Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 4,046
- 3,049
Upo sahihi mkuu. Anahitaji ulinzi mkubwa kuliko viongozi waliotangulia maana kazi aliyoianza sio rahisi, ni ya hatari. Atakuwa na maadaui wengi - mafisadi, wakwepa kodi, wafanyabiashara ya madawa ya kulvya. Hawa ni watu wenye nguvu ya fedha. Sio wa kuwachukulia poa. Binafsi kuwa na msafara mdogo namna hiyo inanitia wasiwasi juu ya usalama wake. Siombei, lakini tahadhari ni bora iwe kubwa.
Kweli mkuu good point