technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,694
- 58,737
- Thread starter
-
- #141
Mkuu upo sahii huyu mtu anaitajika Kwa garama yeyote!!Mh rais, tunaomba pokeawazo hili kwani watanzania tinamuamini sana Dr slaa kama tukuaminivyo wewe,tunaimani akija kukusaidia kasi yautendaji namafanikio itaongezeka. Raid wetu tunaomba fanyiakazi wazohili utaona mafanikioyake
dua za kuku hizi!Mweshimiwa Rais Dr: Magufuli ningependa kama utapangua safu yako ya uongozi mlete Dr slaa huyu anaweza kuwa kiungo mzuri wa kwendana na kasi yako!
Ni mtu mwadilifu !!
Mtu mtiifu Mwenye pia hofu ya mungu!!
Dr slaa naamini kabisa bado ana uwezi wa kulitumikia taifa kutoka na misimamo yake thabiti wengi mtakuwa mashaidi jinsi alivyokuwa ameijenga chadema kufanya kuwa taasisi imara huko nyuma misimamo yake juu ya mustakabari wa nchi hii anazo sifa zote za kufanikisha ndoto yake ya kulitumikia taifa kwa njia nyingine!!
Rais wetu naamini wewe ni msikivu. Tafathari lifanyie kazi jambo hili
Huyu mtu anakufaa sio lazima awe waziri hapana ilimladi aweze kulisaidia taifa!!
Ni vema sana kama angeungana na kufanya kazi na wewe kwani ni makini sana kama walivyo baadhi ya mawaziri wako walio makini kama
Hussein Mwinyi
Makame Mbarawa na
Joyce Ndalichako
Rais magufuli mlete Dr slaa!!
Ukweli wako ni upi sasaAcha uongo mkuu
Maoni yako hayo uaiwasemee WatanzaniaDr Slaa amestaafu siasa za Tanzania baada kutofautiana na wenzake ndani ya CHADEMA na kuamua kukitema chama wakati uchaguzi mkuu wa mwaka jana.Ni bora akaendelee kuishi huko ughaibuni labda kama akipewa hadhi ya ubalozi kama kaishiwa pesa huko nje,LAKINI asipewe kazi hapa nchini ni KICHEFUCHEFU
Wataelewana tu kwani democrasia pekee ndio inaunganisha watu??Mmoja anaamini katka democrasia na mwingine kama anavoamini yeye, sasa wataelewana labda kama dr slaa amepigika sana.
Wivudua za kuku hizi!
Hii bila shaka itakuwa ni lugha ya 'ng'ombe' mwenye mkia!Hofu yangu ni je akiwa souble Argent?
Mkuu nilikwambia ufafanue ukweli wako ueleweke tukusaidie!!Ukweli wako ni upi sasa
Si mlikuwa mnamtukanaHofu yangu ni je akiwa souble Argent?
Kwani wewe si ulikuwa unamtukana lowassa??Si mlikuwa mnamtukana
Slaa ni mwadilifuNina shaka na uadilifu
Inaonekana unajua mengi gunguka mkuuKazi anayokifanyia kitengo inazidi hiyo unayotaka JPM ampe
Una uhakika??Mwacheni padri wa watu ajilie mafao yake aliyovuna Lumumba.
Haaah kwanini mkuu njoo na hojaSasa mkinpeleka Dr Mihogo CCM inapasuka nawaapia jaribuni muone.