Rais Magufuli, Tengua uteuzi wa Mbunge mmoja mwanaume umteue Aggrey Mwanry na kisha umteue waziri wa Nishati na Madini

Habari zenu familia ya JF. Mi sio mnafiki wala sina undugu na wala ukabila na Agrey Mwanry. Wote mtakubali hii ni nyota iliyozimwa na Mafuriko ya UKAWA. Sahivi ni RC Tabora na anafanya mambo mazuri tu ikiwa ni pamoja na mkoa wake kuvuka lengo ktk kutengeneza Madawati kwa shule za Msingi. Pia alipokuwa Naibu waziri TAMISEMI alikuwa akifanya kazi vizuri sana kuliko hata waziri Kasim Majaliwa aliyekuwa juu yake. Hivyo kwa heshima na taadhima namshauri Rais kama atapita humu, atengue uteuzi wa Mbunge mwanaume na kumpa Mwanry nafasi hiyo ili baada ya hapo ateuliwe Waziri wa Nishati na Madini. Nafasi ya RC Tabora apewe mtu mwingine na Mbunge aliyetenguliwa uteuzi wake apewe pia kazi nyingine. Agery Mwanry alikuwa Mbunge wa Siha- Kilimanjaro kabla ya kusombwa na mafuriko ya UKAWA mwaka 2015. Naomba ushauri wangu ufanyiwe kazi. Naomba kuwasilisha.

Ndugu Aggrey Deaisile Joshua Mwanri ni Kada wa CCM mashuhuri asiye na shaka kabisa( Yaani ukimchanja penye ngozi itatoka damu ya kijani) Hawa huwa tunawaita GREEN BALAA!
He is coming from a very humble beginning! Toka Mwalimu wa Daraja la 3! mpaka shahada na baadae Uzamili katika mambo ya siasa na Utawala wa Umma.
Amewahi kushika nafasi ya Nape Nnauye!(ITIKADI NA UENEZI) Aliwahi kukumbana na Maswali Magumu ya Wanamageuzi-CCM inafuata itikadi gani kwa sasa-Alijibu jibu hilo hilo ambalo mpaka leo Wana CCM hulitoa -Ujamaa na Kujitegemea lakini Kisasa Zaidi.
Aggrey Mwanri amewahi kuwa Mkuu wa Wilaya na amewahi kufundisha chuo cha kivukoni na baadae Mbunge wa Siha-Kilimanjaro.
Uwezo wake kisiasa ni Mkubwa ingawa aliangushwa na Ukawa.
Ukimsikiliza kwa mara ya kwanza unaweza kukimbia kabisa-Ni kama anaongea kwa Ukali uliopitiliza,lakini ni jamaa mmoja makini anayefikiria vizuri pia.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora-Anafanya vizuri kama kiongozi wa mkoa Huo Mgumu-Mkoa wa Wajuaji huo.
Kimsingi Hatulii Mkoani mara nyingi utamkuta ziarani katika wilaya za mkoa wa Tabora,hasa Sikonge,hachelewi Sikonge kabisa. Ameanzisha Operesheni ya Kupanda Miti inayovumilia Ukame Wilayani Sikonge inavomwagiliwa na wakazi wenyewe kwa Style ya Drip( Yaani Kopo la Maji poa la Lita 1.5 linafungwa kitako juuu kama Drip katika mti mchanga na kufunguliwa kila inapohitahija kumwagiliwa maji).
Sijawahi kusikia Scandal yeyote inayomhusisha Huyu Jamaa. Ni Kiongozi mzuri,lakini swala la kuteuliwa kuwa Waziri ni Juu ya Rais na Watu wake iwapo ataona inafaa.
 
Ndugu Aggrey Deaisile Joshua Mwanri ni Kada wa CCM mashuhuri asiye na shaka kabisa( Yaani ukimchanja penye ngozi itatoka damu ya kijani) Hawa huwa tunawaita GREEN BALAA!
He is coming from a very humble beginning! Toka Mwalimu wa Daraja la 3! mpaka shahada na baadae Uzamili katika mambo ya siasa na Utawala wa Umma.
Amewahi kushika nafasi ya Nape Nnauye!(ITIKADI NA UENEZI) Aliwahi kukumbana na Maswali Magumu ya Wanamageuzi-CCM inafuata itikadi gani kwa sasa-Alijibu jibu hilo hilo ambalo mpaka leo Wana CCM hulitoa -Ujamaa na Kujitegemea lakini Kisasa Zaidi.
Aggrey Mwanri amewahi kuwa Mkuu wa Wilaya na amewahi kufundisha chuo cha kivukoni na baadae Mbunge wa Siha-Kilimanjaro.
Uwezo wake kisiasa ni Mkubwa ingawa aliangushwa na Ukawa.
Ukimsikiliza kwa mara ya kwanza unaweza kukimbia kabisa-Ni kama anaongea kwa Ukali uliopitiliza,lakini ni jamaa mmoja makini anayefikiria vizuri pia.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora-Anafanya vizuri kama kiongozi wa mkoa Huo Mgumu-Mkoa wa Wajuaji huo.
Kimsingi Hatulii Mkoani mara nyingi utamkuta ziarani katika wilaya za mkoa wa Tabora,hasa Sikonge,hachelewi Sikonge kabisa. Ameanzisha Operesheni ya Kupanda Miti inavovumilia Ukame Wilayani Sikonge inavomwagiliwa na wakazi wenyewe kwa Style ya Drip( Yaani Kopo la Maji poa la Lita 1.5 linafungwa kitako juuu kama Drip katika mti mchanga na kufunguliwa kila inapohitahija kumwagiliwa maji).
Sijawahi kusikia Scandal yeyote inayomhusisha Huyu Jamaa. Ni Kiongozi mzuri,lakini swala la kuteuliwa kuwa Waziri ni Juu ya Rais na Watu wake iwapo ataona inafaa.
Asante sana kwa kuupiga jeki Uzi wangu.
 
