Rais Magufuli toa onyo kuhusu mavazi ya dada zetu, ni aibu tupu

Sio kila kitu rais na hakuna tatizo lolote na mavazi ya kisasa ya dada zetu, tena wengine ndio kwanza tunataka wavae zile suti za birthday kabisa kwa sababu hata hizo nguo sio utamaduni wetu, mavazi yetu ya asili ni haya! .

0-jpg.407329
< >

7e0855929a012845872f1e0d45ea7069-jpg.407330
< >

Pasco
 
Attachments

  • 0.jpg
    0.jpg
    22.2 KB · Views: 329
  • 7e0855929a012845872f1e0d45ea7069.jpg
    7e0855929a012845872f1e0d45ea7069.jpg
    32.4 KB · Views: 391
  • 804c475d93b4b8d38833b599baeec276.jpg
    804c475d93b4b8d38833b599baeec276.jpg
    13.5 KB · Views: 160
  • Mini3.jpg
    Mini3.jpg
    24.7 KB · Views: 1,044
  • virgin8.png
    virgin8.png
    198.7 KB · Views: 352
  • maxresdefault.jpg
    maxresdefault.jpg
    105 KB · Views: 870
  • swazi-girls-d.jpg
    swazi-girls-d.jpg
    30.4 KB · Views: 98
  • 1-SdjGaoSiBvpmhQogOTxHyg.jpeg
    1-SdjGaoSiBvpmhQogOTxHyg.jpeg
    53.8 KB · Views: 167
  • 51-nyangatom-go-07.jpg
    51-nyangatom-go-07.jpg
    35 KB · Views: 110
Sio kila kitu rais na hakuna tatizo lolote na mavazi ya kisasa ya dada zetu, tena wengine ndio kwanza tunataka wavae zile suti za birthday kabisa kwa sababu hata hizo nguo sio utamaduni wetu, mavazi yetu ya asili ni haya! .
Hivyo tuu wanavyovaa ni heshima sana, karibu Coco Beach siku za Jumamosi na Jumapili uje usafishe macho ndipo utakubaliana hao unaowalalamikia .

Pasco

Mkuu pasco nipe mchongo wa visa za huko wanakopatikana hawa viumbe nataka nizamie huko. Bongo michosho kuishi na watu kama aliyeanzisha mada hii. Badala ashugulikie kwao huko analeta ujinga JF
 
Mnaopenda kuona mavazi yasiyo na staha hamieni ulaya ila sisi washamba tutatumia mamlaka zote kuhakikisha nidhamu ya uvaaji inadumishwa.
 
Mh. Rais Magufuli natumai hujambo na ni mwingi wa afya njema, hata mimi mwananchi wako niko salama na wa afya njema nikiendelea kujivunia kuwa mtanzania nnaeheshimika kwa sasa kwa sababu ya uongozi wako mathubuti.

Mh. Rais sitaki nikuchoshe sana acha nikujuze tu jambo hili linalotukera sana huku mtaani japo nafahamu huenda unafahamu pia.

Mh. Rais kwa maadili ya kitanzania na jamii nzima ya watanzania mdada au mwanamke kuvaa nguo zinazobana na kuchola mwili hutafusiliwa ni kukosa heshima kwa jamii, lakini pamoja na hilo dada zetu huku mjini ndio wanazidi kuvaa hivi vinguo vya aibu kiasi kwamba akipita usoni pengine umekaa na mama au baba huenda ukalazimika kufumba macho ili apite kwani ni fedhea na aibu ya aina yake.

Mh. Rais natambua kuwa kauli yako ni sheria kwetu na ukitamka sie lazima tutekeleze hivyo basi nakuomba kwa niaba ya wapenda maadili utoe kauli inayozuia uvaaji huu wa aibu, zaidi nikutakie afya njema na nnazidi kukuombea kwa mungu aendelee kukupa nguvu nyingi na kheri katika utumishi wako.
 
