Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,266
- 4,716
Kama vipi vaeni miwani ya Mbao, police wanamjukumu makubwa sana:vibaka, panyaroad,majambazi, ajali za road etcetera, mnaacha kuwakanya wake zenu NY mbani mnakuja kulalama humu,hatutaki ujingaPolice watusaidie pia kuhusu hili na ili kukomesha zaidi Raisi aseme tu japo neno moja aone sasa hiyo kampeni tokomeza vimini na vitaiti inavyofana.