Rais Magufuli ndio jipu la Tanzania

Rais Magufuli ndio jipu la Tanzania

Hivi katiba inaweza tatua vipi swala kama la upatakinaji wa umeme, huduma za afya, elimu bora na ya wote, ukuaji wa viwanda; hiyo katiba inachapisha hela au inatatua vipi exactly? hoja ambazo zinataka mipango ya muda mrefu na appropriate selection process ya viongozi wenye vision kuzitatua katiba inawachuja vipi.

Nataka ufahamu jambo moja muhim Mkuu.

Mzee Ally Hassan mwinyi
Alikuwa mzee Ruksa....akafunguwa milango kila aina ya uchafu ukafanyika na machache mazuri

Ben mkapa
Akafanya yake
kauza kila kitu mpaka nyumba za watumishi.
haikutosha kajiuzia mpaka kiwira coal mine bureeeee.....uchafu wakupindukia
-Deep green
-meremeta
-kagoda
-Epa
-Rada
-Iptl
nknk

Kikwete
-Richimond
-Escrow
-Gas mikataba lukuki yahovyo
-Bandari mpya bagamoyo...vipi bandari ya Salama?
-Tembo wameteketea, twiga kupanda ndege nk
-madawa ya kulevya kutamalaji
nknk

Maguful
-majipu
-zanzibar uchaguzi
-utawala wa sheria mfukon
nknk

Katiba bora itaweka msingi wa jumla na mwelekeo wa nini Tanzania inakitaka
.
-Elimu

-Afya

-Sayansi na teknolojia

-uchumi na biashara

-mahusiano yetu kimataifa

-utafutaji, uvunaji na mgawanyo wa raslimali

-Kiongozi/rais/waziri mkuu n ...makamu nk wanapitumia madaraka vibaya lazima katiba ieleze vema wanahukumiwa kwa madhambi waliotenda sio mwacheni mzee apumzike....wakati maamuzi yake yamesababisha maelf kufa kwa uzembe

Kwa maana nyingine kila mtawala tutakaye mchaguwa itamlazim kucheza wimbo na ngoma yetu wananchi kama ilivyo ndani ya katiba Sivinginevo....akichepuka tunamfunga.

Ni wendawazimu kumuacha kila rais kuongoza atakavyojisikia...hatakama anatuharibia nchi hakuna chakumfanya.

Bila katiba bora, ya wananchi ambayo itawasimamia na

-kuwapa dira watawala,

-kuwapa miiko

-kuwapa mipaka ya kuamua nakutenda

-kuweka utaratibu wa wazi kushitakiwa wakiboronga nk

hatutatoka hata siku moja

Maana hakuna msingi wala vision. Kila anayekuja anakuja na upuuzi wake akiondoka anaondoka nao kisha mwingine na mwingine na mwingine.....Badala yakuenda mbele tutapiga maktaim mpaka siku ya kiama.

Wasalaam.
 
Aanze na katiba kwani tuko libya hapa, katiba tunazo mbili kwa sasa, tunataka asafishe nchi halafu maswala ya katiba baadae. Hao wanatumbuliwa je katiba imekwamisha kitu si Wanatumbuliwa kama kawaida. Wewe naona spidi ya magufuli imegusa kwenye ulaji wako na ndio maana umekua mkali.
 
Tatizo letu ni a
Katika mambo ambayo raisi Magufuli anatakiwa hata kutoyasikiliza kabisa ni habari za katiba na 80% ya malalamiko ya watanzania sijui idadi ya watu wa dini katika serikari yake au taasisi zake pamoja na kuachana kabisa na habari za kuudhuria sherehe za makanisa na misikiti; zaidi ya kwenda kwenye ibada zake binafsi kuna malalamiko mengi sana which do not contribute na agenda zake.

