Rais Magufuli ndio jipu la Tanzania

Rais Magufuli ndio jipu la Tanzania

Nchi nyingi za wenzetu waliobahatika kupata viongozi imara na wenye uwono hawajaingilia kazi za kutumbua majipu wala safari za hafla maofisini. Lakini jambo lao la kwanza waliunda timu ya wasomi na kuandika katiba mpya na kuweka muhimili wa sheria.

Katiba ndio muhimili mkuu wa nchi ikiwa katiba ni mbovu basi hata malaika akipewe serikali kuiongoza itakuwa na mfumo mbovu tu. Sheria inaweza kuiwajibisha hata serikali yenyewe na kiongozi yeyote wa nchi bila ya kuangalia cheo au wadhifa wake kwenye serikali.

Leo hii Watanzania wengi tunamshabikia Magufuli kuwafukuza watu maofisini kwa kuwaita majipu. lakini haya majipu yanapata dawa?(yanapelekwa mahakamani) au yatakuja kuoza baadae?(kupewa wizara nyengine).

Wengi wetu tunajua jipu huleta madhara fulani mwilini au hata homa, sasa kulitumbua ndio limeshapona au linahitaji dawa?(katiba na sheria). Manake sijawah ipo kuwaona Omar Mahita,Said Mwema na Ernest Mangu kutumbua majipu traffic polisi na ndio wanaoongoza kwa rushwa nchini kuliko kitengo chochote kile.

NDIO NIKASEMA MAGUFULI MWENYEWE JIPU BILA YA KATIBA NA MUHIMILI WA SHERIA INAYOWEZA KUMUWAJIBISHA KIONGOZI NA RAIA WA KAWAIDA KWA MUJIBU WA SHERIA.
Update:-
Kuna baadhi ya watu nadhani hawajui nini misingi ya katiba najaribu kutoa mfano wa Katiba na sheria imara:-mfano vitabu vya dini ni sawa na katiba ya dini akitokea kiongozi yeyote amekwenda kinyume ataambiwa kitabu chetu kinasema hivi na sio unavyosema.

Uziwako nitapost baadae nipo zanzibar napanga matokeo.
 
Hii katiba inatia uvivu maana hatujaridhia haswa tunataka vitugani! Kamavipi tufutilie mbali mchakato mzima tubaki na yazamani.
Mi kwangu ya warioba ni mbovu na ya chengesita ni yahovyo...sasa tutulie tujitafakari. Kunawatu walitaka waonekane ma héro wameishia kuwa masoro kwakung'ang'ania hoja zisizo na maana.
 
Magufuli alisema anatumbua majipu,lakini yatauma;yaani wanaotumbuliwa watapiga mayowe,au watu walio pembeni watasema,usimtese huyo. Ndiyo Magufuli akasema ,wananchi,naomba ruhusa yenu kutumbua majipu. Kuhusu Katiba,zipo mbili sasahivi,ya mwaka 1977,na Katiba Pendekezwa. What are you complaining about?.
Hizo mbili zina matatizo.
 
Kwanza acha kukariri njia za kutatua matatizo, hizo ni njia wenzetu walizotumia na sisi tunatumia yetu ndio maana dunia imemkubali JPM. Pili wewe inakuuma nini watu kufukuzwa kazi au na wewe jipu? Usitushawishi tukuteteee maana ulipokuwa unafanya ufisadi wako hukutualika kula na wewe(Mungu saidia jipu hili litumbiliwe kwa msumari wa inchi sita). Tatu, serikali inatakiwa kuongozwa na wasomi, yaani wabunifu, hii ni sifa ya PHD holders! Kama umezoea CHABO basi PHD((DOCTORS) hawafaulu kwa CHABOZ! usitake Rais a-chabo njia za kutatua matatizo! JPM IS A REAL PHD HOLDER!
...Ni KWELI kabisa. sesisi yake ina kurasa 112... Wakati anabaindi alitaka kuweka nembo ya CCM kwenye taito peji. DPG WAKAMKATALIA. Aliishia kulazimisha kuweka rangi za bendera ya Taifa!
 
sipati picha hiyo 2020 akiamua kurudi ccm, maana huyu mzee haeleweki! kabla ya 2015 tulimshambulia na kumtukana ,ghafla akahamia kwetu, tukawa kimyaa
Uliyo mshambulia yalikuwa na ukweli?
 
