Rais Magufuli na Libya

Rais Magufuli na Libya

Kuna walibya WALIPOULIZWA Kwanini wanataka Gaddafi aondoke walijibu kuwa wanapenda demokrasia zaid. Wazungu wakasema shwari. Walibya wakasaidiwa kumtoa Gaddafi madarakan, tena kwa aibu kubwa. Kilichofuata ndo kama tunavyoona. Hakuna maendeleo wala demokrasia. Hakuna Uhuru wala fursa. Yaliyobaki ni majuto. Libya imevurugwa
Jiepushe usije kuitwa muongo. Barack Obama anasema katika mambo anayojutia ni suala zima la Libya na uhusika wa Marekani. Kabla hujaandika chunguza kwa undani uhakika wa chanzo chako.
 
Nina uhakika kama gaddafi angekuwa hai angeishamtembelea , maana kumbukumbu zangu zinaonyesha kwamba ametembelea uganda na Rwanda tu , sijui kwanini .
 
Mbona Kikwete alijenga barabara za kutosha kwani udicteta wake hata saa hii unanilisha
Mwambie aachie pesa watu tuludi baa
Aina yako ndio mnaofaa kuendelea kutumbuliwa kila kukicha. Kukaa kwako wewe na washkaji zako Bar ni muhimu sana kuliko fedha kuwafikia masikini wa vijijini. Poor Tanzanian friend of mine.
 
Alisema Raia zaid ya Million 30 wa Libya waliishi kwa furaha. Watu million 30!! Wakati libya inawatu wasio zidi million 7. Takwimu za mtukufu ni za mwendo kasi
 
Ni mara kadhaa sasa nimemsikia mtukufu rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli, akiwa anazungumzia suala la amani, akiitolea mfano nchi ya Libya kipindi cha Gadafi.

Kwamba mambo huko Libya yalikuwa safi tu. Vijana waliokuwa wanaoa walipewa hela, nyumba, na mengineyo.

Inawezekana kweli walikuwa wanapewa hivyo vitu lakini je, walikuwa wako huru kiasi gani?

Gadafi alikuwa dikteta. Tena dikteta mkubwa tu aliyeng'ang'ania madaraka kwa muda mrefu sana hadi walipomfurumsha.

Mtukufu rais Magufuli naye watu wengi wameshaanza kumwona kuwa ni dikteta. Hataki watu wafanye siasa kwenye maeneo yasiyo yao.

Tumeshaona na kusikia watu wakikamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa ya kumtukana/ kusema maneno mabaya dhidi yake.

Tumeona vyombo vya habari vikifungiwa kwa sababu zisizo na mashiko.

Sasa haya mambo ya yeye kuisifia Libya ya Gadafi mimi yananitatiza.

Nabaki najiuliza maswali tu. Ina maana yeye Magufuli alikuwa anamwona Gadafi kuwa ni kiongozi bora aliyeweza kutunza amani huko Libya hadi awe anaisifia sifia hivyo?

Kama Gadafi ndo mmoja wa viongozi ambao Magufuli anawaona kama mfano mzuri wa utunzaji wa amani, watu wakimwona na yeye dikteta watakuwa wanakosea kweli?

Ndo mambo ya ndege wafananao hayo au..?
Yes Gaddafi was a great African leader! Waafrika tuna tatizo moja kubwa sana, uelewa mdogo. Wazungu wanatuchezea na kutuaminisha kwamba sungura ni mbwa! Na tunaamini.
Gaddafi hakutolewa madarakani na walibya eti sababu ya kukosa demokrasia! No. Gaddafi alitolewa na wazungu, kwa sababu zao na malengo yao, hasa ya kiuchumi.
Kwenye nchi au society yeyote lazima kuna kundi japo dogo litakalo pinga utawala uliopo, that's natural because societies are not homogenious. Walichofanya NATO na mshirika wao US ni ku amplify upinzani wa kundi dogo na kuendesha propaganda kwamba walibya wanapigana na Gaddafi, na la kusikitisha kuna waafrika wengi tu, wanaamini huu uongo.
Gaddafi na jeshi lake (lenye nguvu) walipigwa na NATO kwa kutumia silaha za kisasa na mbinu za kisasa. Ndo mana makombora ya kurushwa yalishambulia central commanding and military bases strategically. Mashambulizi ha ya hatukuonyeshwa kwenye TV, ila tulikuwa tukionyeshwa mfululizo "wahuni" waliovaa vilemba wakizurula kwenye magari ya wazi na kurusha risasi ovyo ovyo angani. Na bado propaganda zao zilifanikiwa kuwaghiribu waafrika wengi eti ndio waliomwondoa Gaddafi! Inasikitisha sana.
 
