Sekondari kwenyewe ukifundisha kwa kingereza wanafunzi hawaelewi
Hao Walimu wa kufundisha wanatoka wapi?
Yap, wazo lako ni zr sn maana kuna watoto huku shule zetu hz akili wanazo ila kimombo huku sec ndo kinawazingua.Ombi kwako Rais wangu.
Shule za Serikali za english medium ni chache sana.
Najua unajua ukweli kwamba hata viongozi kama mawaziri na wakurugenzi hawapeleki watoto watoto wao kwenye shule za msingi Kiswahili.
Na sisi raia wa kawaida tunapenda watoto wetu wafundishwe kwa lugha ya dunia english mapema waijue.
Tunaomba shule za serikali kama Olimpio ziwe nyingi miji mikubwa.
Wazazi mjiongeze. Mmewazaa hao watoto, watafutieni nyenzo za kuboresha maisha yao ikiwemo elimu. Mtaiachia serikali na waalimu kama vile ndio waliwaleta duniani.Yap, wazo lako ni zr sn maana kuna watoto huku shule zetu hz akili wanazo ila kimombo huku sec ndo kinawazingua.
Usije ukachanganya vitu viwili kujua content na kujua kuongea kwa ufasaha lugha FulaniNi kweli haipendezi, unakuta mtu mzima na Phd yake ya Udom lakini Kiingereza sifuri.
Sio wote wenye uwezo wa kupeleka mtoto English medium, hutambui hilo?Wazazi mjiongeze. Mmewazaa hao watoto, watafutieni nyenzo za kuboresha maisha yao ikiwemo elimu. Mtaiachia serikali na waalimu kama vile ndio waliwaleta duniani.
Hao Walimu wa kufundisha wanatoka wapi?
Hata wakiwa shule za kata, mzazi ahakikishe mwanae ana vitabu, na akae naye amfundishe penye upungufu.Sio wote wenye uwezo wa kupeleka mtoto English medium, hutambui hilo?
Aisee ndugu..sie wazazi hata kiingereza chenyewe hatujui. Unaongea as if wazazi wote wapo sawa na wewe. Hapa tunataka kulikomboa taifa na si mtoto mmoja mmoja. Itafutwe solution itakayobadilisha sekta ya elimuHata wakiwa shule za kata, mzazi ahakikishe mwanae ana vitabu, na akae naye amfundishe penye upungufu.
Huyo jiwe mwenyewe kiingereza cha ugoko sasa wewe unatarajia yeye atakubali?Ombi kwako Rais wangu.
Shule za Serikali za english medium ni chache sana.
Najua unajua ukweli kwamba hata viongozi kama mawaziri na wakurugenzi hawapeleki watoto watoto wao kwenye shule za msingi Kiswahili.
Na sisi raia wa kawaida tunapenda watoto wetu wafundishwe kwa lugha ya dunia english mapema waijue.
Tunaomba shule za serikali kama Olimpio ziwe nyingi miji mikubwa.
Wazo zuri.Ombi kwako Rais wangu.