Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,385
Rais Magufuli akipokea ripoti ya Takukuru na ya CAG amesema kwamba uchaguzi hautaahirishwa kutokana na uwepo wa ugonjwa wa Corona.
NUKUU
"Sisi tunaendelea kukutana, ndiyo maana hata Bunge linaendelea na vikao vyake, hata huko kwenye nchi zilizoathirika kabisa, mamilioni ya watu wamekufa kwa corona, bado mabunge yao yanakutana. Kazi lazima ziendelee...
"Na uchaguzi tutafanya, wapo wanaofikiri kwamba tutaahirisha, nani anataka kukaa kwenye maofisi haya muda wote huo,"