Mkuu wakati unaanza shule darasa la kwanza ulijua kuwa siku moja utaajiriwa na ccm kuitetea

Labda nikuulize Ni jambo gani la msingi walau moja ungependa libadilishwe kwenye katiba ya sasa ambalo unadhani litaleta mabadiliko
very interesting question.moja kubwa ni kubadirisha mfumo wa kuwapata viongozi na watendaji wakuu katika serikali yetu.huu mtindo wa kuteuana kwa kila nafasi hauwezi kutufikisha popote.jiulize swali Dogo tu why private sector Tanzania inafanya vizuri wakati wafanyakazi wake ni watanzania hao hao[/QUOTE]
Wakati unaanza shule ulijuwa kuwa kuna siku utajua maana na umuhimu wa katiba kiasi cha kudhani kwamba yenyewe ndio kila kitu maishani?. Usipende kukariri maisha. Wanapokuja wageni na kuchuma hapa kwa kutumia rasilimaoi zetu katiba yetu huwa inahusika?. Wanapolipwa watu mishahara hewa, katiba inahusika?. Watanzania wanapoyahujumu mashirika yao wenyewe kwa kununua mabehewa mabovu, katiba inahusika?. Nidhamu ya maisha kwanza mengine yanafuatia.
 
You might as well tell us hiyo katiba yako itakuwa na artificial intelligence na utaiwekea application ambapo itakuwa inatengeneza administrative services policies, itakuwa inafanya regular decisions and everything else si ndio? maana binadamu wameshindwa kuzuia kila mtu kuona sawa ndio maana kuna sheria za kufunga watu kwa makosa ya ubadhirifu ata vitabu vya mungu vimeshindwa kuwazuia wote wale walio karibu naye kabisa na wanaotuongoza kwenye majumba yetu ya ibada kuwa wema; katiba itaweza kweli naanza kupata mashaka na ufahamu wako wa katiba.

Mkuu hebu sasa tuende hatua kwa hatua

1. Naomba kujuwa kwamtazamo wako katiba inaumuhimu wowote? Kama upo ni upi? Kama hakuna lapili usijibu. Nin kazi ya katiba?

2. Wataalamu huenda kwa laws, principles na matokeo ya tafiti

Je kuna umuhimu wowote kwa manufactures wa makampuni tofauti (taasisi ya urais na marais katika kuongoza) mfano wa dawa za malaria say quinine kutumia fomula? Kwanini watumie unique formula?

3. Inawezekana kupata matokeo bora ya jambo lolote bila msingi mzuri (katiba)? Say unaweza kujenga ghorofa juu ya mchanga japokuwa mahitaji yote ya first floor nakundelea yamekamilika kitaalamu? Ninamaa katiba ndio msingi au unailewa vipi katiba katika suala la utawala bora na maendeleo ya taifa?

Thanks.
 
Usiku mwema mkuu I may be dealing with division five holder.hivi kitu gani kimempa uwezo magufuli wa kufanya decision ya kumteua mkurungezi wa NSSF? Katiba ni sheria mama ya nchi inayotoa mwongozo wa mambo yote katika nchi including decision making na ilitokea mtu akaamua au kufanya tofauti inatoa solutions namba ya kudeal nae
You might as well tell us hiyo katiba yako itakuwa na artificial intelligence na utaiwekea application ambapo itakuwa inatengeneza administrative services policies, itakuwa inafanya regular decisions and everything else si ndio? maana binadamu wameshindwa kuzuia kila mtu kuona sawa ndio maana kuna sheria za kufunga watu kwa makosa ya ubadhirifu ata vitabu vya mungu vimeshindwa kuwazuia wote wale walio karibu naye kabisa na wanaotuongoza kwenye majumba yetu ya ibada kuwa wema; katiba itaweza kweli naanza kupata mashaka na ufahamu wako wa katiba.
 
Lazima watu wafundishwe kuishi kistaarabu si kiwizi wizi tu na matumizi mabaya ya madaraka.

Vitabu vya dini hta baadhi ya viongozi wa dini hawavifuati itakuwa katiba? Acha wakoseaji watumbuliwe. Ila itakuwa kosa kumtumbua hapa na kumhamishia sehem ingine na Rais Magufuli hawez fanya kosa hilo
Hakuna kulea majizi. Kama majizi yatatumbuliwa na majizi mengine yataendelea kuiba na kutumia madaraka vbaya kwasababu haipo katiba mpya basi hapo tutawafanyia uchunguzi vichwa vyao
 
Thanks chief
Mkuu hebu sasa tuende hatua kwa hatua

1. Naomba kujuwa kwamtazamo wako katiba inaumuhimu wowote? Kama upo ni upi? Kama hakuna lapili usijibu. Nin kazi ya katiba?

2. Wataalamu huenda kwa laws, principles na matokeo ya tafiti

Je kuna umuhimu wowote kwa manufactures wa makampuni tofauti (taasisi ya urais na marais katika kuongoza) mfano wa dawa za malaria say quinine kutumia fomula? Kwanini watumie unique formula?

3. Inawezekana kupata matokeo bora ya jambo lolote bila msingi mzuri (katiba)? Say unaweza kujenga ghorofa juu ya mchanga japokuwa mahitaji yote ya first floor nakundelea yamekamilika kitaalamu? Ninamaa katiba ndio msingi au unailewa vipi katiba katika suala la utawala bora na maendeleo ya taifa?

