mkono wa nyoka
JF-Expert Member
- Sep 21, 2015
- 334
- 54
hii thread imenifurahsha sana
Mh.... Asije leta ujuaji tukampoteza... Mungu apishie mbali
Hili sio jambo la kushangilia wala kuendekeza!
Mwambieni yupo vitani kuikomboa Nchi dhidi ya mafisadi!
Ulinzi kwake ni mhimu kuliko maono aliyonayo juu ya Tanzania yake.
Nipo hapa seaview, upanga. Ni saa 1:20. Rais wetu anapita akiwa na pikipiki 2,za polisi na magari manne tu. Halafu hakuna kufunga barabara. Jamani, haya ni maajabu. Tumempata kiongozi.
Uliza ya mkwere, hadi ambulance!!
Ulinzi imara hauhusiani na msafara mkubwa wa magari!ni kuwa na walinzi imara waliobobea kubwa zaidi wawe watiifu na waaminifu KWA wanayemlinda!
Eeh Mungu uishie najua wewe ndiwe ulietupa huyu Rais Magufuli...nakuomba umlinde umtunze umkinge na kila adui wa ndani na nje..umlinde atokapo umlinde aingiapo umlinde alalapo umlinde aamkapo..eee Bwana wa Mabwana hakuna linalokushinda tusaidie please...!
Hayo safi kabisa yanatosha...hii nchi ina amani ya nini kutembea na msururu wa migari 20!?!
Kweli Dkt Magufuli ni chaguo la Mungu. Na Mungu pekee ndiye atamlinda mja wake.
suala la ulinzi wa rais nni suala la tiss..rais wetu akidhurika hao tiss watatueleza
Ulinzi wake ni juu yetu sisi wananchi wake kuliko hayo magari mengi yatakayomzunguka. Inawezekana wengi wao wakamlinda kinafiki ila sisi tutamlinda kwa dhamira thabiti.. wanachotakiwa kujua maadui wake ni kwamba ALIPO TUPO WANANCHI wake. Tutamlinda kwa nguvu zote, hiki ni kiapo na hakivunjwi.. songa mbele Mr. Presodent.Hili sio jambo la kushangilia wala kuendekeza!
Mwambieni yupo vitani kuikomboa Nchi dhidi ya mafisadi!
Ulinzi kwake ni mhimu kuliko maono aliyonayo juu ya Tanzania yake.
Basi wote tuu ni machaguo ya Mungu. Maneno kama haya tuliyasikia 2006 kuhusu JK.
Kwa kasi hii inabidi style hiyo ibadirike. Anahitaji ulinzi.
Eeh Mungu uishie najua wewe ndiwe ulietupa huyu Rais Magufuli...nakuomba umlinde umtunze umkinge na kila adui wa ndani na nje..umlinde atokapo umlinde aingiapo umlinde alalapo umlinde aamkapo..eee Bwana wa Mabwana hakuna linalokushinda tusaidie please...!
Lakini ieleweke kuwa anapambana na system ya waharifu! popote wanaweza kupenyeza rupia wakapata mtu wao wa kummaliza Mh Rais wetu!