Kwa jinsi alivyonipa raha huyu JPM...wala sitakua na shida kukaa foleni kupisha msafara wake. Hata TISS wakiona wampe magari 50 mie kwangu poa tu. Ila wanaweza wakafikiri kumnunulia chopa apunguze matumizi ya barabara. Kwa mfano kwenda airport na maeneo kama hayo...itampa usalama zaidi na itapunguza foleni mjini. Maeneo yanayofikika kwa chopa aende kwa chopa. Kama obama vile.