Rais Magufuli na karata ya machinga kuelekea 2020

Jamani,bora wangewahi mwanzoni.nia nu njema tu jsmrni
Hahaha nani hawai?! Machinga au vitambulisho?! Yani wewe umeanza kusikia kuhusu machinga leo?! Kila uchaguzi machinga ni ajenda. Ukiisha husikii machinga.
 
Kariakoo wenye maduka wanawaidikisha machinga wao na kuwakatia vitambulisho, namjua mmoja anataka watano, sharti uuze vitu vyake, chezea watanzania wewe
 
Mzee huyu kaona hapa njia pekee ya kuwarubuni machinga ni kuwaambia eti anawapa vitambulisho,

Kwanini visiwe vitambulisho vya kawaida, mfano kama vya kumtambulisha mkazi au aina nyingine mpaka viwe connected na TRA? Kwanini visitolewe na halmashauri au wizara ya viwanda na biashara ila atoe Magufuli kuputia mlango wa TRA?

Kwa sasa kitambulisho mmekipata kwa 20,000 hiyo ni Invitation to treat ,

Hivo mtavilipia mpaka 200,000 ,kwa Muda unaokuja hasa mwakani, na imeshatambulika kuwa huwa una kitambulisho, na kina mama lishe woote mtalipa

Nanukuu "Hakuna kumsumbua machinga au mama lishe mwenye kitambulisho hiki"

Alafu wakashangilia, yaan kwa logic ya kawaida ni kwamba wasiokuwa navyo wasumbuliwe, hivo ipo siku kitauzwa laki 4 lazima awe nacho kuepuka kusumbuliwa na mgambo, haya

Shangilieni
kwa kulaumu nyie hamjambo kila kitu lazima mulaumu sijui Serikali ifanyeje ndio muone imefanya la maana
 
Mbona gharama ndogo. SBB kwa mwezi ni kama 1700 tu MTU anafanya biashara. Unataka nchi wajenge wafanyakazi tu????
 
Wafanyakazi wanalipa Kodi kubwa sana mbona??? ingekuwa busara Kodi iwe kwa wote wenye miaka zaidi ya 18. Tujenge nchi wote. Tuwaonee Huruma wafanyakazi.
 
Wamachinga hawalipi kodi.... hyo elf 20 ni kama kodi yao kwa mwaka... passport ya kusafiria sio kitambulisho cha biashara....
Hivi hiyo 20000 ni kwa wamachinga tu?
Mama ntilie,wenye vijiduka kwa mangi,nao si wa mo pia

Ova
 
Mzee huyu kaona hapa njia pekee ya kuwarubuni machinga ni kuwaambia eti anawapa vitambulisho,

Kwanini visiwe vitambulisho vya kawaida, mfano kama vya kumtambulisha mkazi au aina nyingine mpaka viwe connected na TRA? Kwanini visitolewe na halmashauri au wizara ya viwanda na biashara ila atoe Magufuli kuputia mlango wa TRA?

Kwa sasa kitambulisho mmekipata kwa 20,000 hiyo ni Invitation to treat ,

Hivo mtavilipia mpaka 200,000 ,kwa Muda unaokuja hasa mwakani, na imeshatambulika kuwa huwa una kitambulisho, na kina mama lishe woote mtalipa

Nanukuu "Hakuna kumsumbua machinga au mama lishe mwenye kitambulisho hiki"

Alafu wakashangilia, yaan kwa logic ya kawaida ni kwamba wasiokuwa navyo wasumbuliwe, hivo ipo siku kitauzwa laki 4 lazima awe nacho kuepuka kusumbuliwa na mgambo, haya

Shangilieni
Wacha yakanyagwe haya ndio yanatuletigi sana down wakati wa election
 
Nilijua tu kuwa wamachinga wanaundiwa zengwe pale nilipo sikia,
mkuu anadai kuwa kuna wafanya biashara wakubwa wanawatumia machinga kuuza bidhaa zao.
Hii ndio Tanzania
 
Mzee huyu kaona hapa njia pekee ya kuwarubuni machinga ni kuwaambia eti anawapa vitambulisho,

Kwanini visiwe vitambulisho vya kawaida, mfano kama vya kumtambulisha mkazi au aina nyingine mpaka viwe connected na TRA? Kwanini visitolewe na halmashauri au wizara ya viwanda na biashara ila atoe Magufuli kuputia mlango wa TRA?

