Rais Magufuli ni Mkweli Daima!. Jee Tumuunge Mkono Rais Wetu Katika Kila Ukweli Wake, Hata Kama Uko Kinyume cha Katiba, Sera na Ilani?.

Wanabodi,

Leo nimepata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa, mada ya leo ikiwa ni swali kuhusu, kunapotokea mkanganyiko kati ya ukweli wa rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ukitofautiana na ukweli wa katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM, jee ni ukweli upi ufuatwe katika utawala wa nchi yetu kati ya ukweli wa rais wetu, au ukweli wa katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM

Moja ya sifa kuu na za pekee za rais Magufuli ni kuwa kuwa mkweli daima, sometimes, anakuwa mkweli too much mpaka anapitiliza, katika kuusema ukweli, rais Magufuli atausema ukweli wake no matter what, hata kama ukweli huo unapigana na katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na hata ilani ya uchaguzi ya CCM, as long as ni ukweli wake, rais Magufuli atausema tuu ukweli huo, bila kujali the consequences ya ukweli huo, na kuwaachia kigugumizi wasaidizi wake namna ya kuuweka sawa ukweli huo kama unakwenda kinyume cha sera na ilani, ila unapokwenda kinyume cha katiba, uzoefu wangu umeonyesha, huwa wananyamaza tuu!.

Hili ni bandiko la hojaji kuhusu Watanzania kumuunga mkono rais wetu katika kufuata ukweli huu wa rais wetu, kwa vile Rais Magufuli ni Mkweli Daima!. Jee Tumuunge Mkono Rais Wetu Katika Kila Ukweli wake, Hata Kama Ukweli Huo unakwenda Kinyume cha Katiba, sheria, taratibu, kanuni, Sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?. Katika kumuunga mkono rais wetu katika ukweli wake, jee sasa nchi yetu iendeshwe kwa ukweli wa rais wetu, au tuendelee kuiendesha nchi yetu kwa mujibu wa Katiba, sheria, taratibu, kanuni, Sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?.

Hitimisho.
Inapotokea rais akatoa msimamo wake binafsi ambao ndio ukweli wake, na ukaenda kinyume cha katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM, jee Watendaji wa serikali yetu tukufu, watatekekeza nini kati ya ukweli wa rais na katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?.

My Take
Hili la mtu kusema chochote, popote, as long as ni ukweli, mimi naliunga mkono, maana kila mmoja wetu, akiwa ni mkweli wa aina hii na kusema chochote, popote, its healthy, maana you never know, katika hii ongea ongea, kuna siku hata waliohusika na matukio kama ya kina Lissu, watakuja kuropoka, na ukweli utajulikana!.

Wasalaam.
Jumatano Njema.
Paskali
Unachosha sana sasa, tumekuchoka na makala za Magufuli!
 
Kwa hiyo Jamaa ndiyo SI Unit ya ukweli?. Anyway, hapo kwenye kutokuweza kujizuia jamaa yetu ni kama Spiff wa the Johnsons, tunaweza kupata yaliyojificha kwa urahisi
 
Tukio la lissu mbona kichaa mmoja alishapayuka kabla kuwa hawezi kurusiwa Ku survive, huenda anadhani yeye ni immortal
 
Mkuu umekuwa Joseph Goebbels!
 
We jamaaa mwanzoni ulikuwa mwandishi haswaa lakini now days sijui umepatwa na nini??
Sasa hivi amekuwa mchambuzi haswa!! Sasa hivi hapelekeshwi na sera,kanuni,au sheria! Bali anaongea ukweli wake haswa!!! Sasa kama magufuli haeleweki kwa kuuongea ukweli wake kwa nini umwelewe Pascal Mayalla ?mwache tu,kama tunavyo mwacha magufuli aongee ukweli WAKE wa moyoni,japo ukweli wenyewe ni kinyume kabisa na ile KWELI ya kiukweli! Mvumilie tu!
 