Tanzania kuiendesha ina shughuli sio ndogo ukiangalia kipaumbele cha raisi kufufua viwanda tu na kutengenza ajira halafu ukipitia mipango ya sector muhimu inayotakiwa kutoa support kwa sera yake iwezekane yaani upatikanaji wa umeme wa uhakika na hali halisi ya shirika linalotakiwa kutoa hizo complimentary aisee inabidi umuhurumie.

katika speech yake ya juzi na hali halisi ya TANESCO, inabidi afikirie sana washauri wake wa uchumi TANESCO ni uozo uliopitiliza hata sijui changamoto zake alizowapa na uhalisia wenyewe shirika kama inawezekana baada ya kupitia finance zao ata mimi sasa nimeanza kumuona huyo Nehemia ni genius huko NHC with his below performances, kama asilimia kubwa ya wakurugenzi ni aina ya TANESCO.

Kibaya zaidi washauri wa raisi wanashindwa kumdadavulia uozo halisi kufungua mabwawa ya maji ni tatizo lakini finance za na source za TANESCO ni huge risks to the economy inawezekanaje shirika lenye decades mpaka leo operation cost zake zaidi ya 80% ni misaada na mikopo, aslimia kubwa ya umeme inayosambaza ni wa kununua kuliko wanaozalisha wenyewe, makadirio yao ya ki budget kila mwaka ayafikii malengo ya faida na mambo mengi ya uozo ambayo yanataka ripoti maalum kabisa.

Kutokana na changamoto zilizopo raisi kwakweli kuendelea kuweka watu kwa sababu ambazo sizo; malengo yake ayatofikiwa miaka mianane worst still huyo Ndugai ndio kaenda kuaribu kabisa kamati ya PAC ambayo ingeweza fumua uozo uliopo walau at 20% ndani ya mashirika ya umma kaenda kutoa watu muhimu kabisa kwenye hiyo kazi; poor Tanzania.[/QUOTE)Tatizo letu ni akili nyingi na uvivu wa kufikiri,hivi hayo anayotaka kuyafanya magufuli huko nyuma hayakuwepo? Hatukuwa na viwanda? Hatukuwa na elimu bora? Kitu gani kilitokea.hujui hayo yote uliyoyataja ni mazao ya katiba bora.uko busy kutafuta pesa huku mifuko yako imetoboka,kila cent unayoweka inapotea harafu wewe unaendelea kupiga kazi badala ya kuziba mifuko kwanza.hizi akili hizi
 
Kubwa jinga, tutakula katiba??? Mbona uingereza hawana katiba iliyoandikwa kama unazohangaika nayo wewe na wako poa...
 
Nataka ufahamu jambo moja muhim Mkuu.

Mzee Ally Hassan mwinyi
Alikuwa mzee Ruksa....akafunguwa milango kila aina ya uchafu ukafanyika na machache mazuri

Ben mkapa
Akafanya yake
kauza kila kitu mpaka nyumba za watumishi.
haikutosha kajiuzia mpaka kiwira coal mine bureeeee.....uchafu wakupindukia
-Deep green
-meremeta
-kagoda
-Epa
-Rada
-Iptl
nknk

Kikwete
-Richimond
-Escrow
-Gas mikataba lukuki yahovyo
-Bandari mpya bagamoyo...vipi bandari ya Salama?
-Tembo wameteketea, twiga kupanda ndege nk
-madawa ya kulevya kutamalaji
nknk

Maguful
-majipu
-zanzibar uchaguzi
-utawala wa sheria mfukon
nknk

Katiba bora itaweka msingi wa jumla na mwelekeo wa nini Tanzania inakitaka
.
-Elimu

-Afya

-Sayansi na teknolojia

-uchumi na biashara

-mahusiano yetu kimataifa

-utafutaji, uvunaji na mgawanyo wa raslimali

-Kiongozi/rais/waziri mkuu n ...makamu nk wanapitumia madaraka vibaya lazima katiba ieleze vema wanahukumiwa kwa madhambi waliotenda sio mwacheni mzee apumzike....wakati maamuzi yake yamesababisha maelf kufa kwa uzembe

Kwa maana nyingine kila mtawala tutakaye mchaguwa itamlazim kucheza wimbo na ngoma yetu wananchi kama ilivyo ndani ya katiba Sivinginevo....akichepuka tunamfunga.

Ni wendawazimu kumuacha kila rais kuongoza atakavyojisikia...hatakama anatuharibia nchi hakuna chakumfanya.

