Mkuu wakati unaanza shule darasa la kwanza ulijua kuwa siku moja utaajiriwa na ccm kuiteteaNani anajua kesho au mwakani siku kama ya leo itakuwa inafananaje?. Kagame anatumika kama mfano tu, zipo nchi nyingi tu ambazo zinaweka nguvu kubwa kwenye mapinduzi ya viwanda na kilimo, sisi tunaisingizia katiba, tunasema ikibadilishwa ndio angalau tutapiga hatua!!. Kwa kufanya hivyo tunaendelea kubaki na umasikini wetu.
Labda nikuulize Ni jambo gani la msingi walau moja ungependa libadilishwe kwenye katiba ya sasa ambalo unadhani litaleta mabadiliko[/QUOTE]very interesting question.moja kubwa ni kubadirisha mfumo wa kuwapata viongozi na watendaji wakuu katika serikali yetu.huu mtindo wa kuteuana kwa kila nafasi hauwezi kutufikisha popote.jiulize swali Dogo tu why private sector Tanzania inafanya vizuri wakati wafanyakazi wake ni watanzania hao hao