Pascal Mayalla Mkuu are you being sarcastic au ooopopopipoWanabodi,
Leo nimepata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa, mada ya leo ikiwa ni swali kuhusu, kunapotokea mkanganyiko kati ya ukweli wa rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ukitofautiana na ukweli wa katiba, sheria, taratibi, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM, jee ni ukweli upi ufuatwe katika utawala wa nchi yetu kati ya ukweli wa rais wetu, au ukweli wa katiba, sheria, taratibi, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM
Moja ya sifa kuu na za pekee za rais Magufuli ni kuwa kuwa mkweli daima, sometimes, anakuwa mkweli too much mpaka anapitiliza, katika kuusema ukweli, rais Magufuli atausema ukweli wake no matter what, hata kama ukweli huo unapigana na katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na hata ilani ya uchaguzi ya CCM, as long as ni ukweli, rais Magufuli atausema ukweli huo, bila kujali the consequences, na kuwaachia kigugumizi wasaidizi wake namna ya kuuweka sawa ukweli huo kama unakwenda kinyume cha sera na ilani, ila unapokwenda kinyume cha katiba, uzoefu wangu umeonyesha, huwa wananyamaza tuu!.
Hili ni bandiko la hojaji kuhusu Watanzania kumuunga mkono rais wetu katika kufuata ukweli huu wa rais wetu, kwa vile Rais Magufuli ni Mkweli Daima!. Jee Tumuunge Mkono Rais Wetu Katika Kila Ukweli wake, Hata Kama Ukweli Huo unakwenda Kinyume cha Katiba, sheria, taratibu, kanuni, Sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?. Katika kumuunga mkono rais wetu katika ukweli wake, jee sasa nchi yetu iendeshwe kwa ukweli wa rais wetu, au tuendelee kuiendesha nchi yetu kwa mujibu wa Katiba, sheria, taratibu, kanuni, Sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?.
Hitimisho.
Inapotokea rais akatoa msimamo wake binafsi ambao ndio ukweli wake, na ukaenda kinyume cha katiba, sheria, taratibi, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM, jee Watendaji wa serikali yetu tukufu, watatekekeza nini kati ya ukweli wa rais na katiba, sheria, taratibi, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?.
Wasalaam.
Jumatano Njema.
Paskali
Hapana.Sometimes huwaga nawazaga huyu mzee angepoteaga kama Ben Saanane
Tatizo mnapenda kusifiana tuuuu na kuungana tuuuu. Ila ntamusifia siku Tanzania ikiwa donor country, siku na sisi tugawe misaada, tupeleke mitumba ulaya, tuwe matajiri naingoja hiyo siku walah
Ila hizi porojo nyingine za Paschal Njaa ni useless na upumbavu
Paskali ila moyoni unajua ukweli ni upi.. bunge limekuweza kweli na unawapatia kisawa sawa.. anza kusifia kila kitu hadi kikomba anachonywea chai.. tupo nyuma yako
Kuna kitu alifanywa alivyoitwa bungeniWe jamaaa mwanzoni ulikuwa mwandishi haswaa lakini now days sijui umepatwa na nini??
Rais Magufuli anapozungumzia Maoni yake kuhusu mambo anayoyaamini, haimaanishi kuwa anazungumzia kweli. Kweli ni kitu ingine tofauti na maoni.Wanabodi,
Leo nimepata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa, mada ya leo ikiwa ni swali kuhusu, kunapotokea mkanganyiko kati ya ukweli wa rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ukitofautiana na ukweli wa katiba, sheria, taratibi, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM, jee ni ukweli upi ufuatwe katika utawala wa nchi yetu kati ya ukweli wa rais wetu, au ukweli wa katiba, sheria, taratibi, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM
Moja ya sifa kuu na za pekee za rais Magufuli ni kuwa kuwa mkweli daima, sometimes, anakuwa mkweli too much mpaka anapitiliza, katika kuusema ukweli, rais Magufuli atausema ukweli wake no matter what, hata kama ukweli huo unapigana na katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na hata ilani ya uchaguzi ya CCM, as long as ni ukweli, rais Magufuli atausema ukweli huo, bila kujali the consequences, na kuwaachia kigugumizi wasaidizi wake namna ya kuuweka sawa ukweli huo kama unakwenda kinyume cha sera na ilani, ila unapokwenda kinyume cha katiba, uzoefu wangu umeonyesha, huwa wananyamaza tuu!.