Thanks.
 
You might as well tell us hiyo katiba yako itakuwa na artificial intelligence na utaiwekea application ambapo itakuwa inatengeneza administrative services policies, itakuwa inafanya regular decisions and everything else si ndio? maana binadamu wameshindwa kuzuia kila mtu kuona sawa ndio maana kuna sheria za kufunga watu kwa makosa ya ubadhirifu ata vitabu vya mungu vimeshindwa kuwazuia wote wale walio karibu naye kabisa na wanaotuongoza kwenye majumba yetu ya ibada kuwa wema; katiba itaweza kweli naanza kupata mashaka na ufahamu wako wa katiba.

Mkuu hebu sasa tuende hatua kwa hatua

1. Naomba kujuwa kwamtazamo wako katiba inaumuhimu wowote? Kama upo ni upi? Kama hakuna lapili usijibu. Nin kazi ya katiba?

2. Wataalamu huenda kwa laws, principles na matokeo ya tafiti

Je kuna umuhimu wowote kwa manufactures wa makampuni tofauti (taasisi ya urais na marais katika kuongoza) mfano wa dawa za malaria say quinine kutumia fomula? Kwanini watumie unique formula?

3. Inawezekana kupata matokeo bora ya jambo lolote bila msingi mzuri (katiba)? Say unaweza kujenga ghorofa juu ya mchanga japokuwa mahitaji yote ya first floor nakundelea yamekamilika kitaalamu? Ninamaa katiba ndio msingi au unailewa vipi katiba katika suala la utawala bora na maendeleo ya taifa?

Thanks.
 
Harafu nasikia hayo majibu walizaliwa nayo na hao anaowaweka amewapima kuhakikisha hawana vimelea vya majipu.pigine makofi kwa magufiriiiiii
Lazima watu wafundishwe kuishi kistaarabu si kiwizi wizi tu na matumizi mabaya ya madaraka.

Vitabu vya dini hta baadhi ya viongozi wa dini hawavifuati itakuwa katiba? Acha wakoseaji watumbuliwe. Ila itakuwa kosa kumtumbua hapa na kumhamishia sehem ingine na Rais Magufuli hawez fanya kosa hilo
Hakuna kulea majizi. Kama majizi yatatumbuliwa na majizi mengine yataendelea kuiba na kutumia madaraka vbaya kwasababu haipo katiba mpya basi hapo tutawafanyia uchunguzi vichwa vyao
 
Rais anaapa kuilinda na kuitetea katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
 
Mkuu hebu sasa tuende hatua kwa hatua

1. Naomba kujuwa kwamtazamo wako katiba inaumuhimu wowote? Kama upo ni upi? Kama hakuna lapili usijibu. Nin kazi ya katiba?
Katiba ni muhimu hilo halina ubishi lakini maudhui ya katiba yanaweza kuwa tata kwanini? Katiba kisheria ni mkataba kama ulivyo mkataba wowote make no mistake about that. Isipokuwa mkataba huu unatoa uhalali wa uwepo wa viongozi wa serikari na limitation zao katika nchi; sasa uwezi kuweka maudhui ambayo hayana guarantee.

2. Wataalamu huenda kwa laws, principles na matokeo ya tafiti

Je kuna umuhimu wowote kwa manufactures wa makampuni tofauti (taasisi ya urais na marais katika kuongoza) mfano wa dawa za malaria say quinine kutumia fomula? Kwanini watumie unique formula?
Katika nchi yeyote au hata taasisi yeyote sio lazima kila tafiti iwe implemented mwisho wa siku ni uwezo; mfano kuna enough evidence on global warming lakini kuwaambia watu wakate carbon emission bila ya enough alternative technology ya kuzalisha same amount of outputs is not realistic na wakifanya hayo kuna madhara makubwa sana kwenye jamii zao.

3. Inawezekana kupata matokeo bora ya jambo lolote bila msingi mzuri (katiba)? Say unaweza kujenga ghorofa juu ya mchanga japokuwa mahitaji yote ya first floor nakundelea yamekamilika kitaalamu? Ninamaa katiba ndio msingi au unailewa vipi katiba katika suala la utawala bora na maendeleo ya taifa?
Hapana katiba aina uhusiano na misingi ya kujenga ghorofa katiba imejikita katika maudhui ya muundo wa serikari, majukumu yake in relation to power limitations, uhusiano wa serikari na wananchi, stability ya kuendesha serikari sio kila mtu akija aje na mambo yake mapya kuhusu muundo wa mkataba na mambo mengi ya kiserikari na uongozi lakini sio directly kiuchumi particularly where factors change unpredictably.
 
Back
Top Bottom