Sasa kama mtu Role model wake ni Kagame unategemea na yeye atakuwaje?
Moja wapo ya alama ya udiketa ni matamshi ya vitisho kama haya "mtu akikuchezea niambie, haitachukua hata dakika 5"

Huyu ilashaonekana toka anagombea kwake msamiati Demokrasia haupo na haamini kama upo.

😉🙂🙁😉
 
Yes Gaddafi was a great African leader! Waafrika tuna tatizo moja kubwa sana, uelewa mdogo. Wazungu wanatuchezea na kutuaminisha kwamba sungura ni mbwa! Na tunaamini.
Gaddafi hakutolewa madarakani na walibya eti sababu ya kukosa
demokrasia! No. Gaddafi alitolewa na wazungu, kwa sababu zao na malengo yao, hasa ya kiuchumi.
Kwenye nchi au society yeyote lazima kuna kundi japo dogo
litakalo pinga utawala uliopo, that's natural because societies are not homogenious. Walichofanya NATO na mshirika wao US ni ku amplify upinzani wa kundi dogo na kuendesha
propaganda kwamba walibya wanapigana na Gaddafi, na la kusikitisha kuna waafrika wengi tu, wanaamini huu uongo.
Gaddafi na jeshi lake (lenye nguvu) walipigwa na NATO kwa
kutumia silaha za kisasa na mbinu za kisasa. Ndo mana makombora ya kurushwa yalishambulia central commanding and military bases strategically. Mashambulizi ha
ya hatukuonyeshwa kwenye TV, ila tulikuwa tukionyeshwa mfululizo "wahuni" waliovaa vilemba wakizurula kwenye magari ya wazi na kurusha risasi ovyo ovyo angani. Na
bado propaganda zao zilifanikiwa kuwaghiribu waafrika wengi eti ndio waliomwondoa Gaddafi! Inasikitisha sana.

How Europe Underdevelped Africa daah kitabu cha Walter Rodney kinafundisha mengi hata Eli cohen
 
Alisema Raia zaid ya Million 30 wa Libya waliishi kwa furaha. Watu million 30!! Wakati libya inawatu wasio zidi million 7. Takwimu za mtukufu ni za mwendo kasi
Hakuna chochote anachojua
 