Sometimes huwaga nawazaga huyu mzee angepoteaga kama Ben Saanane

Tatizo mnapenda kusifiana tuuuu na kuungana tuuuu. Ila ntamusifia siku Tanzania ikiwa donor country, siku na sisi tugawe misaada, tupeleke mitumba ulaya, tuwe matajiri naingoja hiyo siku walah

Ila hizi porojo nyingine za Paschal Njaa ni useless na upumbavu
Natamani ije siku umwelewe Pascal Mayalla (pasco njaa)hakika siku hiyo ungeshiba hekima ya mwenye njaa,halafu ungejua ni nani aliyekuwa na njaa kati yako na pasco.
 
Wanabodi,

Leo nimepata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa, mada ya leo ikiwa ni swali kuhusu, kunapotokea mkanganyiko kati ya ukweli wa rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ukitofautiana na ukweli wa katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM, jee ni ukweli upi ufuatwe katika utawala wa nchi yetu kati ya ukweli wa rais wetu, au ukweli wa katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM

Moja ya sifa kuu na za pekee za rais Magufuli ni kuwa kuwa mkweli daima, sometimes, anakuwa mkweli too much mpaka anapitiliza, katika kuusema ukweli, rais Magufuli atausema ukweli wake no matter what, hata kama ukweli huo unapigana na katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na hata ilani ya uchaguzi ya CCM, as long as ni ukweli wake, rais Magufuli atausema tuu ukweli huo, bila kujali the consequences ya ukweli huo, na kuwaachia kigugumizi wasaidizi wake namna ya kuuweka sawa ukweli huo kama unakwenda kinyume cha sera na ilani, ila unapokwenda kinyume cha katiba, uzoefu wangu umeonyesha, huwa wananyamaza tuu!.

Hili ni bandiko la hojaji kuhusu Watanzania kumuunga mkono rais wetu katika kufuata ukweli huu wa rais wetu, kwa vile Rais Magufuli ni Mkweli Daima!. Jee Tumuunge Mkono Rais Wetu Katika Kila Ukweli wake, Hata Kama Ukweli Huo unakwenda Kinyume cha Katiba, sheria, taratibu, kanuni, Sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?. Katika kumuunga mkono rais wetu katika ukweli wake, jee sasa nchi yetu iendeshwe kwa ukweli wa rais wetu, au tuendelee kuiendesha nchi yetu kwa mujibu wa Katiba, sheria, taratibu, kanuni, Sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?.

Hitimisho.
Inapotokea rais akatoa msimamo wake binafsi ambao ndio ukweli wake, na ukaenda kinyume cha katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM, jee Watendaji wa serikali yetu tukufu, watatekekeza nini kati ya ukweli wa rais na katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?.

My Take
Hili la mtu kusema chochote, popote, as long as ni ukweli, mimi naliunga mkono, maana kila mmoja wetu, akiwa ni mkweli wa aina hii na kusema chochote, popote, its healthy, maana you never know, katika hii ongea ongea, kuna siku hata waliohusika na matukio kama ya kina Lissu, watakuja kuropoka, na ukweli utajulikana!.

Wasalaam.
Jumatano Njema.
Paskali
Pascal wewe tunakufahamu una uvimbe kwenye ubongo. Pata matibabu kwanza
 