Kwa sasa kitambulisho mmekipata kwa 20,000 hiyo ni Invitation to treat ,

Hivo mtavilipia mpaka 200,000 ,kwa Muda unaokuja hasa mwakani, na imeshatambulika kuwa huwa una kitambulisho, na kina mama lishe woote mtalipa

Nanukuu "Hakuna kumsumbua machinga au mama lishe mwenye kitambulisho hiki"

Alafu wakashangilia, yaan kwa logic ya kawaida ni kwamba wasiokuwa navyo wasumbuliwe, hivo ipo siku kitauzwa laki 4 lazima awe nacho kuepuka kusumbuliwa na mgambo, haya

Shangilieni
Halafu kuvipata haiwezi kuwa easy!... There comes a day utaambiwa Lilia kwanza then utasubiri miezi 6,,
 
Hata wasingepewa mngelaumu tu nyie endeleeni kutafuta mambo ya kuponda na kulaumu
Yaani kuna watu mindset zao ziko kulalamika tu , hawana jema kwao.,akili imejaa upupu wanawashwa kila jambo.
 
Mzee huyu kaona hapa njia pekee ya kuwarubuni machinga ni kuwaambia eti anawapa vitambulisho,

Kwanini visiwe vitambulisho vya kawaida, mfano kama vya kumtambulisha mkazi au aina nyingine mpaka viwe connected na TRA? Kwanini visitolewe na halmashauri au wizara ya viwanda na biashara ila atoe Magufuli kuputia mlango wa TRA?

Kwa sasa kitambulisho mmekipata kwa 20,000 hiyo ni Invitation to treat ,

Hivo mtavilipia mpaka 200,000 ,kwa Muda unaokuja hasa mwakani, na imeshatambulika kuwa huwa una kitambulisho, na kina mama lishe woote mtalipa

Nanukuu "Hakuna kumsumbua machinga au mama lishe mwenye kitambulisho hiki"

Alafu wakashangilia, yaan kwa logic ya kawaida ni kwamba wasiokuwa navyo wasumbuliwe, hivo ipo siku kitauzwa laki 4 lazima awe nacho kuepuka kusumbuliwa na mgambo, haya

Shangilieni
Kwa maana hiyo hiki kitambulisho kinaweza kuwa na nguvu kama kadi ya mpiga kura kwa sababu Tz vitamvulisho haviishi kila siku utadhani ving'amuzi vya TV
 
Invitation to treat! Nimekupa kitambulisho, are there clearer term for an offer to be implicated/implied? are there clear intention to bind? Mimi sijui, ila Wamachinga /wafanyabiashara mama ntilie muwe macho! We are in a lawlessness society!
Kabla ya kuchukua hicho kitambulisho itabidi kutolewe maelezo ya kina sana ili kujiridhisha
 
Ndiyo maana kuna migambo wako kwenye mafunzo muda mrefu sana pale uwanja wa nanihii nikashangaa mgambo wanapenda mwezi wa saba sasa wako mafunzoni nikasema hii si kawaida
rais wetu wa wanyonge kaja na kodi mpya japo hataki kuipamba kama kodi yeye anaita vitambulisho. kwa hakika hii ni kodi mpya!! tena kodi inayoenda kwa wale anaowaita wanyonge.

hii ni kodi ya kichwa kama iliyokuwepo hapo zaman kwa wazazi wetu. rais wetu anaona wivu raia wake wakipata riziki bila kulipa chochote direct serikalini. anasahau kodi ina njia nyingi sana za kulipwa. kila huduma ninayoipata nalipa kodi inderlect. ila yeye hajaona hilo anaona tunaishi bure katika nchi yetu wenyewe.

kwa wale wanaofurahia hii kodi mpya mtakuja kujuta huko mbele. italeta usumbufu mkubwa sana kwa raia wenye kipato kidogo. mtaji wa kuuza karanga haufiki 20,000 lakn watataka nilipe 20. mtaji wa kuuza maji ni nguvu zako watataka nilipie nguvu zangu.

na tukifurahia wamachinga kuanza kulipa kodi tukidhani sisi haituhusu tunakosea. tujue na sisi anatufikilia namna ya kutukamua

ni huyo mimi muuza karanga hii kodi inanihusu.

ni huyo mimi muuza maji ya kandoro hii kodi inanihusu.

ni huyo mimi mtembeza viatu hii kodi inanihusu

ni huyo mimi mama ntilie muuza wali kwenye vumbi kodi hii inanihusu

ni huyo mimi muuza maembe kwa baisker kodi hii inanihusu.

ni huyo mm muuza kahawa kikombe 100 hii kodi inanihusu

aisee rais wa wanyonge ama kweli unaenda kutunyonga!!

haya migambo na polisi ajira hiyo hapo futeni virungu njoon kutukimbiza kwa amri ya rais wa wanyonge
 
Back
Top Bottom