Rais Magufuli: Mwaka mmoja madarakani

Rais Magufuli: Mwaka mmoja madarakani

Hakuna ongezeko la mshahara na hali maisha yanapanda gharama kila uchwao.
Mkuu kuwa mkweli tu manake uongo hausaidii. Umejenga hoja nzuri lakini sasa unataka kuikimbia. Data za inflation zinasemaje? Principle ya demand and supply inasemaje? Kwa mujibu wa Takwimu ni kwamba inflation imepungua. Kwa mujibu wako wewe ni kwamba hela hamna mitaani hivyo basi kama hela hamna ina maana supply ya hela imekuwa chini na definately gharama zitashuka.

Kama mishahara haijashuka basi issue hapa ni kuhusu kuzibwa kwa mianya ya matumizi mabaya serikalini ambayo yalikuwa yanawapatia watumishi wa umma vipato vya ziada nje ya mishahara yao. Mfano: mtumishi alikuwa akisafiri safari ya kwenda Uganda analipwa US$ 500 au zaidi kwa siku wakati chumba na kula kwa siku ni chini ya US$100 hivyo anakuwa na ziada ya zaidi ya US$ 400 kwa siku. Tuseme amesafiri kwa siku 10 hapo ana ziada ya zaidi ya US$ 4000 nje ya mshahara. Zingine ni posho kama vile meal allowance, extra duty, overtime, honoraria, nk. Hapo mtu hajapiga deal. Nyingi zilikuwa zikilipwa bila kufanyiwa kazi ili kuwa na tija. Nasikia zote zimefyekwa.

Kwa mujibu wa Sheria na kanuni, hizo posho si statutory allowances na zinaweza kuondolewa bila kuathiri sheria ama standing order; ndicho kilichofanyika. Nawashauri watumishi wa umma waombe kupandishiwa mishahara na wala si kutegemea posho ambazo zinaweza kuondolewa wakati wowote.
 
Mwanzoni wakati JPM alipotangaza kudhibiti matumizi kwenye sector ya umma watu wa sector binafsi walishangilia bila kujua kwamba athari hizo zitawafikia na wao! Hawakufahamu multiplier effect inafanyaje kazi. Wacha turudi kwenye uchumi wetu halisi na kama mishahara haitoshi basi ionekane kabisa kwamba haitoshi badala ya kujificha kwenye koti la posho mbalimbali ambazo hazina tija.
 
Kuhusu pesa mtaani Mkuu alipozungumza na wahariri juzi alisema
-- "hata mabenki yalikuwa yanategemea kufanya biashara na serikali na kumuacha raia anateseka, sasa huo mrija nimeukata"--
*pesa nazisimamia mimi mwenyewe na serikali yangu zinakwenda kufanya kazi iliyopangiwa*
 
HIVI MNAPOSEMA PESA HAKUNA MIFUKONI WAKATI JANA FIESTA KIINGILIO 20,000 TSH MPAKA LAKI MOJA VIP,NA WATU WALIJAA MPAKA WAKAMWAGIKA.
 
Hakuna ongezeko la mshahara na hali maisha yanapanda gharama kila uchwao.
SISI HATA HICHO KIDOGO MNACHOPATA,HATUPATI.KAMA KAZI UNAYOFANYA UNAONA HAIFAI NA MALIPO KIDUCHU KWANINI USICHE UKATAFUTA YENYE MALIPO MAZURI UNAYOTAKA
 
Mkuu umenena vyema hasa kuhusu watumishi na mapato yao. Lakini sasa niulize kitu kimoja: je mishahara ya watumishi imepunguzwa au watumishi hawapati mishahara? Nasema hivyo kwa sababu kama mishahara haijapunguzwa na wanapata mishahara yao kama zamani imekuwaje matumizi yapungue na hivyo kusababisha pesa kukosekana mitaani?
Fedha za serikali zinatolewa kupitia mafungu mawili: Fungu la OC ambazo ni pamoja na mishahara, matumizi ya kuendesha ofisi kama umeme, matengenezo ya magari, mafuta, posho za overtime nk; na fungu la fedha za maendeleo.