Hili ni bandiko la hojaji kuhusu Watanzania kumuunga mkono rais wetu katika kufuata ukweli huu wa rais wetu, kwa vile Rais Magufuli ni Mkweli Daima!. Jee Tumuunge Mkono Rais Wetu Katika Kila Ukweli wake, Hata Kama Ukweli Huo unakwenda Kinyume cha Katiba, sheria, taratibu, kanuni, Sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?. Katika kumuunga mkono rais wetu katika ukweli wake, jee sasa nchi yetu iendeshwe kwa ukweli wa rais wetu, au tuendelee kuiendesha nchi yetu kwa mujibu wa Katiba, sheria, taratibu, kanuni, Sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?.
Hitimisho.
Inapotokea rais akatoa msimamo wake binafsi ambao ndio ukweli wake, na ukaenda kinyume cha katiba, sheria, taratibi, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM, jee Watendaji wa serikali yetu tukufu, watatekekeza nini kati ya ukweli wa rais na katiba, sheria, taratibi, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?.
My Take
Hili la mtu kusema chochote, popote, as long as ni ukweli, mimi naliunga mkono, maana kila mmoja wetu, akiwa ni mkweli wa aina hii na kusema chochote, popote, its healthy, maana you never know, katika hii ongea ongea, kuna siku hata waliohusika na matukio kama ya kina Lissu, watakuja kuropoka, na ukweli utajulikana!.
Wasalaam.
Jumatano Njema.
Paskali
Hongera Mkuu hapo kwenye mistari ya mwisho nimekupata vizuri. Nakupa like nyingi kaka.Wanabodi,
Leo nimepata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa, mada ya leo ikiwa ni swali kuhusu, kunapotokea mkanganyiko kati ya ukweli wa rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ukitofautiana na ukweli wa katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM, jee ni ukweli upi ufuatwe katika utawala wa nchi yetu kati ya ukweli wa rais wetu, au ukweli wa katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM
Moja ya sifa kuu na za pekee za rais Magufuli ni kuwa kuwa mkweli daima, sometimes, anakuwa mkweli too much mpaka anapitiliza, katika kuusema ukweli, rais Magufuli atausema ukweli wake no matter what, hata kama ukweli huo unapigana na katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na hata ilani ya uchaguzi ya CCM, as long as ni ukweli wake, rais Magufuli atausema tuu ukweli huo, bila kujali the consequences ya ukweli huo, na kuwaachia kigugumizi wasaidizi wake namna ya kuuweka sawa ukweli huo kama unakwenda kinyume cha sera na ilani, ila unapokwenda kinyume cha katiba, uzoefu wangu umeonyesha, huwa wananyamaza tuu!.
Hili ni bandiko la hojaji kuhusu Watanzania kumuunga mkono rais wetu katika kufuata ukweli huu wa rais wetu, kwa vile Rais Magufuli ni Mkweli Daima!. Jee Tumuunge Mkono Rais Wetu Katika Kila Ukweli wake, Hata Kama Ukweli Huo unakwenda Kinyume cha Katiba, sheria, taratibu, kanuni, Sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?. Katika kumuunga mkono rais wetu katika ukweli wake, jee sasa nchi yetu iendeshwe kwa ukweli wa rais wetu, au tuendelee kuiendesha nchi yetu kwa mujibu wa Katiba, sheria, taratibu, kanuni, Sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?.
Hitimisho.
Inapotokea rais akatoa msimamo wake binafsi ambao ndio ukweli wake, na ukaenda kinyume cha katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM, jee Watendaji wa serikali yetu tukufu, watatekekeza nini kati ya ukweli wa rais na katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?.
My Take
Hili la mtu kusema chochote, popote, as long as ni ukweli, mimi naliunga mkono, maana kila mmoja wetu, akiwa ni mkweli wa aina hii na kusema chochote, popote, its healthy, maana you never know, katika hii ongea ongea, kuna siku hata waliohusika na matukio kama ya kina Lissu, watakuja kuropoka, na ukweli utajulikana!.
Wasalaam.
Jumatano Njema.
Paskali
Ukweli hauwezi kuwa kwa MTU moja (subjective) ni lazima uwe umepimwa na watu wengi kwa muda mrefu na kuthibitishwa. Mayala unaljua hilo. Hata hivyo huwa naelewa hoja zako.Wanabodi,