Pia amjalie hekima na busara ...aminaEeh Mungu uishie najua wewe ndiwe ulietupa huyu Rais Magufuli...nakuomba umlinde umtunze umkinge na kila adui wa ndani na nje..umlinde atokapo umlinde aingiapo umlinde alalapo umlinde aamkapo..eee Bwana wa Mabwana hakuna linalokushinda tusaidie please...!
sijutii kumpa kura yangu rais wetu magufuli
unajifanya unajua kukosoa wenzio "nimetuta "ndo nini??wewe ni janga la nani??Elimu ya Watanzania. Nimetazama kurasa mbili tu za thread hii nikatuta makosa haya ya silabi na Kiswahili: Ulietupa, ibadirike,tahadhali, Sinkara, Bukinafaso, waharifu..............
Hili si jambo la mzaha.Yaani Mtanzania hawezi kuandika jumla moja bila ya makosa. Naamini wanaochangia hapa angalau wamemaliza form IV....! Hili ni janga la taifa.