kaa huko huko mpaka atoke usithubutu kurudi, utaungana nao kisutu.
wala mkuu mimi sio miongoni mwao niko huku nchi za watu nakula upepo tu..
Ila kiukweli hana maono ya kuongoza nchi, Kifo sio tatzo kwangu maana sina impact kwa watz walio wengi Zaidi ya familia yangu,..Ila yeye ni kama anatesa taifa zima ni bora Israel afanye kazi yake taifa lianze upya..
 
Katiba hawataki, tume huru hawataki, kukaa maofisini muda mrefu hawataki, ndiomaana CCM imekuwa ni chama rafiki wa shetani.
 
huyu jamaa japo nilimpa kura 2015...but now naomba isarel mtoa roho afanye yake
ukweli wa Mungu mie ni sawa na ww kbs ila tunapishana kwenye kumuombea mabaya tuu...kura yangu hataipata 2020 ingawa 2015 aliipata.

Hata akitangazwa kashinda kwa 100% ila kura yangu itakuwa ni miongoni mwa iliyoyeyuka hewani!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais-magufuli-uchaguzi-utafanyika-wapo-wanaofikiri-kwamba-tutaahirisha-nani-anataka-kukaa-kwenye-maofisi-haya-muda-wote-huo.

Rais Magufuli akipokea ripoti ya Takukuru na ya CAG amesema kwamba uchaguzi hautaahirishwa kutokana na uwepo wa ugonjwa wa Corona.

NUKUU
"Sisi tunaendelea kukutana, ndiyo maana hata Bunge linaendelea na vikao vyake, hata huko kwenye nchi zilizoathirika kabisa, mamilioni ya watu wamekufa kwa corona, bado mabunge yao yanakutana. Kazi lazima ziendelee...

"Na uchaguzi tutafanya, wapo wanaofikiri kwamba tutaahirisha, nani anataka kukaa kwenye maofisi haya muda wote huo,"
 
Ameyasema hayo wakati akipokea ripoti ya TAKUKURU na CAG, amesisitiza wale wanaofikiri atasogeza uchaguzi mbele wanajidanganya.
 
wala mkuu mimi sio miongoni mwao niko huku nchi za watu nakula upepo tu..
Ila kiukweli hana maono ya kuongoza nchi, Kifo sio tatzo kwangu maana sina impact kwa watz walio wengi Zaidi ya familia yangu,..Ila yeye ni kama anatesa taifa zima ni bora Israel afanye kazi yake taifa lianze upya..
Uko sahihi Mkuu, hata katika Imani zetu, ili wengine wapone Kuna watu inabidi Israeli afanye kazi yake, vinginevyo itakuwa taabu mwanzo mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna nchi hata moja watu wamekufa mamilioni, pili ofisi za serikali ni tamu na wanatamani kukaa humo hii mambo yakujidai hutaki kitu huku unaonekana unakifurahia videadly siyoishu!!
Maambukizi yakizidi uchaguzi itabidi kusogezwa mbele kuepusha maambukizi hatuwezi kuacha watu wafe kisa ikulu.
 
Back
Top Bottom