Bila katiba bora, ya wananchi ambayo itawasimamia na

-kuwapa dira watawala,

-kuwapa miiko

-kuwapa mipaka ya kuamua nakutenda

-kuweka utaratibu wa wazi kushitakiwa wakiboronga nk

hatutatoka hata siku moja

Maana hakuna msingi wala vision. Kila anayekuja anakuja na upuuzi wake akiondoka anaondoka nao kisha mwingine na mwingine na mwingine.....Badala yakuenda mbele tutapiga maktaim mpaka siku ya kiama.

Wasalaam.
Mengi unayo yaorodhesha ni human misjudgements (or other ill motives) lazima tukubali ya kwamba raisi ausuki na shughuli za mikataba kama job description yake kwenye taasisi za umma; kuna sera zinazisema tufanye nini au mipango ya kitaifa. Baada ya hapo wataalamu wa mashirka, wizara, ndio wanaoanza mchakato mikataba na ofisi ya mwanasheria mkuu ndio wenye jukumu la kubaini mapungufu ya mikataba na aina ya mikataba tunayo sign; na kila mkataba unakuja na changamoto zake depending on what the person brings on the table and how you bargain (poor bargaining on your part has nothing to do with constitution) that requires levels of understanding given the circumstances sasa katiba unadhani itazuia vipi human errors kama anayetuwakilisha mbumbumbu mzungu wa reli au lijitu linalojifikilia pekee.

Hakuna mtu au nchi inaweza kuwahakishia wananchi wake kiwango fulani cha quality ya huduma za serikari iwapo kigezo cha quality na level of distribution requires financial ability (sasa wewe unadhani katiba itatua vipi swala ambalo linataka constant reviewing based on the level of government income and national wealth), available human resources which also requires investment na mambo mengine ambayo na economical reasoning katiba aiwezi kutabiri wala kuwekea guarantee. The mere facts the social environment is constant changing systems require regular reviews and appraisals sijui inawezekana vipi kitu static kama katiba kinaweza tatua changamoto za ina hiyo.

Hivi uoni kinachoendelea duniani leo unaweza sema una gesi ya kutosha ata kama ndio tungekuwa tushaanza kuuza kesho bei ya soko ikashuka na mapato yako ya kugharamia huduma yakapungua si inabidi upunguze sehemu ya huduma unazotoa kama nchi zinazouza mafuta zilivyo jikuta leo au wazalishaji wa chuma.

Kuwa na katiba inayosema sijui afya, elimu na mambo mengi ya bure aina guarantee ya uwezo wa nchi kufanya hivyo unless vifaa vya tiba tunapata bure, madawa bure, mbolea bure, watu wanasoma bure, serikari inatoa hela mbinguni na mambo mengi ya maajabu yatokee yanayofanana na descriptions za pepo zinazoelezewa kwenye vitabu vya mungu: vinginevyo kwenye dunia ya ukweli serikari inabidi iishi within their means and learn to negotiate its ways given the resources and that require reasoning ability and taking decision; yes there are still a lot of old reprobates who are making bad decision which affects us all hawa ndio matatizo sio katiba.

Katiba aiwezi kuweka makadirio ya taasisi ya serikari halafu wasifikie malengo; watu wanaweza hawa ndio tatizo.
 
Mkuu umejitahidi ila sijui kama amekuelewa maana hawa vichwa maji ni shiuudaa.niliwahi kusema kuwa bila ccm kufa nchi hii haiwezi endelea.Inapofikia hatua mtu anashindwa kuna umuhimu wa sheria nchini kwake yeye anaona umeme ndo muhimu zaidi na anashindwa kujua hats huo umeme bila utaratibu haiwezekani
Nataka ufahamu jambo moja muhim Mkuu.