Habari zenu familia ya JF. Mi sio mnafiki wala sina undugu na wala ukabila na Agrey Mwanry. Wote mtakubali hii ni nyota iliyozimwa na Mafuriko ya UKAWA. Sahivi ni RC Tabora na anafanya mambo mazuri tu ikiwa ni pamoja na mkoa wake kuvuka lengo ktk kutengeneza Madawati kwa shule za Msingi. Pia alipokuwa Naibu waziri TAMISEMI alikuwa akifanya kazi vizuri sana kuliko hata waziri Kasim Majaliwa aliyekuwa juu yake. Hivyo kwa heshima na taadhima namshauri Rais kama atapita humu, atengue uteuzi wa Mbunge mwanaume na kumpa Mwanry nafasi hiyo ili baada ya hapo ateuliwe Waziri wa Nishati na Madini. Nafasi ya RC Tabora apewe mtu mwingine na Mbunge aliyetenguliwa uteuzi wake apewe pia kazi nyingine. Agery Mwanry alikuwa Mbunge wa Siha- Kilimanjaro kabla ya kusombwa na mafuriko ya UKAWA mwaka 2015. Naomba ushauri wangu ufanyiwe kazi. Naomba kuwasilisha.
Kwani kanda ya ziwa imeishiwa watu? Hata Dr. Kalemani yuko vizuri anafaa sana kwa hiyo wizara
 
Wizara ya Nishati na Madini aichukue Magufuli mwenyewe! Alishasema Mawaziri wote ni WAPUMBAVU......!!!!!
 
Habari zenu familia ya JF. Mi sio mnafiki wala sina undugu na wala ukabila na Agrey Mwanry. Wote mtakubali hii ni nyota iliyozimwa na Mafuriko ya UKAWA. Sahivi ni RC Tabora na anafanya mambo mazuri tu ikiwa ni pamoja na mkoa wake kuvuka lengo ktk kutengeneza Madawati kwa shule za Msingi. Pia alipokuwa Naibu waziri TAMISEMI alikuwa akifanya kazi vizuri sana kuliko hata waziri Kasim Majaliwa aliyekuwa juu yake. Hivyo kwa heshima na taadhima namshauri Rais kama atapita humu, atengue uteuzi wa Mbunge mwanaume na kumpa Mwanry nafasi hiyo ili baada ya hapo ateuliwe Waziri wa Nishati na Madini. Nafasi ya RC Tabora apewe mtu mwingine na Mbunge aliyetenguliwa uteuzi wake apewe pia kazi nyingine. Agery Mwanry alikuwa Mbunge wa Siha- Kilimanjaro kabla ya kusombwa na mafuriko ya UKAWA mwaka 2015. Naomba ushauri wangu ufanyiwe kazi. Naomba kuwasilisha.
Ukianzisha Uzi na kuanza kujitetea ya kuwa wewe sio mnafiki inaashiria ya kwamba wewe ni MNAFIKI 1st class with honour mkuu.
 
Ngoja wapo njiani wanakuja kukupatia za USO.

Sababu kuu ni, TL eti mengine ni porojo kwa sasa.

Tl tena kwenye uzi wa aggrey huo woga utawaisha lini? Toa pongez kwa mtauliwa pia na kwa alitenguliwa jaza ujazwe
 
Yaani kaka Freed Freed unataka kutuambia kuwa katika wabunge wote wa CCM waliopo (Zaidi ya 300) hakuna hata kichwa kimoja kinachofaa kuwa Waziri wa Madini? Kiasi kwamba mtu mmoja avuliwe ubunge kisha Mwanry ndio ateuliwe ubunge kisha Waziri wa Madini

Kweli Tanzania tuna kazi kubwa
Si unajua hawa jamaa wa kule wanavyotapatapa awamu hii mkuu. Futuhi on Fleek.
 
Kwa Abdsllah mkulu alichemka aisee...binafsi sikuona umuhimu wake, maana ni vema nafasi za uteuzi wa ubunge uwe wenye tija Fulani...sasa sijaona tija kwa huyu, labda asante kwa kampeni
 
Ngoja wapo njiani wanakuja kukupatia za USO.

Sababu kuu ni, TL eti mengine ni porojo kwa sasa.

Ndio ni porojo, kwahiyo unataka mtu achaguliwe kuwa waziri kwasababu alivuka lengo la kutengeneza madawati?
Uwaziri ni zaidi ya madawati.
 
Back
Top Bottom