Gaddafi's Last Speech!!! .najua wengi hatujaisoma lets Read

In the name of Allah, the ...beneficent, the merciful...
For 40 years, or was it longer, I can't remember, I did all I could to give people houses, hospitals, schools, and when they were hungry, I gave them food. I even made Benghazi into farmland from the desert, I stood up to attacks from that cowboy Ronald Reagan, when he killed my adopted orphaned daughter, he was trying to kill me, instead he killed that poor innocent child. Then I helped my brothers and sisters from Africa with money for the African Union.
I did all I could to help people Understand the concept of real democracy, where people's committees ran our country. But that was never enough, as some told me, even people who had 10 room homes, new suits and furniture, were never satisfied, as selfish as they were they wanted more. They told Americans and other visitors, that they needed "democracy" and "freedom" never realizing it was a cut throat system, where the biggest dog eats the rest, but they were enchanted with those words, never realizing that in America, there was no free medicine, no free hospitals, no free housing, no free education and no free food, except when people had to beg or go to long lines to get soup.
No, no matter what I did, it was never enough for some, but for others, they knew I was the son of Gamal Abdel Nasser, the only true Arab and Muslim leader we've had since Salah-al-Deen, when he claimed the Suez Canal for his people, as I claimed Libya, for my people, it was his footsteps I tried to follow, to keep my people free from colonial domination - from thieves who would steal from us.
Now, I am under attack by the biggest force in military history, my little African son, Obama wants to kill me, to take away the freedom of our country, to take away our free housing, our free medicine, our free education, our free food, and replace it with American style thievery, called "capitalism" ,but all of us in the Third World know what that means, it means corporations run the countries, run the world, and the people suffer.
So, there is no alternative for me, I must make my stand, and if Allah wishes, I shall die by following His path, the path that has made our country rich with farmland, with food and health, and even allowed us to help our African and Arab brothers and sisters.
I do not wish to die, but if it comes to that, to save this land, my people, all the thousands who are all my children, then so be it.
Let this testament be my voice to the world, that I stood up to crusader attacks of NATO, stood up to cruelty, stoop up to betrayal, stood up to the West and its colonialist ambitions, and that I stood with my African brothers, my true Arab and Muslim brothers, as a beacon of light.
When others were building castles, I lived in a modest house, and in a tent. I never forgot my youth in Sirte, I did not spend our national treasury foolishly, and like Salah-al-Deen, our great Muslim leader, who rescued Jerusalem for Islam, I took little for myself...
In the West, some have called me "mad", "crazy", but they know the truth yet continue to lie, they know that our land is independent and free, not in the colonial grip, that my vision, my path, is, and has been clear and for my people and that I will fight to my last breath to keep us free, may Allah almighty help us to remain faithful and free..
 
Wacheni iwe Africa for Africans na Tanzania for Tanzanians ile nchi ya Libya ilikua mfano katika slogan ya Africa for Africans na ilikua Libya for Libyans na ndi msimamo wetu na rasilimali zetu wote kwa manufaa yetu Watanzania chini ya Kiongozi aliesubiriwa kwa Miaka yote kwa wakati wake yaani JPM ukimuangalia utajua uchungu alionao kuhusu nchi yake, so yaliotokea libya juzi kati tumeyaona kwa ubinafsi wao wale wa kule na unafiki wao wenyewe wanajuta kuwa Walibya.Mungu ibariki Tz
 
Nadhani mtoa mada hajui kabisa siri kamili ya kilichomuondoa Gadaf, kilichomponza ni kule kutaka kuanzishwe Africa moja na ndiye aliyependekeza hata jina la AFRICA UNION (AU), hilo wazungu hawalitaki kabisa kulisikia. Kumbuka alianzisha satellite ya Africa, ki ukweli alikuwa na vision nzuri kwa lengo la kukabiiliana na utumwa mamboleo unaoendelea dhidi ya mataifa masikini hasa bara la Africa. Ukitaka kujua ni hatari wakati wote unapokuwa Rais jaribu kusema na kutetea kwamba Nchi ni lazime ijikwamue kwamba isitegemee misaada toka kwa mataifa yaliyoendelea. Kiongozi wa namna hiyo ajielewe kuwa amekalia kaa la moto. Na huenda taarifa za inteligensia za rais zimemfikia mpaka akatamka kuwa vyama vya upinzani vinafadhiliwa ili kuleta vurugu hapa nchini. Moja sababu inaweza kuwa msimamo wa kuitaka TZ iachane kutegemea misaada kutoka kwa wahisani. Rais yeyote ukiabudu misaada utapendwa sana na mataifa haya kwasabuabu kunakitu watafaidika kutoka kwako kwa namna moja au nyingine.
Kikundi cha watu wachache wa Libya waliopandikizwa na kuimba wimbo wa demokrasia ndio waliompindua Gadafi na hatimaye wakamuua.Silaha zilizomuua zilitolewa na hawa hawa mataifa makubwa hasa Marekani hakuna ubishi. Siria kwa mfano vita inayoendelea sasa ni baina ya Marekani na Murusi. Marekani imekiri kutoa silaha na askari waelekezi kuvisaidia vikundi vya kiasi. Murusi yupo na madege yake makubwa anaongoza mapigano kumsaidia Rais wa Siria.Wanatafuta nini hawa watu kwenye Nchi ya watu.
Sasa kama unadhani nchi hizi zinademokrasia kama ya Tundu Lisu, wewe kamtukane Obama hadharani kama anavyofanya Tundu Lissu uone kitakachotokea. Tundu Lisu amefikia hata kuzidharau hata mahakama zetu sijui anajiamini nini.
Ninavyojua mimi uhuru wa kusema sio matusi ni hoja ndizo zinazozingatiwa na wananchi kutoka mataifa haya ya wenzetu wanalijua hilo.
 