Waacheni wavae tu,maana sanyingine no stress relief esp.pale unapombambia kwenye daladala kwa nyuma mmmh churaaah
 
mleta uzi una sifa hizi
1.unatamani sana wanawake ila kinywa chako kizito,na unapowaangalia unapata msisimko
2.mleta uzi wewe huna demu kama unaye basi ni love story za kiphilipino na kama sio wewe ni bikra wa kisukuma
3.mleta uzi ukawii kupandisha nyege pindi mtazamapo mwanamke mrembo katika mavazi ya kuvutia
4.Mleta uzi wewe ni mwathirika wa punyeto kwa kiwango cha hali ya juu.
5.Una chuki na wanawake wenye maumbile mazuri na yenye mvuto kwa mwanaume yeyote yule.
6.Una allergy na maumbile mazuri ya kike mfano maziwa yaliyobostiwa yakaonekana,paja jeupe na kiuno kizuri ambacho kimo ndani ya cheni.
usitumie kigezo cha maadili kutaka kujificha mkuu.
 
Mh. Rais Magufuli natumai hujambo na ni mwingi wa afya njema, hata mimi mwananchi wako niko salama na wa afya njema nikiendelea kujivunia kuwa mtanzania nnaeheshimika kwa sasa kwa sababu ya uongozi wako mathubuti.

Mh. Rais sitaki nikuchoshe sana acha nikujuze tu jambo hili linalotukera sana huku mtaani japo nafahamu huenda unafahamu pia.

Mh. Rais kwa maadili ya kitanzania na jamii nzima ya watanzania mdada au mwanamke kuvaa nguo zinazobana na kuchola mwili hutafusiliwa ni kukosa heshima kwa jamii, lakini pamoja na hilo dada zetu huku mjini ndio wanazidi kuvaa hivi vinguo vya aibu kiasi kwamba akipita usoni pengine umekaa na mama au baba huenda ukalazimika kufumba macho ili apite kwani ni fedhea na aibu ya aina yake.

Mh. Rais natambua kuwa kauli yako ni sheria kwetu na ukitamka sie lazima tutekeleze hivyo basi nakuomba kwa niaba ya wapenda maadili utoe kauli inayozuia uvaaji huu wa aibu, zaidi nikutakie afya njema na nnazidi kukuombea kwa mungu aendelee kukupa nguvu nyingi na kheri katika utumishi wako.
Nimekusikia nitalifanyia kazi
 
point mkuu, nimeona aliyeandika uzi anajiita ngoshaboy, wala sikuumiza kichwa kumjibu.
 
Sio kila kitu rais na hakuna tatizo lolote na mavazi ya kisasa ya dada zetu, tena wengine ndio kwanza tunataka wavae zile suti za birthday kabisa kwa sababu hata hizo nguo sio utamaduni wetu, mavazi yetu ya asili ni haya! .
Hivyo tuu wanavyovaa ni heshima sana, karibu Coco Beach siku za Jumamosi na Jumapili uje usafishe macho ndipo utakubaliana hao unaowalalamikia .

Pasco
Ha ha naona watoto wa king muswati
 
mleta uzi una sifa hizi
1.unatamani sana wanawake ila kinywa chako kizito,na unapowaangalia unapata msisimko
2.mleta uzi wewe huna demu kama unaye basi ni love story za kiphilipino na kama sio wewe ni bikra wa kisukuma
3.mleta uzi ukawii kupandisha nyege pindi mtazamapo mwanamke mrembo katika mavazi ya kuvutia
4.Mleta uzi wewe ni mwathirika wa punyeto kwa kiwango cha hali ya juu.
5.Una chuki na wanawake wenye maumbile mazuri na yenye mvuto kwa mwanaume yeyote yule.
6.Una allergy na maumbile mazuri ya kike mfano maziwa yaliyobostiwa yakaonekana,paja jeupe na kiuno kizuri ambacho kimo ndani ya cheni.
usitumie kigezo cha maadili kutaka kujificha mkuu.
View attachment 407392
haya kapige punyeto sasa.
Ha ha mie nimiependa supu
 
Back
Top Bottom