Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Uchaguzi utafanyika, wapo wanaofikiri kwamba tutaahirisha. Nani anataka kukaa kwenye maofisi haya muda wote huo?

Wadau ukiangalia mahangaiko yanayoendelea ya kubadilisha sheria na kuhujumu cdm. Je kuna uchaguzi kweli au ni kutimiza ratiba maana ninachoona mtaani ni sherehe kwamba mwaka huu ccm itashinda kwa kishindo na shangwe kuu ni pale rais alipoisulubisha cdm kwa kutuia dola

Novemba baada ya uchaguzi tutashuhudia mengi sana ila mimi ninapendelea wangeweka picha ya rais na kivuli ingependeza
 
Kuna mtu ana hasira ya kushindwa kuua upinzani, hivyo mwacheni ajifriji kwa maigizo haya.
kabisa na anashindwa kuelewa upinzani siyo chama ni watu na uko damini mtu anaweza chukua kadi ya ccm na akabaki upinzani na mwishowe akawadhuru vizuri ngoja wajifariji
 
Back
Top Bottom