Rais Magufuli tunamtaka Dr. Slaa

naunga mkono hoja!!!ampe hata taasisi moja tu inatosha!!tatizo ni bavicha na chama chao watasema eti anaminya demokrasia au eti analipa fashila!!bavicha huwa hawaoni jema lifanywalo na CCM!!
Wewe ccm wamekufanyia lipi jema?
 
Slaa anajua sana siassa za. tanzamia
 
Naunga mkono hoja!!!ampe hata taasisi moja tu inatosha!!tatizo ni bavicha na chama chao watasema eti anaminya demokrasia au eti analipa fashila!!bavicha huwa hawaoni jema lifanywalo na CCM!!
Dr. Slaa alishapewa taasisi siku nyingi - yeye ni raisi wa CCRBT
 
Nyama ya Chair Fire ni haramu hivyo pia supu yake ni haramu pia kwani itakuwa ni ya Chair Fire pia na siyo mnyama mwingine.
 
 
Dr.Slaa atamfunika Dr.Magufuli.Hawezi kufanya hilo kosa na ndio maana amechagua PM dhaifu!
 
Mh rais, tunaomba pokeawazo hili kwani watanzania tinamuamini sana Dr slaa kama tukuaminivyo wewe,tunaimani akija kukusaidia kasi yautendaji namafanikio itaongezeka. Raid wetu tunaomba fanyiakazi wazohili utaona mafanikioyake
 
Dr.Slaa atamfunika Dr.Magufuli.Hawezi kufanya hilo kosa na ndio maana amechagua PM dhaifu!
Haaaaah wewe tunachotaka sisi kazi sio mambo ya siasa kama atamfunika kwa kufanikisha Marengo nipoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…