Mleta uzi unataka Rais magufuli atolee mfano nchi gani zaidi ya Libya hapa afrika? Libya ni mfano mzuri wa nchi ya kiafrika iliyo tumia rasilimali zake bila misaada kunyanyua maisha ya wananchi wake

Kuna mfano bora kama huo hapa afrika? Mi siuoni
 
Sisi tunaangalia alivyotumia rasilimali za nchi yake na ubunifu kuwasaidia watu wake hayo mengine unajua wewe
Kinachozungumziwa hapa siyo matumizi ya rasilimalI. Wewe ndiyo unachemsha. Anyway, Labda ungemshauri Rais aige hayo matumizi ya Rasilimali na siyo namna ya kulinda amani yetu!! La sivyo tutaishia huko huko ilikoishia Libya!
 
Nimesoma hoja zako hapa na nimekuelewa...Lakini ni wazi kuwa kuna issues nyingine inabidi ujiongeze zaidi...Kwa mfano katika masuala ya uhuru wa watu na suala la kuvifungia vyombo vya habari kwa kutaja machache tu....

Anayozungumza JPM kuhusu Libya ni kweli tupu...binafsi nilibahatika kufika Libya wakati wa Gadhafi na nikakaa Tripoli na maeneo mengine machache kwa karibu wiki mbili hivi...Ni siku chache kuweza kuifahamu nchi, lakini ni wazi Libya wakati wa Ghadafi ilikuwa ni 'heaven' ukilinganisha na hali ya sasa....Ni kweli Libya wakati wa Ghadafi walikuwa wanakosa mambo mengi ya anasa kwa vigezo vya nchi za magharibi...kama pombe, vyombo huru vya habari kwa, na yale mambo mengine ya anasa ambayo siwezi kuyaweka hapa...Lakini Libya wakati huo walikuwa na karibu kila kitu kwa bidhaa madukani..vyakula, nguo za bei rahisi kutoka Italy, Spain, Turkey na kadhalika...Kulikuwa hakuna tatizo la ajira..maji na umeme karibu ni wa bure na wanaume kulipiwa mahali wakati wa kuoa...

Ni kweli walikuwa hawana uhuru kwa maana ya kukosoa uongozi...sikuona pia uhuru katika masuala ya internet...hakukuwa na madawa ya kulevya...vyombo vya habari vilikuwa controlled na kadhalika...

Wamarekani na nchi za magharibi hawakupenda ustawi wa Libya...na pale Ghadafi alipojaribu kupendekeza kuwa dhahabu ndiyo itumike kwenye biashara ya mafuta, ndipo walipokula njama za kumuodoa....

Sijafika Libya ya sasa lakini kwa kupitia vyombo vya habari ni wazi Walibya wanajuta...hakuna serikali pale..Kule Benghazi nadhani wana serikali yao...kuna makundi mengi yenye silaha yenye itikadi tofauti na yanapambana yenyewe kwa wenyewe...mafuta yanachotwa ovyo na mabepari wa nchi za magharibi...

Ndiyo maana walibya wengi wanajuta kwa kuona kuwa walihadaiwa.....Pengine ni vema tujiulize hivi tunapodai uhuru tunamanisha nini???? Libya sasa wana uhuru wa kutukana viongozi, kuchukua silaha na kupigana na kuuana wao kwa wao...Yaani kilichoko Libya sasa ni vurugu...Je, sisi Tanzania ndio uhuru tunaoutaka??? Yaani tunataka uhuru wa kutotii mamlaka??? Tunataka uhuru wa ghasia???? Je, sisi watanzania tunataka hayo??? Uhuru ni jambo jema lakini uhuru pasipo wajibu ni vurugu....

