Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 11,036
- 10,479
we kweli ZeroWote ni ccm huwezi kuwa mtumishi wa umma bila ya kuwa kada wa ccm.
kama kunachama kina mwanachama kama wewe basi wanamzigo.
we kweli ZeroWote ni ccm huwezi kuwa mtumishi wa umma bila ya kuwa kada wa ccm.
hahahahah,mkuu acha Jazba,waliahidiwa mengi jamaaaKwani nchi hii mgombea Urais yupo lowassa tu? Mbona akili zenu fupi mbwa nyie
Unamshambulia lowasa kama nani serikalini acha upunguan wahed wako mdogo wangu tambua lowasa leo ana impact yyte sababu ana cheo chochote kwenye nchihahahahah,mkuu acha Jazba,waliahidiwa mengi jamaaa
Maaana alisema anauchukia saaana umaskini,hahaha,wakati jimboni kwake maskini teleeee
Alishindwa kufanya alipokuwa waziri mkuu itakuwa sasa,Yanadanganywa kweli
Unamshambulia lowasa kama nani serikalini acha upunguan wahed wako mdogo wangu tambua lowasa leo ana impact yyte sababu ana cheo chochote kwenye nchi
Sasa wewe kiazi angalia sekta ipi utasema unachaguliwa bila ya kuwa ccm. Tatizo ccm akilini bado wapo na fikra za chama kimoja.we kweli Zero
kama kunachama kina mwanachama kama wewe basi wanamzigo.
WapeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeNi upuuuuuzi kudhani katiba ndiyo mujarabu wa matatizo ya watanzania. Katiba haijisimamii inasimamiwa, kama huna msimamo wa kusimamia hiyo katiba ni Kazi bure.
Nimekuwa nikishangaa siku zote watu wanaolilia katiba mpya wakiamini ndiyo itatatua matatizo kitu ambacho siyo kweli. Katiba tuliyonayo sasa inachora kwa uzuri kabisa mfumo, mipaka na mamlaka ya serikali na kama ingesimamiwa vyema tusingekua hapa tulipo.
Tunahitaji mtu mwenye kuleta utawala wa sheria ambaye ni JPM vinginevyo hata tutumie katiba ya mbinguni hatutapiga hatua yeyote.
Your thinking is too theoretical!! Practically, it doesn't work as easily as that!Akimbilie kuandika katiba na sheria sio kutumbua majipu wakati hayo majipu yote yanatokea chama kimoja. ikiwa kuna sheria imara kila kiongozi angelikuwa anafanya kazi kwa mujibu wa sheria hakuna mkubwa na mdogo kwenye sheria.
Vyema,hii ni sawa na sufuria iliyosongea ugali halafu ukaamua kupikia tena mboga bila kuiosha...Toka siku ya kwanza wizara ya Fedha,Muhimbili....ukiwa na hekima utajua tu.Mawaziri!Utajua tu!Magu anaendesha nchi kutokana na mihemko ya wananchi wasio na upeo wa kufikiria. Watanzania wengi tuliichukia ccm na serikali yake kwakua wapinzani Walisema ni mafisadi na walikuja na vielelezo. Kilichowakuta ccm uchaguzi wa mwaka 2015 ni kibaya hasa kashfa za ufisadi. Anachokifanya magu ni kusawazisha akili za wapumbavu ambao waliiyumbisha ccm kwenye uchaguzi. Ndio maana serikali hii imekua ya kudili sana na vyombo vya habari ili kuwaaminisha watu kuwa wao ni kiboko. Lakini ukitazama kwa jicho la tatu, utaona ni mchezo ambao hauna referee. Hakuna fisadi hata mmoja aliyetumbuliwa zaidi ya kutoa watu wa aliyepita na kuweka watu wake
Msalimie mamviNchi nyingi za wenzetu waliobahatika kupata viongozi imara na wenye uwono hawajaingilia kazi za kutumbua majipu wala safari za hafla maofisini. Lakini jambo lao la kwanza waliunda timu ya wasomi na kuandika katiba mpya na kuweka muhimili wa sheria.
Katiba ndio muhimili mkuu wa nchi ikiwa katiba ni mbovu basi hata malaika akipewe serikali kuiongoza itakuwa na mfumo mbovu tu. Sheria inaweza kuiwajibisha hata serikali yenyewe na kiongozi yeyote wa nchi bila ya kuangalia cheo au wadhifa wake kwenye serikali.
Leo hii Watanzania wengi tunamshabikia Magufuli kuwafukuza watu maofisini kwa kuwaita majipu. lakini haya majipu yanapata dawa?(yanapelekwa mahakamani) au yatakuja kuoza baadae?(kupewa wizara nyengine).
Wengi wetu tunajua jipu huleta madhara fulani mwilini au hata homa, sasa kulitumbua ndio limeshapona au linahitaji dawa?(katiba na sheria). Manake sijawah ipo kuwaona Omar Mahita,Said Mwema na Ernest Mangu kutumbua majipu traffic polisi na ndio wanaoongoza kwa rushwa nchini kuliko kitengo chochote kile.
NDIO NIKASEMA MAGUFULI MWENYEWE JIPU BILA YA KATIBA NA MUHIMILI WA SHERIA INAYOWEZA KUMUWAJIBISHA KIONGOZI NA RAIA WA KAWAIDA KWA MUJIBU WA SHERIA.
We kweli hujielewiWote ni ccm huwezi kuwa mtumishi wa umma bila ya kuwa kada wa ccm.
