St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,167
Nchi nyingi za wenzetu waliobahatika kupata viongozi imara na wenye uwono hawajaingilia kazi za kutumbua majipu wala safari za hafla maofisini. Lakini jambo lao la kwanza waliunda timu ya wasomi na kuandika katiba mpya na kuweka muhimili wa sheria.
Katiba ndio muhimili mkuu wa nchi ikiwa katiba ni mbovu basi hata malaika akipewe serikali kuiongoza itakuwa na mfumo mbovu tu. Sheria inaweza kuiwajibisha hata serikali yenyewe na kiongozi yeyote wa nchi bila ya kuangalia cheo au wadhifa wake kwenye serikali.
Leo hii Watanzania wengi tunamshabikia Magufuli kuwafukuza watu maofisini kwa kuwaita majipu. lakini haya majipu yanapata dawa?(yanapelekwa mahakamani) au yatakuja kuoza baadae?(kupewa wizara nyengine).
Wengi wetu tunajua jipu huleta madhara fulani mwilini au hata homa, sasa kulitumbua ndio limeshapona au linahitaji dawa?(katiba na sheria). Manake sijawah ipo kuwaona Omar Mahita,Said Mwema na Ernest Mangu kutumbua majipu traffic polisi na ndio wanaoongoza kwa rushwa nchini kuliko kitengo chochote kile.
NDIO NIKASEMA MAGUFULI MWENYEWE JIPU BILA YA KATIBA NA MUHIMILI WA SHERIA INAYOWEZA KUMUWAJIBISHA KIONGOZI NA RAIA WA KAWAIDA KWA MUJIBU WA SHERIA.
Update:-
Kuna baadhi ya watu nadhani hawajui nini misingi ya katiba najaribu kutoa mfano wa Katiba na sheria imara:-mfano vitabu vya dini ni sawa na katiba ya dini akitokea kiongozi yeyote amekwenda kinyume ataambiwa kitabu chetu kinasema hivi na sio unavyosema.