Fedha nyingi za safari zinatoka katika fungu la maendeleo. Watumishi wengi wa kada ya kawaida hawasafiri kwa hiyo hawanufaiki na fedha hizi. Watumishi wa kada za kawaida walikuwa wanapata fedha za overtime na meal allowances ambazo zimefutwa.

Fedha za maendeleo bado zinatolewa na hivyo safari za kikazi kwa watumishi wanaohusika zipo kama kawaida! Safari nyingi za kwenda nje ya nchi hugharimiwa na wahisani na si fedha za serikali. Hivyo safari hizo bado zipo!

Kwa hiyo kukosekana kwa fedha mitaani hakujasababishwa na serikali kubana posho za watumishi bali kumesababishwa kubadilika mfumo wa kuendesha serikali!

Mfumo mpya wa kuendesha serikali umesababisha bandari kukosa mizigo, mabenki kushindwa kutoa mikopo na baadhi ya kampuni binafsi kufunga shughuli zao. Fedha mitaani zilikuwa zinapelekwa na malori ambayo yamepungua, mikopo toka mabenki na kampuni binafsi ambazo sasa zimepunguza shughuli zao!

Kutokana na fedha kutoka usafirishaji, mikopo na kampuni binafsi wananchi na watumishi waliweza kufanya ujasiliamali na kuweza kujiongezea kipato! Kumbuka pia wafanyakazi wa serikali wanafanya biashara kwani mishahara haitoshi! Kutokana na biashara hizo wafanyakazi waliweza kuajiri watu wengine wengi na hivyo kupunguza ukata kwa jamii kubwa.

Tafsiri potofu iliyopo wananchi wanadhani wafanyakazi walikuwa wanafanya ufisadi maofisini au walikuwa wanategemea posho za safari! Ukweli ni kuwa serikali haikujipanga vizuri kuboresha uchumi! Serikali imekurupuka na hivyo kusababisha mtikisiko hasa katika mnyororo mzima wa biashara na uchumi kwa ujumla!
 
Mm ni mtumishi labda nichangie hakuna chochote kilichopungua kwenye Mishahara ya watumishi wa Uma ila watumishi walikuwa wanapata pesa za ziada ambazo ni nyingi kushinda hats hiyo Mishahara kupitia warsha na semina mbalimbali za ndani mpaka za nje ya nchi,baada ya serikali kuzi ban hapo ndio matatizo yalipoaanza kwa wale wenye semina zinazofadhiliwa na wafadhili mambo yako km zamani hii nikusema mtumishi wa uma atategemea Mshahara wake mwanzo mwisho ambao kwa vyovyote hauwezi kutosha.
 
Fedha za serikali zinatolewa kupitia mafungu mawili: Fungu la OC ambazo ni pamoja na mishahara, matumizi ya kuendesha ofisi kama umeme, matengenezo ya magari, mafuta, posho za overtime nk; na fungu la fedha za maendeleo.

Fedha nyingi za safari zinatoka katika fungu la maendeleo. Watumishi wengi wa kada ya kawaida hawasafiri kwa hiyo hawanufaiki na fedha hizi. Watumishi wa kada za kawaida walikuwa wanapata fedha za overtime na meal allowances ambazo zimefutwa.

Fedha za maendeleo bado zinatolewa na hivyo safari za kikazi kwa watumishi wanaohusika zipo kama kawaida! Safari nyingi za kwenda nje ya nchi hugharimiwa na wahisani na si fedha za serikali. Hivyo safari hizo bado zipo!

Kwa hiyo kukosekana kwa fedha mitaani hakujasababishwa na serikali kubana posho za watumishi bali kumesababishwa kubadilika mfumo wa kuendesha serikali!

Mfumo mpya wa kuendesha serikali umesababisha bandari kukosa mizigo, mabenki kushindwa kutoa mikopo na baadhi ya kampuni binafsi kufunga shughuli zao. Fedha mitaani zilikuwa zinapelekwa na malori ambayo yamepungua, mikopo toka mabenki na kampuni binafsi ambazo sasa zimepunguza shughuli zao!