Hivi kumbe sheria za katiba hazivunjwi!!! Pasipo uongozi imara hata uwe na katiba nzuri kiasi gani ni kazi bure.Nchi nyingi za wenzetu waliobahatika kupata viongozi imara na wenye uwono hawajaingilia kazi za kutumbua majipu wala safari za hafla maofisini. Lakini jambo lao la kwanza waliunda timu ya wasomi na kuandika katiba mpya na kuweka muhimili wa sheria.
Katiba ndio muhimili mkuu wa nchi ikiwa katiba ni mbovu basi hata malaika akipewe serikali kuiongoza itakuwa na mfumo mbovu tu. Sheria inaweza kuiwajibisha hata serikali yenyewe na kiongozi yeyote wa nchi bila ya kuangalia cheo au wadhifa wake kwenye serikali.
Leo hii Watanzania wengi tunamshabikia Magufuli kuwafukuza watu maofisini kwa kuwaita majipu. lakini haya majipu yanapata dawa?(yanapelekwa mahakamani) au yatakuja kuoza baadae?(kupewa wizara nyengine).
Wengi wetu tunajua jipu huleta madhara fulani mwilini au hata homa, sasa kulitumbua ndio limeshapona au linahitaji dawa?(katiba na sheria). Manake sijawah ipo kuwaona Omar Mahita,Said Mwema na Ernest Mangu kutumbua majipu traffic polisi na ndio wanaoongoza kwa rushwa nchini kuliko kitengo chochote kile.
NDIO NIKASEMA MAGUFULI MWENYEWE JIPU BILA YA KATIBA NA MUHIMILI WA SHERIA INAYOWEZA KUMUWAJIBISHA KIONGOZI NA RAIA WA KAWAIDA KWA MUJIBU WA SHERIA.
Mbona UKAWA walisema Rais Magufuli anatekeleza Ilani yao! Kwahiyo Ilani ya UKAWA ni fix tu?Magu anaendesha nchi kutokana na mihemko ya wananchi wasio na upeo wa kufikiria. Watanzania wengi tuliichukia ccm na serikali yake kwakua wapinzani Walisema ni mafisadi na walikuja na vielelezo. Kilichowakuta ccm uchaguzi wa mwaka 2015 ni kibaya hasa kashfa za ufisadi. Anachokifanya magu ni kusawazisha akili za wapumbavu ambao waliiyumbisha ccm kwenye uchaguzi. Ndio maana serikali hii imekua ya kudili sana na vyombo vya habari ili kuwaaminisha watu kuwa wao ni kiboko. Lakini ukitazama kwa jicho la tatu, utaona ni mchezo ambao hauna referee. Hakuna fisadi hata mmoja aliyetumbuliwa zaidi ya kutoa watu wa aliyepita na kuweka watu wake
Brain evolution kwenda taratibu Afrika ni tatizo kubwa sana!Magufuli alisema anatumbua majipu,lakini yatauma;yaani wanaotumbuliwa watapiga mayowe,au watu walio pembeni watasema,usimtese huyo. Ndiyo Magufuli akasema ,wananchi,naomba ruhusa yenu kutumbua majipu. Kuhusu Katiba,zipo mbili sasahivi,ya mwaka 1977,na Katiba Pendekezwa. What are you complaining about?.
Alisema hajui siasa!Jamaa hajielewi mkuu.
Amekurupuka tu,anataka nchi iongozwe anavyotaka yeye.
Unamaana gani kusema hata malaika akipewa nchi itakuwa na mfumo mbovu.....Huo usemi huwa unanikera sana...hivi kwann huwa tunashirikisha spiritual things na siasa......Je mfumo wa Mbinguni ulikuwa mbovu hata shetani mmoja tu akaweza kushawishi theluthi ya malaika????????Nchi nyingi za wenzetu waliobahatika kupata viongozi imara na wenye uwono hawajaingilia kazi za kutumbua majipu wala safari za hafla maofisini. Lakini jambo lao la kwanza waliunda timu ya wasomi na kuandika katiba mpya na kuweka muhimili wa sheria.
Katiba ndio muhimili mkuu wa nchi ikiwa katiba ni mbovu basi hata malaika akipewe serikali kuiongoza itakuwa na mfumo mbovu tu. Sheria inaweza kuiwajibisha hata serikali yenyewe na kiongozi yeyote wa nchi bila ya kuangalia cheo au wadhifa wake kwenye serikali.
Leo hii Watanzania wengi tunamshabikia Magufuli kuwafukuza watu maofisini kwa kuwaita majipu. lakini haya majipu yanapata dawa?(yanapelekwa mahakamani) au yatakuja kuoza baadae?(kupewa wizara nyengine).
Wengi wetu tunajua jipu huleta madhara fulani mwilini au hata homa, sasa kulitumbua ndio limeshapona au linahitaji dawa?(katiba na sheria). Manake sijawah ipo kuwaona Omar Mahita,Said Mwema na Ernest Mangu kutumbua majipu traffic polisi na ndio wanaoongoza kwa rushwa nchini kuliko kitengo chochote kile.
NDIO NIKASEMA MAGUFULI MWENYEWE JIPU BILA YA KATIBA NA MUHIMILI WA SHERIA INAYOWEZA KUMUWAJIBISHA KIONGOZI NA RAIA WA KAWAIDA KWA MUJIBU WA SHERIA.
Sio kila mtumishi wa umma ni kada wa CCM. Hapa unaharibu argument yako. Wako ambao ni wapinzani, na wengine wengi tu hawana vyama.Wote ni ccm huwezi kuwa mtumishi wa umma bila ya kuwa kada wa ccm.