Mzee Ally Hassan mwinyi
Alikuwa mzee Ruksa....akafunguwa milango kila aina ya uchafu ukafanyika na machache mazuri

Ben mkapa
Akafanya yake
kauza kila kitu mpaka nyumba za watumishi.
haikutosha kajiuzia mpaka kiwira coal mine bureeeee.....uchafu wakupindukia
-Deep green
-meremeta
-kagoda
-Epa
-Rada
-Iptl
nknk

Kikwete
-Richimond
-Escrow
-Gas mikataba lukuki yahovyo
-Bandari mpya bagamoyo...vipi bandari ya Salama?
-Tembo wameteketea, twiga kupanda ndege nk
-madawa ya kulevya kutamalaji
nknk

Maguful
-majipu
-zanzibar uchaguzi
-utawala wa sheria mfukon
nknk

Katiba bora itaweka msingi wa jumla na mwelekeo wa nini Tanzania inakitaka
.
-Elimu

-Afya

-Sayansi na teknolojia

-uchumi na biashara

-mahusiano yetu kimataifa

-utafutaji, uvunaji na mgawanyo wa raslimali

-Kiongozi/rais/waziri mkuu n ...makamu nk wanapitumia madaraka vibaya lazima katiba ieleze vema wanahukumiwa kwa madhambi waliotenda sio mwacheni mzee apumzike....wakati maamuzi yake yamesababisha maelf kufa kwa uzembe

Kwa maana nyingine kila mtawala tutakaye mchaguwa itamlazim kucheza wimbo na ngoma yetu wananchi kama ilivyo ndani ya katiba Sivinginevo....akichepuka tunamfunga.

Ni wendawazimu kumuacha kila rais kuongoza atakavyojisikia...hatakama anatuharibia nchi hakuna chakumfanya.

Bila katiba bora, ya wananchi ambayo itawasimamia na

-kuwapa dira watawala,

-kuwapa miiko

-kuwapa mipaka ya kuamua nakutenda

-kuweka utaratibu wa wazi kushitakiwa wakiboronga nk

hatutatoka hata siku moja

Maana hakuna msingi wala vision. Kila anayekuja anakuja na upuuzi wake akiondoka anaondoka nao kisha mwingine na mwingine na mwingine.....Badala yakuenda mbele tutapiga maktaim mpaka siku ya kiama.

Wasalaam.
 
Kubwa jinga, tutakula katiba??? Mbona uingereza hawana katiba iliyoandikwa kama unazohangaika nayo wewe na wako poa...
mkuu sasa kama hawana katiba wanapataje viongozi wao,any way pole.hata hivyo hawa wanzungu are very professional hatuwezi kujilinganisha nao.umewahi kumsikia Cameroon akisema hawezi kumpa mtoto wa kambo chakula?
 
Kabisa yaani kuna vitu vingine ukiviangalia kwenye hali yake na kile serikari inacho hubiri aisee inabidi tujipange.
Kujipanga kwenyewe ni kuhakikisha tunakuwa na katiba bora ambayo ndo msingi wa kila kitu otherwise magufuli anaendeleza uvuvi ule ule wa kufikiri.
.mfano pale tazara tu nataka kujenga flyover lakini naona kama is only two lanes? Katiba tuliyonayo inatupa viongozi ambao hawezi kufikiri Tz ya 20 to come,simply because as a nation hatuna vision,we keep doing/repeating same things year after year
 
You might as well tell us hiyo katiba yako itakuwa na artificial intelligence na utaiwekea application ambapo itakuwa inatengeneza administrative services policies, itakuwa inafanya regular decisions and everything else si ndio? maana binadamu wameshindwa kuzuia kila mtu kuona sawa ndio maana kuna sheria za kufunga watu kwa makosa ya ubadhirifu ata vitabu vya mungu vimeshindwa kuwazuia wote wale walio karibu naye kabisa na wanaotuongoza kwenye majumba yetu ya ibada kuwa wema; katiba itaweza kweli naanza kupata mashaka na ufahamu wako wa katiba.
 
Anachokifanya magu ni kusawazisha akili za wapumbavu ambao waliiyumbisha ccm kwenye uchaguzi. Ndio maana serikali hii imekua ya kudili sana na vyombo vya habari ili kuwaaminisha watu kuwa wao ni kiboko. Lakini ukitazama kwa jicho la tatu, utaona ni mchezo ambao hauna referee. Hakuna fisadi hata mmoja aliyetumbuliwa zaidi ya kutoa watu wa aliyepita na kuweka watu wake
PLEASE KEEP PUTTING SOME SENSE INTO THEIR THICK HEADS....I wish everyone was thinking DEEP like this....WELL SAID AND UNDERSTOOD.
 
Back
Top Bottom