Vyombo vya habari vina nafasi ya kujenga mshikamano na kukemea maovu, lakini vyombo hivyo vikianza kutumika katika kuhakikisha kuwa amani na usalama wa nchi unapotea ni lazima vyombo hivyo vya habari 'vishughulikiwe' kwa mujibu wa taratibu, kanuni na sheria za nchi yetu.....
Nakushukuru, hasa baada ya kugusia sababu ya kweli ya wazungu kumwondoa Gaddafi!
 
Mleta uzi unataka Rais magufuli atolee mfano nchi gani zaidi ya Libya hapa afrika? Libya ni mfano mzuri wa nchi ya kiafrika iliyo tumia rasilimali zake bila misaada kunyanyua maisha ya wananchi wake

Kuna mfano bora kama huo hapa afrika? Mi siuoni
Na kwa mfano huo wa Libya ya Gadafi kuwanyima watu wake uhuru mpaka wakayaona maendeleo hayo aliyoyajenga kama machukizo na hatimaye kuanza mapambano dhidi yake.

Ccm na Magufuli wanayo nafasi ya kujenga uchumi imara na maendeleo ya kuonekana pamoja na uhuru wa watu wao kujieleza kuanzia bungeni mpaka uraiani bila vitisho na funga funga hii inayoendelea ktk nchi yangu.

Naomba wanaomshauri wafanye kazi ya ziada kutokuirejesha nchi hii nyuma bali tusonge mbele wote kwa kuipenda nchi yetu wote. Na mwisho mkuu ajue hata siku moja watu hawawezi kuwaza na kuamua pamoja.
 
Umesema vyema sana.

Sasa maswali ya kujiuliza

1. Tanzania tunatoa Scholarship ?
2. Tanzania tunasaida Africa kulipia Matumizi ya Sattelite ?
3. Raia wa Tanzania tuna Maisha bora kuwazidi watu wengine wote barani Africa ?

Ukijbu haya Maswali utajua kuwa hatupaswi kujifananisha na Libya ya enzi za Gadafi,hatufanani nayo hata Chembe...
Hatuwezi kufanana na Libya, ungemuelewa Magu anasema nini kuhusu Libya usingeniuliza haya maswali. Jamaa anazungumzia amani, amani ambayo waliaminishwa na mataifa ya nje kuwa wanatakiwa kuwa huru. Hivyo wamtoe Gaddafi ndo watakua huru, lakini imegeuka fedheha
 
Utakula huo Uhuru?

Uhuru ndio utajenga barabara na kuhakikisha watoto wote wanaenda shule na kupata elimu bora? Uhuru ndio utaleta madawa hospitalini?

Ingekuwa hivo nchi za kiafrika zisingekuwa hapa kimaendeleo miaka zaidi ya 50 tangia zilipoanza kupata Uhuru.
Ni vizuri ukajijibu mwenyewe ni kwanini nchi za ki Africa especially Tz tuko hivi karibu miaka 60 baada ya uhuru.

Viongozi wetu hawakutaka mawazo mbadala. Wako radhi hata kuua (kupoteza) mradi wananchi wasisikilize upande wa pili. Hata tukifanya hatua bila uhuru watayachukia hayo yanayoitwa maendeleo.
 
Nini maana ya dikteta? Vigezo gani vinavyotumika kumwit gadafi dikteta? Je kukaa madarakani muda mrefu ni udikteta?
 
Achana na hawa jamaa ni waongo balaa wamesahau hapa mwisho libya ndio ilikuwa inaifadhili AU kipesa na kimuongozo
Kuna watu wanaandika vitu ambavyo havijui hata kidogo na hawataki kujifunza kabisa,kwa hyo wanaandika ilmradi siku zinakwenda
 
Back
Top Bottom