Kutokana na fedha kutoka usafirishaji, mikopo na kampuni binafsi wananchi na watumishi waliweza kufanya ujasiliamali na kuweza kujiongezea kipato! Kumbuka pia wafanyakazi wa serikali wanafanya biashara kwani mishahara haitoshi! Kutokana na biashara hizo wafanyakazi waliweza kuajiri watu wengine wengi na hivyo kupunguza ukata kwa jamii kubwa.

Tafsiri potofu iliyopo wananchi wanadhani wafanyakazi walikuwa wanafanya ufisadi maofisini au walikuwa wanategemea posho za safari! Ukweli ni kuwa serikali haikujipanga vizuri kuboresha uchumi! Serikali imekurupuka na hivyo kusababisha mtikisiko hasa katika mnyororo mzima wa biashara na uchumi kwa ujumla!
Kwamba fedha za wahisani si fedha za serikali? Kwamba safari za nje zinatokana na fedha za maendeleo tu? Mkuu labda hiyo ni serikali ya Bermuda. Kwamba mtu ameenda kuhudhuria mafunzo nje ya nchi ambayo yapo kwenye training programme ya ofisi yake basi lazima yagharamiwe na pesa za maendeleo? Fedha za wahisani siho fedha za serikali kwa maana gani? Haziingii kwenye budget? Mbona huwa nasikia kwamba kuna GBS na basket funding?

Nyinyi ndio mnaosema fedha za mikopo siyo za serikali na hivyo kuzitumia vibaya wakati watoto wenu watakuja kuzilipa
 
Mkuu kuwa mkweli tu manake uongo hausaidii. Umejenga hoja nzuri lakini sasa unataka kuikimbia. Data za inflation zinasemaje? Principle ya demand and supply inasemaje? Kwa mujibu wa Takwimu ni kwamba inflation imepungua. Kwa mujibu wako wewe ni kwamba hela hamna mitaani hivyo basi kama hela hamna ina maana supply ya hela imekuwa chini na definately gharama zitashuka.

Kama mishahara haijashuka basi issue hapa ni kuhusu kuzibwa kwa mianya ya matumizi mabaya serikalini ambayo yalikuwa yanawapatia watumishi wa umma vipato vya ziada nje ya mishahara yao. Mfano: mtumishi alikuwa akisafiri safari ya kwenda Uganda analipwa US$ 500 au zaidi kwa siku wakati chumba na kula kwa siku ni chini ya US$100 hivyo anakuwa na ziada ya zaidi ya US$ 400 kwa siku. Tuseme amesafiri kwa siku 10 hapo ana ziada ya zaidi ya US$ 4000 nje ya mshahara. Zingine ni posho kama vile meal allowance, extra duty, overtime, honoraria, nk. Hapo mtu hajapiga deal. Nyingi zilikuwa zikilipwa bila kufanyiwa kazi ili kuwa na tija. Nasikia zote zimefyekwa.

Kwa mujibu wa Sheria na kanuni, hizo posho si statutory allowances na zinaweza kuondolewa bila kuathiri sheria ama standing order; ndicho kilichofanyika. Nawashauri watumishi wa umma waombe kupandishiwa mishahara na wala si kutegemea posho ambazo zinaweza kuondolewa wakati wowote.
Nashukuru nawewe umeunga mkono na unajua kuwa Mtumishi wa Umma alikuwa anajisustain vipi katika maisha yake ya kila Siku nje ya mishahara midogo.
Bila shaka kuna factors nyingi za kupungu kwa Mzunguko wa fedha, miongoni ni hilo la kufuta allowances za watumishi pia hata kuondoa pesa za Serikali kwenye Commercial Banks ambapo imepelekea kupungua kukopesha kwa Wafanyabiashara na Watumishi pia hivyo kupelekea kupungua kwa Money Circulation.
 
HIVI MNAPOSEMA PESA HAKUNA MIFUKONI WAKATI JANA FIESTA KIINGILIO 20,000 TSH MPAKA LAKI MOJA VIP,NA WATU WALIJAA MPAKA WAKAMWAGIKA TATIZO CHAGGADEMA MNATAKA KULAZIMISHA KUIFANYA AGENDA
Mkuu waliyolalamika so Chadema bali wanchi waliyokuwa wakihojiwa Jana na ITV.
 
Aliyekwambia kuwa Mimi ni mfanyakazi nani au katika uzi wangu kuna sehemu nimeandika hivyo? Acha kuishi kwa hisia Kijana. Frastulation zenu za kukosa ajira mpelekee aliyekuahidi hizo Ajira.Mkaruka
 
Fedha za serikali zinatolewa kupitia mafungu mawili: Fungu la OC ambazo ni pamoja na mishahara, matumizi ya kuendesha ofisi kama umeme, matengenezo ya magari, mafuta, posho za overtime nk; na fungu la fedha za maendeleo.

Fedha nyingi za safari zinatoka katika fungu la maendeleo. Watumishi wengi wa kada ya kawaida hawasafiri kwa hiyo hawanufaiki na fedha hizi. Watumishi wa kada za kawaida walikuwa wanapata fedha za overtime na meal allowances ambazo zimefutwa.

Fedha za maendeleo bado zinatolewa na hivyo safari za kikazi kwa watumishi wanaohusika zipo kama kawaida! Safari nyingi za kwenda nje ya nchi hugharimiwa na wahisani na si fedha za serikali. Hivyo safari hizo bado zipo!

Kwa hiyo kukosekana kwa fedha mitaani hakujasababishwa na serikali kubana posho za watumishi bali kumesababishwa kubadilika mfumo wa kuendesha serikali!

Mfumo mpya wa kuendesha serikali umesababisha bandari kukosa mizigo, mabenki kushindwa kutoa mikopo na baadhi ya kampuni binafsi kufunga shughuli zao. Fedha mitaani zilikuwa zinapelekwa na malori ambayo yamepungua, mikopo toka mabenki na kampuni binafsi ambazo sasa zimepunguza shughuli zao!

Kutokana na fedha kutoka usafirishaji, mikopo na kampuni binafsi wananchi na watumishi waliweza kufanya ujasiliamali na kuweza kujiongezea kipato! Kumbuka pia wafanyakazi wa serikali wanafanya biashara kwani mishahara haitoshi! Kutokana na biashara hizo wafanyakazi waliweza kuajiri watu wengine wengi na hivyo kupunguza ukata kwa jamii kubwa.

Tafsiri potofu iliyopo wananchi wanadhani wafanyakazi walikuwa wanafanya ufisadi maofisini au walikuwa wanategemea posho za safari! Ukweli ni kuwa serikali haikujipanga vizuri kuboresha uchumi! Serikali imekurupuka na hivyo kusababisha mtikisiko hasa katika mnyororo mzima wa biashara na uchumi kwa ujumla!

Ukweli kama huu huwezi kuupata kwa mwanadam wa kawaida tu.
Huu ukweli unaweza kuupata kwa mtu asiye na dhambi na kwa mtoto mdogo pekee.

Propaganda zilizoenea mitaani ni kuwa wafanyakazi ndio waliokuwa wanaiba bila kuwataja hao wafanyakazi.
Kuna mambo mengi sana yaliyoathiri uchumi wa watu huko mitaani. Na kwa bahati mbaya waathirika wake wengi ndio wameamua kusifia hali hii kwa maana bora wote tukose wakiamini kuwa hali hii inamuadhibu mfanyakazi. Ukweli ni kwamba hali hii inawaumiza wale wale wanaosifia serikali kuzuia ajira mpya ,kupandisha wafa yakazi madaraja na nyongeza ya mishahara kwani wafanyakazi zaidi ya 80% walikua wanaishi maisha magumu na walishazoea kuishi maisha ya kuunga unga.

Kwa sasa kinachowaumiza wafanyakazi ni ile nafasi ya mabenki kukopesha kupitia mishahara ili hawa wafanyakazi waweze kujiendeleza na pia kujenga makazi yao. Hapa kwa kweli kunawarudisha nyuma wafanya kazi wengi wenye mishahara midogo kwani kukusanya pesa mpaka ajenge ni vigumu sana . Huu ndio umaskini mkubwa watakaoupata wafanyakazi.

Pia serikali inapoamua kuwatenga wafanyabiashara kwa kutowashirikisha ipasavyo kwenye huduma za jamii nalo ni tatizo. Serikali isiamue kufanya shughuli zote za kijamii peke yake. Mfano Mambo ya kununua meli , ndege, Vivuko n.k. wakati kesho na kesho kutwa bila kuwa na katiba bora anaweza akatokea kiongozi mwingine akayaacha yakaendeshwa kiholela na kusababisha hasara kwa taifa.

Katika ulimwengu wa kileo wenye watu binafsi wenye uwezo wa kuunda makampuni makubwa kwa akili zao na kwa gharama yao ni vema serikali ikaacha baadhi ya shughuli zikaendelea kufanywa na watu binafsi.
Kazi ya serikali iwe ni kutoa mikopo au kusaidia mabenki kuwakopesha wananchi wenye uwezo wa kufanya shughuli za uzalishaji.
Serikali ijikite kwenye usalama wa watu na mali zao,ulinzi wa mipaka, ujenzi wa miundo mbinu kama barabara kuu na Viwanja vya ndege n.k.
Vitu kama reli watu binafsi walikua wanaweza kupewa fursa ya kujenga reli kwa ajili ya mizigo yao na serikali ikawasapoti kidogo.

Serikali itumie pesa zake kwenye kuimarisha masuala ya Afya hasa madawa na kusomesha madaktari.
Serikali ilitakiwa kuendelea kuwasaidia wamiliki binafsi wa shule ili wapunguze ada na sio kuweka masharti magumu ya kuziua.

Serikali ilitakiwa iweke unafuu wa kodi kwa watu wanaoweza kutoa ajira zaidi ya watu 10 kwa wazawa na sio.
Matajiri wazawa wapewe motisha wa kukuza mitaji yao na kukamata soko la Afrika mashariki na pia chuki kwa baadhi watu fulani waliofanikiwa iachwe mana kuna watendaji wengine wanaingia kwenye madaraka kwa lengo la kuwakomoa wengine na kuwaona wakifunga biashara zao.
Kuna watawala hawataki kumwona mtu aliyesoma naye shule ya msingi akiwa anamiliki kampuni kisa tu ni darasa la saba. Hali hii inawafanya watu kuendelea kuwa na mawazo ya kusoma ili waajiriwe mana wanawaona watawala wakiwa na nguvu kubwa mpaka kwenye maisha ya wengine.

Kodi ni nyingi na kubwa sana kuanzia kwa wafanyabiashara wa chini mpaka juu. Inakua kama vile serikali inawanyang"anya watu mitaji yao walioitafuta wenyewe kwa taabu.
Mfano gari linatengeneza Japani laki likifika Tanzania kodi inakuwa kubwa kuliko gharama nzima ya kulitengeneza kule Japan.Mtu anajinyima kwa miaka mingi ananunua gari lake lakini kwa siku moja serikali inakuja na kuchukua Pesa kama kodi mara tatu mpaka nne ya bei ya hilo wakati bado kila mwaka kuna leseni za uendelesha barabarani. Utafikiri tunakiwanda cha magari cha ndani tunakilinda ili kuzuia magari kutoka nje.

Kwa bahati mbaya katiba na sheria zetu zinawalinda watawala na watunga sera wetu na mali zao na mafao yao. Wanasema fao la kujitoa lisiwepo kwa mtu aliyekatwa mshahara wao lakini wao kila baada ya miaka mitano wanalipwa kiinua mgongo bila kujali kuwa ataendelea au atakosa narasi yake.
Mzunguko wa fedha kwa mwananchi wa chini ni lazima uwe mdogo sana mana fursa zinaendelea kubaki kwa watawala na wasomi wachache na baadae kwa sababu Azimio la Zanzibar bado lipo hao hao watawala watakua mabilionea na kuwatafuta watu wao ili waingie nao ubia kwenye miradi mikubwa na kujifanya wawekezaji.
Tunarudi kwenye mambo ya kutunga sera za kulinda maslahi yao na kukataa kata kata kuleta katiba ya warioba.

Ni lazima tuwe na sera ya Taifa ya pamoja ya Uchumi na maendeleo na kuachana na hizi sera za vyama ambazo kwa uzoefu zinatekelezwa kisiasa na mara nyingine hazipo kisheria. Mfano chama kinachoshinda kinaweza kuamua kuacha kupeleka maendeleo kwenye maeneo kiliposhindwa na hakuna wa kuulizwa kisheria zaidi ya siasa.

Je,Kodi inayotolewa na watu wote inatumika kwa usawa kimaendeleo?
Je,kila eneo linapewa fungu la maendeleo kulingana na mahitaji ya watu wa eneo hilo?
Mfano kuna maeneo kwao ishu sio madawati bali ni maji , je,wakati wengine wakipewa madawati kwa nguvu zote wao wanapewa maji kwa nguvu zote? N.k. n.k.k.

Pia Miradi ya kimaendeleo ikianzishwa kulingana na mahitaji ya eneo husika basi hata mzunguko wa fedha utaonekana maeneo yote bila kuona maeneo mengine yakiwa yanafaidika na mengine wanalala njaa.
 
Mkuu waliyolalamika so Chadema bali wanchi waliyokuwa wakihojiwa Jana na ITV.
KWANI UTAWALA ULIOPITA WALIKUWA NA FEDHA? MBONA MIMI NILIWAONA NI MASIKINI TU WA SIKU NYINGI NA WALA SI MASIKINI ETI KWAKUWA NI SERA ZA AWAMU YA TANO.PILI NILICHOSIKIA NI KWAMBA WANASEMA MAISHA NI MAGUMU NA NADHANI NI TANGU ZAMANI TU
 
Kwamba fedha za wahisani si fedha za serikali? Kwamba safari za nje zinatokana na fedha za maendeleo tu? Mkuu labda hiyo ni serikali ya Bermuda. Kwamba mtu ameenda kuhudhuria mafunzo nje ya nchi ambayo yapo kwenye training programme ya ofisi yake basi lazima yagharamiwe na pesa za maendeleo? Fedha za wahisani siho fedha za serikali kwa maana gani? Haziingii kwenye budget? Mbona huwa nasikia kwamba kuna GBS na basket funding?

Nyinyi ndio mnaosema fedha za mikopo siyo za serikali na hivyo kuzitumia vibaya wakati watoto wenu watakuja kuzilipa
Usichokijua ni sawa na usiku wa kiza!

Fedha za wahisani zipo katika mafungu mawili: Kuna budget support funds ambazo huingizwa katika bajeti ya serikali ambazo Waziri wa fedha huzisoma bungeni na kuna fedha ambazo nchi wahisani hupitishia katika mashirika yao ya maendeleo kama DFID, GIZ, JICA nk na pia zipo za mashirika ya kimataifa kama UNICEF, IAEA, UNDP, WFP, WWF, NGOs za kimataifa nk ambazo hazipitii hazina ya serikali!

Fedha hizi ambazo hazipitii hazina ndizo unaona zinatumika hadi sasa katika warsha mbali mbali zinazofanywa katika mahoteli! Serikali haihoji fedha hizi na wala haina sababu ya kuzihoji matumizi yake! Na hata posho zake wakati fulani hutofautiana na posho za serikali!
Pia miradi yao ya maendeleo haimo katika mipango ya serikali ingawa serikali inaweza kuwa na taarifa ya utekelezaji wake kwa sababu ina malengo maalumu.

Fedha za wahisani zinazoingizwa katika bajeti ya serikali (budget support) hizi zinafuata taratibu za fedha serikali kama kawaida na wahisani hufuatilia matumizi yake!
 
Mimi nangojea mkono udondoke.
 
Back
Top Bottom