Pole sana ila ni lazima utofautishe hati ya kusafiria na hati ya kukupa ruhusa ya kufanya biashara ya kukuingizia kipato.Jamani hakika sisi wamachinga sasa tumekuwa punching bag hasa kinapokaribia kipindi cha uchaguzi kama huu unaokuja wa serikali za mitaa.
Hivi kweli inaingia akilini Passport kubwa ya kusafiria inayotengenezwa kitaalamu sana imgharimu Mtanzania shs 150,000/ pekee kwa miaka 10 yaani wastani wa shis 15,000/ kwa mwaka na sisi wachumia juani kale kakadi katugharimu 20,000/ kwa mwaka mmoja?
Au gharama hiyo ni kwa vile hatutapigwa mabuti na virungu hivyo lazima tutoe chochote kwa serikali kama protection cost?
Haileti maana, au mimi ndio sielewi? TUHURUMIENI WAKUBWA KAMA NI KURA NJOONI MUMWAGE SERA SIO KUTUBAMIZA
Unaipata kwa kududnduliza,,ila yeye anaitaka papo.kwa papo yaan tit for tatKwa hiyo ukiuza maji ya kandoro mwaka mzima hupati hiyo 20000 ya kodi?
utalipa tu unataka nani akuendeshee nchi....unafikiri lami,dawa,umeme,shule nk zinatoka mbinguni...?Unaipata kwa kududnduliza,,ila yeye anaitaka papo.kwa papo yaan tit for tat
Kwi kwi kwi!Harafu mtoa mada ni mwalimu wa shule ya msingi!
Bro sio mkwepakodi inatakiwa isomeke mlipakodiHivi nikiwa na mtaji wa mil. 16 na nilikuwa nalipa kodi, baada ya vitambulisho vya mkwepakodi, nikagawanya mtaji wangu Mara 4, nikawa na mtaji wa mil.NNE nne nikwagawia ndugu zangu mmoja tegeta, mwingine buguruni, Mimi manzese, na mwingine ilala,
alafu nikatumia sh 80,000 kununua kitambulisho cha mkwepa kodi,
Tayari TRA wameshapoteza mapato kibao
Ndio hapo sasa! Kama unazungumzia nchi utaelewa ila kama ni hiyo 20 utaona ni nafuu!Wewe kwa mwaka unaingiza sh ngap kushindwa kulipa elfu ishirini mimi nina ndugu zangu tu wengi wapo hapa dar wanauza hizo karanga kwa mwaka wana uwezo wa kuingiza zaidi ya milioni 3 sasa mtu kama huyu anashindwa vp kulipa iyo elfu ishirini ili afanye biashara yake pasipo kubugudhiwa na mgambo wa jiji vitu vingine si vya kulia lia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtoa mada, Hapo [emoji115] umeongea Ushuzi wa Kenge.
Zinatosha sana hizi kulipia elimu bure, nadhani sasa watoto watakunywa uji wakilipa 20,000 wengi.utalipa tu unataka nani akuendeshee nchi....unafikiri lami,dawa,umeme,shule nk zinatoka mbinguni...?
Tena watakusanya sanaNimependa mchango wako
Jamani,bora wangewahi mwanzoni.nia nu njema tu jsmrniHahaha uchaguzi umekaribia utasikia kila kitu kuhusu machinga na mamantilie. Hawakawii kesema machinga na mamantilie wataruhusiwa kuuza ndani ya dreamline.
Wanatumika kama kondom.
Wamachinga hawalipi kodi.... hyo elf 20 ni kama kodi yao kwa mwaka... passport ya kusafiria sio kitambulisho cha biashara....Jamani hakika sisi wamachinga sasa tumekuwa punching bag hasa kinapokaribia kipindi cha uchaguzi kama huu unaokuja wa serikali za mitaa.
Hivi kweli inaingia akilini Passport kubwa ya kusafiria inayotengenezwa kitaalamu sana imgharimu Mtanzania shs 150,000/ pekee kwa miaka 10 yaani wastani wa shis 15,000/ kwa mwaka na sisi wachumia juani kale kakadi katugharimu 20,000/ kwa mwaka mmoja?
Au gharama hiyo ni kwa vile hatutapigwa mabuti na virungu hivyo lazima tutoe chochote kwa serikali kama protection cost?
Haileti maana, au mimi ndio sielewi? TUHURUMIENI WAKUBWA KAMA NI KURA NJOONI MUMWAGE SERA SIO KUTUBAMIZA
Hahaha asanteUko vzr kunywa soda kwa Mangi hapo
Hapo ni kura na kuongeza kipato maana kuna takribani 13bJamani hakika sisi wamachinga sasa tumekuwa punching bag hasa kinapokaribia kipindi cha uchaguzi kama huu unaokuja wa serikali za mitaa.
Hivi kweli inaingia akilini Passport kubwa ya kusafiria inayotengenezwa kitaalamu sana imgharimu Mtanzania shs 150,000/ pekee kwa miaka 10 yaani wastani wa shis 15,000/ kwa mwaka na sisi wachumia juani kale kakadi katugharimu 20,000/ kwa mwaka mmoja?
Au gharama hiyo ni kwa vile hatutapigwa mabuti na virungu hivyo lazima tutoe chochote kwa serikali kama protection cost?
Haileti maana, au mimi ndio sielewi? TUHURUMIENI WAKUBWA KAMA NI KURA NJOONI MUMWAGE SERA SIO KUTUBAMIZA
Wewe hapo ndio umeharisha mkutanoniMtoa mada, Hapo [emoji115] umeongea Ushuzi wa Kenge.