Pascal Mayalla said:
Rais Magufuli ni Mkweli Daima!
Nimependa hii, Mkweli Daima! Rais Magufuli anakuwa binadamu wa kwanza ulimwenguni kupewa sifa hii. Kwa kawaida hii ingeitwa kufuru lakini kwa Mtanzania neno kufuru hutumika tu kwa wale wakosoaji wasioruhusiwa kusema ukweli mpaka wawe na kibali.
Pascal Mayalla said:
Inapotokea rais akatoa msimamo wake binafsi ambao ndio ukweli wake, na ukaenda kinyume cha katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM
Kumbe ni ukweli wake tu? Nilidhani ukweli ni ukweli tu hauna mmiliki wake miongoni mwa binadamu. Mwenye kumiliki ukweli husujudiwa na hivyo sishangai Rais wetu kupewa sifa hii na waumini wake!
Pascal Mayalla said:
Jee Watendaji wa serikali yetu tukufu, watatekekeza nini kati ya ukweli wa rais na katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?.
Serikali yetu tukufu? Ukweli wa Rais? Sawa Pascal Mayalla, lakini naomba nikusahihishe kidogo hapa. Katiba ni mama, huwezi kuweka Katiba katika ngazi moja na taratibu, kanuni, sera wala ilani. Hata Urais ni zao la Katiba na ndio maana ya hakuna Mtanzania aliye juu ya Katiba! Hata hivyo Rais Magufuli inaonekana yuko juu zaidi...pamoja na kumiliki ukweli, neno lake ni mwanzo na mwisho. Anayepinga asemacho adhabu yake ni kupoteza Utanzania wake na ikishindikana kupotea/kupotezwa!
Pascal Mayalla said:
Jee sasa nchi yetu iendeshwe kwa ukweli wa rais wetu, au tuendelee kuiendesha nchi yetu kwa mujibu wa Katiba, sheria, taratibu, kanuni, Sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?.
Naona umeamua kurudia kosa lile lile...taifa haliwezi kudaiwa kuwa na Katiba kama kuna mamlaka iliyo juu ya Katiba hiyo. Lakini mathalan tumemruhusu binadamu mwenzetu kumiliki ukweli, ni sawa matakwa yake ndio yawe mbadala wa Katiba na nchi iendeshwe kwa utukufu wake. Kumpinga au kumkosoa kuwe ni dhambi isiyosameheka.

Naunga mkono, Tanzania ya Magufuli iendeshwe kwa matakwa na ukweli wa Rais John Pombe Magufuli!
 
Fasihi na lugha tunduizi ndio jiwe lililobakia kuwatwanga nalo (kinga na madaraka ya bunge) vinginevo, usiombe ukapelekwa huko na kukalia kile kiti. Nhatai kwei kwei
 
Kama kawaida bavicha vichwa vigumu, kumuelewa pasco ni kazi sana!

Bavicha hata uje uwafundishe kwa njia ya picha hawataelewa! Wao maono yao ni kupinga selikali na kusifia Lisu kadri uwezavyo basi.

Nipo huku ukonga, wenzao ccm matangazo ya mikutano wanapita mitaani kutangaza usiku ile saa 10 alfajir ambapo kila mtu mda huo yuko nyumbani na akili imetulia, wao wanapita wanabwata tu mtaani mchana wa saa nane wakati watu wako busy na kazi zao, hili nalo hawajifunzi.
 
Hili la mtu kusema chochote, popote, as long as ni ukweli, mimi naliunga mkono, maana kila mmoja wetu, akiwa ni mkweli wa aina hii na kusema chochote, popote, its healthy, maana you never know, katika hii ongea ongea, kuna siku hata waliohusika na matukio kama ya kina Lissu, watakuja kuropoka, na ukweli utajulikana!.
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu, wacha Rais aseme ukweli siku zote maana kweli humfanya mtu kuwa huru. Huenda ipo siku moja Rais wetu atatuambia ukweli wa ni nani alihusika katika mashambulizi ya Tundu Lissu pia. Na hata akisema hajui ni nani alimshambulia Lissu, pia huo unaweza kuwa ni "ukweli".
 
Moja ya sifa kuu na za pekee za rais Magufuli ni kuwa kuwa mkweli daima, sometimes, anakuwa mkweli too much mpaka anapitiliza, katika kuusema ukweli, rais Magufuli atausema ukweli wake no matter what, hata kama ukweli huo unapigana na katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na hata ilani ya uchaguzi ya CCM, as long as ni ukweli wake, rais Magufuli atausema tuu ukweli huo, bila kujali the consequences ya ukweli huo.

We nawe, una jipu kwenye ubongo wako-linahitaji kutumbuliwa.
Kwanza million 50 zetu zikwapi? Ukweli ni upi?
Watu wanauliza Mh. rais Magufuli zile million hamsini kila kijiji vipi? - JamiiForums
Pia yeye magu akajibu Video: Ni kweli tuliahidi milioni 50 kwa kila kijiji - Rais Magufuli - Bongo5.com.

Sasa naona unakuja na brush za rangi zilizojaa vumbi.
 
Back
Top Bottom