Rais Magufuli toa onyo kuhusu mavazi ya dada zetu, ni aibu tupu

ngoshaboy

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
231
193
Mh. Rais Magufuli natumai hujambo na ni mwingi wa afya njema, hata mimi mwananchi wako niko salama na wa afya njema nikiendelea kujivunia kuwa mtanzania nnaeheshimika kwa sasa kwa sababu ya uongozi wako mathubuti.

Mh. Rais sitaki nikuchoshe sana acha nikujuze tu jambo hili linalotukera sana huku mtaani japo nafahamu huenda unafahamu pia.

Mh. Rais kwa maadili ya kitanzania na jamii nzima ya watanzania mdada au mwanamke kuvaa nguo zinazobana na kuchola mwili hutafusiliwa ni kukosa heshima kwa jamii, lakini pamoja na hilo dada zetu huku mjini ndio wanazidi kuvaa hivi vinguo vya aibu kiasi kwamba akipita usoni pengine umekaa na mama au baba huenda ukalazimika kufumba macho ili apite kwani ni fedhea na aibu ya aina yake.

Mh. Rais natambua kuwa kauli yako ni sheria kwetu na ukitamka sie lazima tutekeleze hivyo basi nakuomba kwa niaba ya wapenda maadili utoe kauli inayozuia uvaaji huu wa aibu, zaidi nikutakie afya njema na nnazidi kukuombea kwa mungu aendelee kukupa nguvu nyingi na kheri katika utumishi wako.
 
Hili kweli linastahili Mh rais alitumbue. Linavuruga maadili, kuharibu watoto kwa kuonyesha mfano mbaya
 
Police watusaidie pia kuhusu hili na ili kukomesha zaidi Raisi aseme tu japo neno moja aone sasa hiyo kampeni tokomeza vimini na vitaiti inavyofana.
 
Mh. Rais Magufuli natumai hujambo na ni mwingi wa afya njema, hata mimi mwananchi wako niko salama na wa afya njema nikiendelea kujivunia kuwa mtanzania nnaeheshimika kwa sasa kwa sababu ya uongozi wako mathubuti.

Mh. Rais sitaki nikuchoshe sana acha nikujuze tu jambo hili linalotukera sana huku mtaani japo nafahamu huenda unafahamu pia.

Mh. Rais kwa maadili ya kitanzania na jamii nzima ya watanzania mdada au mwanamke kuvaa nguo zinazobana na kuchola mwili hutafusiliwa ni kukosa heshima kwa jamii, lakini pamoja na hilo dada zetu huku mjini ndio wanazidi kuvaa hivi vinguo vya aibu kiasi kwamba akipita usoni pengine umekaa na mama au baba huenda ukalazimika kufumba macho ili apite kwani ni fedhea na aibu ya aina yake.

Mh. Rais natambua kuwa kauli yako ni sheria kwetu na ukitamka sie lazima tutekeleze hivyo basi nakuomba kwa niaba ya wapenda maadili utoe kauli inayozuia uvaaji huu wa aibu, zaidi nikutakie afya njema na nnazidi kukuombea kwa mungu aendelee kukupa nguvu nyingi na kheri katika utumishi wako.
Poleka ushamba wako wa miaka mia moja iliyopita huko. Mwanamke akivaa nguo ya kubana amekubana wewe? Kama wewe ni mkereketwa wa ''kufundisha heshima'' basi fundisha mkeo na watoto wako namna ya kuvaa. Huna mamlaka wala uwezo wa kumpangia mtu avae nini. Hata rais wa nchi hana mamlaka ya kupangia watu wavae namna gani!
 
Eti kwa maadili na jamii ya kitanzania, kama ndo hivo watu wangekuwa wanavaa traditional clothing. Cause nguo zingine zozote sio culture yetu
Halafu sio kila kitu mpaka Rais asolve, tafuta suluhu kwa njia nyingine
 
Mnamuonea sasa huyo rais aache kushughulika na mambo mazito yanayoikabili taifa azungumzie vimini kweli.
Hapa jamii yenyewe ndo ikiamua inaweza kukomesha hii tabia ila sio suala la kushughulikiwa na rais
Mnakaa nao na mnaishi nao nyie
Hata hivo ni ngumu sana kutokomeza kumbuka tupo digital asa hivi wakati wewe unapreach watu wavae vizuri media nazo zinawabrainwash waende na wakati
 
Wakivaa manguo marefu na yakumwaga utawataman hzo Zinazo bana ndio nzur kwan nawenyewe wanatutendaa haki na pia ndio unashawishika kuwatongoza kwa hayo mavaz ya kubana
 
Mh. Rais Magufuli natumai hujambo na ni mwingi wa afya njema, hata mimi mwananchi wako niko salama na wa afya njema nikiendelea kujivunia kuwa mtanzania nnaeheshimika kwa sasa kwa sababu ya uongozi wako mathubuti.

Mh. Rais sitaki nikuchoshe sana acha nikujuze tu jambo hili linalotukera sana huku mtaani japo nafahamu huenda unafahamu pia.

Mh. Rais kwa maadili ya kitanzania na jamii nzima ya watanzania mdada au mwanamke kuvaa nguo zinazobana na kuchola mwili hutafusiliwa ni kukosa heshima kwa jamii, lakini pamoja na hilo dada zetu huku mjini ndio wanazidi kuvaa hivi vinguo vya aibu kiasi kwamba akipita usoni pengine umekaa na mama au baba huenda ukalazimika kufumba macho ili apite kwani ni fedhea na aibu ya aina yake.

Mh. Rais natambua kuwa kauli yako ni sheria kwetu na ukitamka sie lazima tutekeleze hivyo basi nakuomba kwa niaba ya wapenda maadili utoe kauli inayozuia uvaaji huu wa aibu, zaidi nikutakie afya njema na nnazidi kukuombea kwa mungu aendelee kukupa nguvu nyingi na kheri katika utumishi wako.

Hapa JM kuna watu wanaandika habari nyingine za kipuuzi kabisa. Hata huyo mkuu wa nchi kama akifuatilia upuuzi huu naye atakuwa anazidi kuishiwa mtaji wa kisiasa.

Watu kama wewe pia ni hatari sana kwa jamii. Kama utakuwa unawaangalia wanawake kwa mtazamo huo basi huwezi kuaminiwa hata na watoto wa kike wa miaka 12 wa jirani zako. Nyie ndio wabakaji wenyewe, ukishamuona mwanamke amevaa nguo za kubana basi mawazo yako yapo kwenye ngono tu.
 
Hola hii ina mashiko sana sema itawawaumiza sana wengi mnaojifanya mmeasili vitabia vya Kizungu, kwani haiingii akilini mtu akikemea mavazi ya hovyo eti anakuwa mbakaji, kwahiyo tusikemee hata tabia za wizi eti utakuwa mwizi hapana habana mavazi ya kijinga hatuyataki.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom