Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Uchaguzi utafanyika, wapo wanaofikiri kwamba tutaahirisha. Nani anataka kukaa kwenye maofisi haya muda wote huo?

Sio kwamba angesema kufanyika kwa uchaguzi mkuu kutategemea na hali ya coronavirus kuonesha busara na hekima ya hali ya juu, ikiwemo hekima iliyopo kwenye nembo ya 'uhuru na hekima' ya UDSM?
 
Kwani unataka hadi rais akufunge kamba usiende sehemu kisa Corona?

Wewe ukiamua kukaa ndani na kujifungia usiende kazini,msikitini au kabisa amua tu sio lazima mheshimiwa rais aseme
Viongozi kazi yao ni kuongoza.

Au unataka viongozi wasioongoza?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Sio kwamba angesema kufanyika kwa uchaguzi mkuu kutategemea na hali ya coronavirus kuonesha busara na hekima ya hali ya juu, ikiwemo hekima iliyopo kwenye nembo ya 'uhuru na hekima' ya UDSM?
Hiyo ingeleta tafrani,maneno yangekuwa mengi. Mpaka muda wa uchaguzi Corona itakuwa imekwisha na kama ikiwepo kwa kiwango cha sasa tutajua la kufanya.UCHAGUZI LAZIMA UFANYIKE.
 
Kwani unataka hadi rais akufunge kamba usiende sehemu kisa Corona?

Wewe ukiamua kukaa ndani na kujifungia usiende kazini,msikitini au kabisa amua tu sio lazima mheshimiwa rais aseme
Ingekuwa hivyo hivyo hadi kwenye mechi za mpira wa miguu,mikutano ya kisiasa NK!Mtu atakayejisikia aende na asiyejisikia asiende ajifungie ndani,shwain!
 
Mungu ampe ufahamu wa kujua kuwa amefeli na ameharibu nchi hivyo 2020 ampishe mwenye uwezo kwenye hiyo office
Nani wakumwachia nchi toka upinzani? Mbowe? Unataka Hazina yetu itoweke kabisa then akimbilie Marekani? Si unaona hata watoto wake majina yao ya Kimarekani.
 
Ingekuwa hivyo hivyo hadi kwenye mechi za mpira wa miguu,mikutano ya kisiasa NK!Mtu atakayejisikia aende na asiyejisikia asiende ajifungie ndani,shwain!
Kwaiyo hadi majukumu na maamuzi yako ya ngazi familia unataka maelekezo ya rais?

Basi subiri uteelekezwa cowards
 
Back
Top Bottom