kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,717
- 17,221
HUkumu ya kesi hii ni mtihani kwa majaji dhidi ya Taifa na wananchi mmojammoja kwakuwa itatumika kuhukumu watu wengine watakaofanya kama alivyofanya Lissu na chadema. Itatumika pia kulikinga au kulihatarisha Taifa na uharibifu kama ule usitokee au utokee tena kwa mbinu zile.za trh 3 April 2025 na Oct29, 2025. Yaani kusema na kufanya vile ni kosa au sio kosa kwa Taifa.
The principles of Positive and Negative reinforcement apply.
Hukumu ndio itatongoza kuona huko mbele kutakuwaje.
Mungu ibariki Tanzania
The principles of Positive and Negative reinforcement apply.
Hukumu ndio itatongoza kuona huko mbele kutakuwaje.
Mungu ibariki Tanzania